Sasa ndugu yangu BAGAH, wewe endelea hapo na harakati mimi nikirudi jioni ni kukamilisha tuuu, ngoja niwatumikie Kwanza Watanzania hapa
si ninampa nafasi ya yeye kukiri kuwa amekubali kuachia ngazi ... ila kama atakuwa haeleweki bado basi tunapindua kwa nguvu
Kama tukikusamehe...tutakupa hiki kitengo nimegundua uko juu...haha!huna mtani hapa asee!...kiufupi unatakiwa uwe MC au mfungua SHAMPENI siku ya harusi...ova!
Mtally najua ww mjanja...njo tunakutana PLAYTIME...hope unapajua,wewe si mjanja!...achana na akina ericky vikao wanafanyia manzese!
Kama tukikusamehe...tutakupa hiki kitengo nimegundua uko juu
Shaka ondoa, ngoja nijichanganye na konyagi mwitu ili nichangamke mapemaaa.
afadhali ndugu yangu tuanzae kupiga kura za kutokuwa imani na kamati hii
hah ulikua hujui.... ilikuwa zamaaaaaaaaaaani.... sie tunataka kuvunja kamati...
Wajameni hii vipi ?
"Uzi-Ajuza" huu umekujakujaje hapa ?
Unan'tia wahaka usijenivurugia Kinyemi changu kinachonipigisha Mswaki wangu currently!
katukumbusha mbali huyu,lakini all in all naamini husn yumo humu jamvini kwa ID nyingine.