Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Khaa,kweli wewe ni mpana kama pazia la leba,jana mtongozo leo ushajipa kamati?
Yan we badala ya kuchagua kitengo unaanza kuleta majungu yako tena!
Lol
Nakupangia kamati ya Majungu na Fitna na watani.....mumzuie ni harusi hadi mpewe Juice ya matango
 
jamani mimi ntaleta likampuni langu la mapambo,lipambe mpaka washangae,ila chakula mtalipia ili kampuni iandae machakula ya kutosha na yakuvutia kwakweli!
 
ingependeza ungewasiliana na malaria sugu ili kama anaweza nae kutuongezea japo wawili.
Nyi naona mnataka kuchafua hali ya hewa
Lol
Malaria Sugu akija hakawii kuja na ahadi ya bata mzinga mia moja
 
jamani mimi ntaleta likampuni langu la mapambo,lipambe mpaka washangae,ila chakula mtalipia ili kampuni iandae machakula ya kutosha na yakuvutia kwakweli!
Ntafute manake hela zote za mapambo ntakuwa nazo mimi...
 
jamani mimi ntaleta likampuni langu la mapambo,lipambe mpaka washangae,ila chakula mtalipia ili kampuni iandae machakula ya kutosha na yakuvutia kwakweli!
Hapo sawa hebu mtafute SweetLady mjipange vema kwa hilo maana tunataka mambo ya kimataifa
 
mbona tumeshakula harusi leo asubuhi??
Hawakukupa kadi??

Pole wee, unalala tulikoamkia?
 
mbona tumeshakula harusi leo asubuhi??
Hawakukupa kadi??

Pole wee, unalala tulikoamkia?
Kongosho kweli ulikuwa umelala..
ile ya asubuhi ilikuwa ni family party ya kumwaga Husny haikuwa harusi..
Chagua kamati faster
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom