Kamati ya Msiba Mwili ukienda Dodoma, baadaye jioni tuitane chemba na tukosoane kwa uzembe wa hali ya juu ulioonekana leo Uhuru

Magufuli hakua muislamu
Marehem aoneww wivu gn? Hata hivyo huu utaratibu wa Kufanya mainyesho maiti n ujinga na kuna watu watakuja kujibu..... Mtu akishafariki wajibu n kuzikwa Tena Haraka na mapema Sana..... Ktk uislamu huu utaratibu haupo.
 
Lakini watanzania na sisi tuna vichwa vigumu hebu fikiria mtu anakwenda pale taifa na watoto watatu na housegirl sasa kwanini asiende mmoja tu kwani lazima nyumba yote mwende? Kaeni majumbani muangalie kwenye TV
,
 
Watoto watatu na housegirl nao Magufuli ni kipenzi chao. Wewe ungeshauri nani akose?

Sisi tumeenda na watoto 4 na housegirl. Hakuna aliyekua tayari kukosa kumuaga kipenzi cha Watanzania
 
Mbona mlisema Magufuli hapendwi, sasa mnakuja na gia nyingine "sisi ote kisa jua janja enu". Hamkosi kukosoa.
 
Stampede inaweza kutokea hata penye watu elfu tano. Kama hakukuwa na stampede ina maana wahusika walifanya kazi nzuri. Stampede mara nyingi hutokea kama kuna hulka, hasa kwenye mikutano au hadhari zenye malengo tofauti au wahudhuriaji wenye tofauti.
 
Lakini watanzania na sisi tuna vichwa vigumu hebu fikiria mtu anakwenda pale taifa na watoto watatu na housegirl sasa kwanini asiende mmoja tu kwani lazima nyumba yote mwende? Kaeni majumbani muangalie kwenye TV
Baada ya week tatu hapo wataugua vifua pia kuna wamama hovyo wamebeba na watoto wadogo hivi wangekanyagana siingekuwa maafa
 
Pumbavu.
 
Ametoa angalizo zuri, ila mapimbi kama wewe haiwezi kujuingia akilini mpaka usikie watu 50 wamekufa kwa kukanyagana uwanja wa uhuru... Na bado wewe hiyo utaona ni sifa na rekodi mpya imewekwa...
Thanks for Educating that Fool Chief.
 
Nakumbuka kwenye msiba wa Mandela watu walishauriwa wasijazane Sana uwanjani.
Mamlaka za Afrika zilizostaarabika unazifananisha na hii yetu ya Kitanzania iliyojaa Uswahili na Upuuzi mwingi?
 
Kichaa ni Yule tu aliyekuzaa Juha Wewe.
 
Mbona mlisema Magufuli hapendwi, sasa mnakuja na gia nyingine "sisi ote kisa jua janja enu". Hamkosi kukosoa.
Mkuu rudia kusoma comment yangu, hakuna sehemu nilipotaja jina la Magufuli, nimezungumzia hali halisi ya ulinzi na utaratibu wa leo pale uwanjani. Hata hivyo sipendi siasa na siyo mwanasiasa ila huwa napenda kuwa upande ambao upo real katika kutekeleza majukumu yake ndiyo maana nimeudhuria kumuaga mzee.

Sipendi siasa na wanasiasa ila nawapenda viongozi wenye uweledi katika kutekeleza wajibu.

Magufuli hakuwa mwanasiasa bali alikuwa kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…