Duh sidhan kama kuna mpinzani hapo....
Utakuwa na bibie Smile au?
me ntatoa nguruwe watatu km mchango wangu
Inahusika mapambo sehemu zote...ukumbi na biharusi lol..Hahahaaaaa nilikuwa nakungoja hapo...hivi kwenye kumpamba bi harusi ni kamati yako ndo inahusika?
Yan we badala ya kuchagua kitengo unaanza kuleta majungu yako tena!Khaa,kweli wewe ni mpana kama pazia la leba,jana mtongozo leo ushajipa kamati?
Ntafute manake hela zote za mapambo ntakuwa nazo mimi...jamani mimi ntaleta likampuni langu la mapambo,lipambe mpaka washangae,ila chakula mtalipia ili kampuni iandae machakula ya kutosha na yakuvutia kwakweli!
me ntatoa nguruwe watatu km mchango wangu
Hapo sawa hebu mtafute SweetLady mjipange vema kwa hilo maana tunataka mambo ya kimataifajamani mimi ntaleta likampuni langu la mapambo,lipambe mpaka washangae,ila chakula mtalipia ili kampuni iandae machakula ya kutosha na yakuvutia kwakweli!
Mimi na wewe ni wasimamizi wa hii ndoa.Nipeni kamati ya starehe
jamani mimi ntaleta likampuni langu la mapambo,lipambe mpaka washangae,ila chakula mtalipia ili kampuni iandae machakula ya kutosha na yakuvutia kwakweli!
Hapana......wa kufuga??
ingependeza ungewasiliana na malaria sugu ili kama anaweza nae kutuongezea japo wawili.
Ntaua mtu, konie mambo?mbona tumeshakula harusi leo asubuhi??
Hawakukupa kadi??
Pole wee, unalala tulikoamkia?