Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,042
- 74,751
Madudu mengi ya Serikali yanagunduliwa vizuri sana na kamati hizi tatu muhimu. Lengo la CCM na ambalo linaungwa mkono na wabunge wake ni kuhakikisha kuwa Wenyeviti wa kamati hizo wanakuwa Wabunge vibaraka (ambao ndani ya Chadema hawapo) ili hayo madudu ya serikali ikiwemo wizi na ubadhilifu plus ufisadi haya toki nje.
Sasa wananchi wamejionea wenyewe wabunge wao wa CCM waliowatuma kuwawakilisha kutafuta maendeleo na kuondokana na dhiki zinazozidi kila kukicha walivyoacha kazi waliyotumwa na kukuwadia suala la kubadili kanuni ili tuu madudu ya serikali yasifichuliwe na watu makini kwa manufaa ya mafisadi wachache. Huu ni UNAFIKI uliokithiri, Kuna sababu gani ya kuwaonea wivu Chadema kama lengo ni kudhibiti rasilimali za Watanzania?
Wananchi sasa wanajiuliza nini hukumu ya hawa CCM inayowafaa?