Kamati ya Msiba Mwili ukienda Dodoma, baadaye jioni tuitane chemba na tukosoane kwa uzembe wa hali ya juu ulioonekana leo Uhuru

Magufuli hakua muislamu
Marehem aoneww wivu gn? Hata hivyo huu utaratibu wa Kufanya mainyesho maiti n ujinga na kuna watu watakuja kujibu..... Mtu akishafariki wajibu n kuzikwa Tena Haraka na mapema Sana..... Ktk uislamu huu utaratibu haupo.
 
Lakini watanzania na sisi tuna vichwa vigumu hebu fikiria mtu anakwenda pale taifa na watoto watatu na housegirl sasa kwanini asiende mmoja tu kwani lazima nyumba yote mwende? Kaeni majumbani muangalie kwenye TV
,
 
Lakini watanzania na sisi tuna vichwa vigumu hebu fikiria mtu anakwenda pale taifa na watoto watatu na housegirl sasa kwanini asiende mmoja tu kwani lazima nyumba yote mwende? Kaeni majumbani muangalie kwenye TV

Watoto watatu na housegirl nao Magufuli ni kipenzi chao. Wewe ungeshauri nani akose?

Sisi tumeenda na watoto 4 na housegirl. Hakuna aliyekua tayari kukosa kumuaga kipenzi cha Watanzania
 
Pale wahusika waliopangwa kusimamia raia WAMEFELI KABISA. Watu wanapenya mbele kwenye vyuma wanaruka kwa bahati mbaya hadi askari anasaidia watoto na wenye watoto kuruka ili kuingia uwanjani.

Vikosi vya ulinzi huko wanakoenda wajribu kuwa serious kidogo, watu waliozimia wanapepewa katikati ya kundi la watu wengi hata hewa shida kupata. Vijana wa scout nao wamechukua vitoto wanawakimbiza na kuwabebesha watu wazima kazi ambayo ilitakiwa askari mtu mzima ndiyo afanye kwa usalama zaidi.

Nimewahi asubuhi saa 12 ila nilipoona utaratibu wa kudhibiti RAIA nikajiondokea tu nisije jiaribia siku kisa kutazama maiti.

Kiufupi askari wale wamefeli sana mpaka wanaanza kupangwa wapi wakae, wengine wamejikatia tamaa wamelala kivulini kabisa.
Mbona mlisema Magufuli hapendwi, sasa mnakuja na gia nyingine "sisi ote kisa jua janja enu". Hamkosi kukosoa.
 
Ilitokea stampede kwenye mahubiri ya Mwamposa, wale watu pale uwanjani sidhani kama walifika elf kumi. Leo hapo uwanjani kuna watu zaidi ya elf sitini. Sidhani kama mleta mada ameyasema haya kwa wivu. Angalia msongamano uliopo, alafu uangalie kama unaendana na mazingira na usimamizi.
Stampede inaweza kutokea hata penye watu elfu tano. Kama hakukuwa na stampede ina maana wahusika walifanya kazi nzuri. Stampede mara nyingi hutokea kama kuna hulka, hasa kwenye mikutano au hadhari zenye malengo tofauti au wahudhuriaji wenye tofauti.
 
Lakini watanzania na sisi tuna vichwa vigumu hebu fikiria mtu anakwenda pale taifa na watoto watatu na housegirl sasa kwanini asiende mmoja tu kwani lazima nyumba yote mwende? Kaeni majumbani muangalie kwenye TV
Baada ya week tatu hapo wataugua vifua pia kuna wamama hovyo wamebeba na watoto wadogo hivi wangekanyagana siingekuwa maafa
 
Hahahah yani hili jitu ni hovyo sijawahi kuona Kamati imeundwa na Rais afu linamshauri CDF aingilie kati yani lina mshauri CDF afanye jambo la kihaini, Kiusalama hali ingekua mbaya zaidi kama watu wasingeruhusiwa kumuuaga mpendwa wao....

Mnaumizwa hadi na maiti nyie mijitu mbona ya hovyo sana
Pumbavu.
 
