Kamati za Bunge: PAC-Cheyo, LAC-Mrema & POC-CUF!

Kamati za Bunge: PAC-Cheyo, LAC-Mrema & POC-CUF!

Nadhani umefika muda wakuondoka Jf, maana naweza kufa kabla ya wakati....

Max na Invisible, pls naombeni mnipe Ban ya week 1..
.
Naona bora Ukajilalie zako, Chadema iliwakataa wenzake basi na Wao wanaikataa, hata Wakisusa kwa Kutoka Bungeni Wenzao wanakula, sasa Sijui malalamiko ni yanini?
 
Kesho ndio siku ya uchaguzi wa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge baada ya leo kutangazwa majina ya wajumbe wa kamati hizo.

Chama kilichoshika mpini Bingeni ndio determinant za nani waongoze kamati zipi. Hivyo CCM wameamua kuionyesha Chadema kuwa si lolote si chochote kwa kuhakikisha hawachaguliwi kuongoza kamati yoyote!.

Hivyo wameamua uenyekiti wa PAC kumpigia kura John Memosa Cheyo wa UDP, LAC watampigia Agostino Lyatonga Mrema wa TLP na POC itakwenda kwa mwanamama wa CUF.

Kama ni kweli hivyo ndivyo itakavyokuwa kesho, then Chadema wataongoza serikali kivuli kipofu maana haitakuwa na macho ya kuangalia ndani ya serikali baada ya kupoteza hizi over sight committies.

Habari hizi ni kwa mujibu wa corridors za Bungeni Dodoma.

Sasa utawapa chadema uongozi wa kamati wakati hawana 'political maturity' wala busara za uongozi maana wao wanaona 'walk out' ndiyo hoja, sasa wakipewa halafu muda wa kutoa ripoti Mbowe anawambia watoke nje ina maana shughuli za mbunge za maslahi ya watanzania zisimame? hivyo spika atafanya vizuri sana kama kwa kupitia wabunge wa ccm watawachangua kina cheo, mrema na hamad kuongoz\a kamati ili chadema wapate muda mzuri wa kuwa wana 'walk out' kwenye mijadala.
 
CCM ndio wenye political maturity, very good.
 
Sasa CHADEMA wana maana gani kuendesha kambi ya upinzani kipofu.....better waachie wanaotaka rasmi waiendeshe wao maana kwa hali ilivyo ni vigumu kuniambia kutakuwa na ushirikiano kati ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na viongozi wa kamati hizi ambao watakuwa wamejaa jeuri kwa kuteuliwa kwako kutokea kwenye mgongo wa wabunge wengi wa CCM

Better achiwe Hamad na Kafulila waongoze kambi ya upinzani maana huu ni upuuzi kuwa kiongozi wa upinzani huku kamati muhimu za kuisimamia serikali zikiwa virtually chini ya CCM. Utaisimamiaje serikali ambayo huoni inafanya nini kwa kunyang'anywa macho?
Hawezi wakaachiwa hao kwa kuwa wamefanya hila,viongozi wenye hila hawafai kuongoza hata nyumba kumi
 
Sasa CHADEMA wana maana gani kuendesha kambi ya upinzani kipofu.....better waachie wanaotaka rasmi waiendeshe wao maana kwa hali ilivyo ni vigumu kuniambia kutakuwa na ushirikiano kati ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na viongozi wa kamati hizi ambao watakuwa wamejaa jeuri kwa kuteuliwa kwako kutokea kwenye mgongo wa wabunge wengi wa CCM

Better achiwe Hamad na Kafulila waongoze kambi ya upinzani maana huu ni upuuzi kuwa kiongozi wa upinzani huku kamati muhimu za kuisimamia serikali zikiwa virtually chini ya CCM. Utaisimamiaje serikali ambayo huoni inafanya nini kwa kunyang'anywa macho?
"Hatuwezi kuwaachia nguruwe (CUF) wale shamba peke yao lazima tule wote".
 
...Inaonekana humu ndani wamejaa wataalumu wanaomfahamu mbowe vizuri sana.

...Inaburudisha!

tunawajua hao sana. chadema kinachoiadhibu ni viongozi kuwa wachaga au watu wa kaskazini. Na hawataki mtu mwingine ambaye si mlafi wa pesa kushika ngazi za juu. Hii inawaathiri sana chadema na hii ndo itafanya wasipate kuchukua nchi hata siku moja. Wajifunze kwa mlafi mwenzao Mrema hadi leo hii badala ya kupumzika kama wenzake kina mkapa yeye bado anahaha tu.
 
Crap, inawaathiri wakati ndio wanazidi kuongeza wabunge hivi hesabu za kujumlisha ulizisoma kweli au unaandika kujifurahisha.
 
Hizi habari zinaumiza kichwa.

Solution ninayoifahamu ni watu kukusanyika Mnazimmoja tu na kukatalia pale hadi kieleweke.

Mengine haya ni kupoteza muda tu maana hawa Wanzanzibar wanatuharibia sana nchi yetu.

Ninaanza kuuchukia Muungano hadi kwenye kucha zangu.

Kuna haja ya KULIVUNJILIA MBALI li muungano. Wazenji wanajifanya hawataki Muungano ila wao ndiyo wanafaidika.

Wala vya bure hao wamezoea kila kitu kupewa. Kuna haja au Tuvunje muungano au tuwe na Serikali tatu.

Wao na CUF yao watupishie mbali. Tuchukue bakora na tuwafukuzie mbali huko kwao Pemba.

Mtatiro na Lipumba watajijuu.... Huyu anayetaka kula na Nguruwe ndiyo atakoma.

Ngoja niangalia Video mpya ya Ricky Martin maana ntavunja DELL yangu sasa hivi.
 
Muungano wa vyama siyo lazima uwe wa vyama vya upinzani tu. Kunaweza kuwa muungano wa vyama unaohusisha chama tawala. Kwa vile CUF ina muungano na CCM huko Zanzibar ina maana kuwa wanakubaliana kiitikadi na hivyo ni wana haki ya kuendelea na muungano huo hata kwanye bunge la muungano.

Kama CCM imaemaua kulazimisha kibaraka wao CUF awe upande wa upinzani ili kuua nguvu ya upinzani basi ni vizuri sana kwa CHADEMA kujiondoa kabisa katika shughuli zote za upinzani rasmi bungeni wawaachie hao vibaraka, na badala yake wao wawe back bencher tu. Katika nafasi yao ya back bencher wawe wanatwanga nondo kali sana kwenye mikutano hadhara moja kwa moja kwa wananchi kama walivyofanya wakati Zito alipotolewa bungeni. Jamaa wakipitisha mswada wa upuuzi, basi Chadema wasiwape hata notice, bali wauobome moja kwa moja kwa wananchi.

Mwenendo wa nchi sasa ni wazi kuwa nchi inamilikiwa na Rostam akisaidiana na Lowasa. Watu hawa walisema watamtoa Sita kwenye uspika na kuweka mtu wao, wakafanikiwa. Sasa huyo mtu wao anaanza kutekeleza yale ambayo hao washikaji wake walikuwa wanataka; inaelekea tuna hatari sana huko tuendapo.
 
Muungano wa vyama siyo lazima uwe wa vyama vya upinzani tu. Kunaweza kuwa muungano wa vyama unaohusisha chama tawala. Kwa vile CUF ina muungano na CCM huko Zanzibar ina maana kuwa wanakubaliana kiitikadi na hivyo ni wana haki ya kuendelea na muungano huo hata kwanye bunge la muungano.

Kama CCM imaemaua kulazimisha kibaraka wao CUF awe upande wa upinzani ili kuuna nguvu ya upinzania basi ni vizru sana kwa CHADEMA kujiondoa kabisa katika shughuli zote za upinzani rasmi bungeni wawaachie hao vibaraka, na badala yake wao wawe back bencher tu. Katika nafasi yao ya back bencher wawe wanatwanga nondo kali sana kwenye mikutano hadahara moja kwa moja kwa wananchi kama walivyofanya wakati Zito alipotolewa bungeni. Jamaa wakipitisha mswada wa upuuzi, basi Chadema wasiwape hata notice, bali wauobome moja kwa moja kwa wananchi.

Mwenendo wa nchi sasa ni wazi kuwa nchi inamilikiwa na Rostam akisaidiana na Lowasa. Watu hawa walisema watamtoa Sita kwenye uspika na kuweka mtu wao, wakafanikiwa. Sasa huyo mtu wao anaanza kutekeleza yale ambayo hao washikaji wake walikuwa wanataka; inaelekea tuna hatari sana huko tuendapo.
Never run from the problem face it.
 
Hizo ni kamati but still KUB na kaimu wake na baraza lote ni CDM, wenyeviti watakaochaguliwa wata-riport kwa KUB na watafanyakazi kwa maelekezo ya KUB wakifanya madudu KUB anawawajibisha CCM wanachagua wengine na mchezo unaendelea kama alivyowajibishwa Cheyo.

hebu nipige shule ya uhakika kuhusu KUB,sielewi KUB ni nini na inahusianaje na hizo kamati nyingine.

Endapo nimeelewa vizuri ina maana Mpini bado wanao CDM, kazi itakuwa ni moja kutimua wenyeviti wa kamati ili uchaguzi ufanyike tena na tena hadi ifike 2015. Hata ikibidi kuwatimua kwa sababu zozote hata mara 1000.
 
Mkuu,

Hivi sisi watanzania tunajifanya taahira kweli!
Ni nani asiyejua kuwa bado Tanzania inaongozwa kwa misingi ya chama kimoja kama Taifa..nani halijui hili?

Vyama vilivyopo ni vyama vya kuisindikiza CCM. Ndio maana ni muhimu vyama hivi CDM, CUF, NCCR,TLP, UDP vishirikiane viweze kuubadilisha huu mfumo kutoka Chama kimoja kwenda mfumo wa vyama vingi.(Katiba mpya)

sasa hivi watu wanafanya maslahi tu, kuganga njaa...ni wachache sana ambao wako kwa kuwatumikia walalahoi, wananchi wa kawaida.
kumbuka siasa TZ ni short cut ya kukimbia makali ya njaa!!kwa kisingizio cha kuwatumikia wananchi.
Marando anataka kuwatumikia wananchi? Mbowe anataka kuwatumikia wananchi? Mrema huyu wa leo anataka kuwatumikia wananchi? Hamad rashid anataka kuwatumika wananchi? Mzee mapesa anataka kuwajaza watu mapesa?...wote hawa wanataka wapate fungu katika kodi zetu...TZ bado hatujaweka mfumo kwa viongozi tunaowachagua kuwajibika kwa wananchi...ni wachumia tumbo na kujaza mifuko yao tu.

kama una mifano ya wasio waganga njaa.. au wabinafsi weka orodha yao hapa!!
Pengine "beautiful ones are not yet born!!!"

nonda nakubaliana asilimia 90 ya yale uliyoyazungumza kwani mwaka 1992 tulipoingia kwenye mfumo wa vyama vingi kilichobadilika ni kipengele cha nchi kuongozwa kwa mfumo wa chama kimoja na kuwa ya vyama vingi lakini sheria,kanuni na taratibu zote zilibakia za chama kimoja na ndio maana leo hii ndani ya Tanzania bado imebaki nyuma sana kwenye demokrasia ya vyama vingi.

viongozi wasio waganga njaa ni kama kwa kuwa ukufafanua walio hai au la
basi ningeanza na julius nyerere, mzee ngwilulupi, Peter slaa, Rashid Kawawa,
ndesamburo, shabani mloo na Magufuli.
 
cdm wamechemsha baada ya kuanza kuwatangaza wapinzani wengine kuwa ni ccm-b......TAYARI wameingiza mgawanyiko kati yao na si umoja ambao utawamaliza wote kwa pamoja.....kwani badala ya kuungana na kushambulia common enemy...wao wanabomoana...wakija kustuka kumekucha na nyimbo nyingine zinaimbwa...."NAMBARI WANI EEEE...NAMBARI WANI NI SISIEMUUU"
 
Maana ya Bunge nini? CCM kweli hawana akili...tumeona kila njia ya kufanya maafa na mauaji na kutumia CUF, TLP na UDP kuwaua wananchi. Mungu siku zote ndie mtoa Adhabu.

"Chenge, Mrema na Hamad wanauza Taifa letu"
 
tunawajua hao sana. chadema kinachoiadhibu ni viongozi kuwa wachaga au watu wa kaskazini. Na hawataki mtu mwingine ambaye si mlafi wa pesa kushika ngazi za juu. Hii inawaathiri sana chadema na hii ndo itafanya wasipate kuchukua nchi hata siku moja. Wajifunze kwa mlafi mwenzao Mrema hadi leo hii badala ya kupumzika kama wenzake kina mkapa yeye bado anahaha tu.

Mhhhh!.... Dr Slaa, Tundu Lissu & Zitto wote ni viongozi wa juu wa CHADEMA hebu twambie ni lini walisilimu na kuwa Wachagga? Hivi ulafi wa CHADEMA unaweza kuuthibitisha? au unaandika tu bila hata ya kuwa na ushahidi wa kuithibitisha kauli yako?
 
Mkuu,
nimezungumzia kuwatumikia wananchi,kuganga njaa na ubinafsi..wewe umekuja na habari ya rushwa...ndio tutaelewana hapa?

ndugu kaa ukijua,RUSHWA na UFISADI haviwezi vikawepo ndana ya mtu alafu ukasema analitumikia taifa uliitaji orodha ya watumikia taifa nami nilikupa mifano ya watumikia taifa.labda unambie ni nani unayezani ni fisadi na mla rushwa kisha useme huyu ndie anatumikia taifa?
 
Hizo ni kamati but still KUB na kaimu wake na baraza lote ni CDM, wenyeviti watakaochaguliwa wata-riport kwa KUB na watafanyakazi kwa maelekezo ya KUB wakifanya madudu KUB anawawajibisha CCM wanachagua wengine na mchezo unaendelea kama alivyowajibishwa Cheyo.
Quinine , licha ya kamati hizi za PAC, LAC na POC kuongozwa na wenyeviti toka upinzani lakini hawawajibiki kwa kiongozi wa upinzani bungeni bali wanaripoti moja kwa moja spika
 
Back
Top Bottom