Ametoa angalizo zuri, ila mapimbi kama wewe haiwezi kujuingia akilini mpaka usikie watu 50 wamekufa kwa kukanyagana uwanja wa uhuru... Na bado wewe hiyo utaona ni sifa na rekodi mpya imewekwa...
Thanks for Educating that Fool Chief.
 
Asilimia kubwa yes ingawa wapo wanaoenda kwa ajili ya adventure, kupoteza mda na Kwa Unafiki.

Tuache hayo turudi kwenye kiini cha hoja je ni kweli Uratibu wa zoezi Zima la Kuaga Mwili hauko vizuri? Ukichunguza kwa makini utagundua si kweli bali mtoa uzi ana viashiria vya uchonokozi na uchonganishi Mosi kwa kuzingatia Wingi wa watu Dar imepewa siku mbili(hii ni ishara ya kwanza ya Umakini katika kuratibu). Pili Kutumia Uwanja wa Uhuru ambao sio tu una uwezo wakuchukua waombolezaji 40k+ bali pia una historia ya Kuaga Miili ya viongozi wengine kama Hayati BM na JKN hivyo kuwa muendelezo mzuri wa tunu ya historia (Hii ni sababu ya Pili kuwa Zoezi la Uratibu lipo sawa) nyongeza Uwanja wa Uhuru upo Chini (height) na una angles chache kulinganisha na Taifa hivyo kiusalama ni rahisi kusecure paramaters mbili kwa wakati mmoja yani land and air paramaters (desa la bure kuassasinate kupitia Uhuru ni changamoto kuliko taifa) .Jambo la tatu muhimu lililozingatiwa ni mda Uwanja umefunguliwa tangu sa kumi na mbili ili kuruhusu idadi kubwa ya watu kumuaga kipenz chao sema changamoto ya waswahili wanaelekezwa ukishaaga uende nyumban mazima kupisha wengine wao wanaaga afu wanarudi tena ndani.Pamoja na kwamba Kamati imezingatia haya lakin drawbacks huwa hazikosi kama watu kutokuondoka eneo la tukio baada ya Kuaga lakin ukumbuke kuna walemavu, wamama na Watoto ambao speed yao kwenye Kuaga si kali hivyo kudhohofisha ufanisi.

Tukija kwenye hoja ya Pili aliyoitoa kichaa All-rounder ashakum si matusi. Eti CDF aache uoga aingilie kati wabebe zoezi Lao si tu ni upunguani bali umajinuni Kamati imeundwa na Rais ambaye ni mkuu kwa CDF kumshinikiza CDF atumie mabavu kupoka utaratibu aliouinitiate CIC ni kuchochea uhaini. Lakini pia ukiangalia kuanzia kuutoa Mwili Lugalo,kuuingiza Uhuru na kuuondoa vyote vimefanywa na kusimamiwa na JWTZ ChinI ya coordination ya Kamati. Mtu kuibuka na kusema limefanywa na viherehere wasio wanajeshi unaona kabisa ni hoja za kihaini tu zimetawala eti bwana Donie Yen kwenye lile Ceremonial Limousine lililokua linapull casket uliona wamepanda kina Gondwe na Mhagama???
Kichaa ni Yule tu aliyekuzaa Juha Wewe.
 
Mbona mlisema Magufuli hapendwi, sasa mnakuja na gia nyingine "sisi ote kisa jua janja enu". Hamkosi kukosoa.
Mkuu rudia kusoma comment yangu, hakuna sehemu nilipotaja jina la Magufuli, nimezungumzia hali halisi ya ulinzi na utaratibu wa leo pale uwanjani. Hata hivyo sipendi siasa na siyo mwanasiasa ila huwa napenda kuwa upande ambao upo real katika kutekeleza majukumu yake ndiyo maana nimeudhuria kumuaga mzee.


Sipendi siasa na wanasiasa ila nawapenda viongozi wenye uweledi katika kutekeleza wajibu.

Magufuli hakuwa mwanasiasa bali alikuwa kiongozi.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom