The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Hapo bwana andunje kutoka kongwa meno yote nje 😁😁
kamati 'imeelekezwa'..Nilisema tu lazima hiyo kamati imkute na hatia
Yaani we jamaa comments zako zote huwa ni uharo tu, sometimes ni bora uwe unapita kimya tu.Masele hakutumwa kupeleka vurugu kwenye bunge la AU.
Masele anatamani kiti cha bosi wake tu
Huyu ni kumsimamusha mwaka mzima mpa bunge liishe atafutwe muwakilishi mwingine
Hana tofauti na na Bhanji aliekua analeta vurugu EALA,Bhanji kang'olewa EALA sasa kumetulia
Habari za uhakika, Mamlaka za juu zimemuelekeza SPIKA kuondoa hoja ya Kamati ya maadili haraka iwezekanavyo. Kumejitokeza sintofahamu Bungeni baada ya SPIKA kusema Bunge limsamehe Masele kinyume na mapendekezo ya Kamati. La kuchekesha zaidi Bunge limefikia uamuzi bila kuondoa hoja ya awali ya Kamati.
Spika kala za uso jamani, Pole sana Ndugai. Ndo umjue Magufuli.
Kwa mujibu wa ndugai NI kwamba anamekuwa akifanya mambo ya hovyo hovyo na kuichonganisha serikali na bunge. That is why alipoitwa kurudi aliwasiliana na PM badala ya spika.
Taarifa ya Kamati iliyosomwa ilipendekeza afungiwe mikutano 3. Wakati Mwenyekiti anamaliza kusoma, SPIKA akapata ujumbe wa SIMU toka kwa Mwenye Mamlaka ya juu, basi ikabidi awaambie Wabunge eti wampuuze na kumsamehe Masele. Hivyo Taarifa haikujadiliwa tena na wala utaratibu wa kuondoa hoja haukufanyika. SPIKA ametishwa Ndugu, kajichanganya.Sasa hilo la kumfungia mikutano ni uamuzi wa nani?
labda Dingi kaingilia kati.Breaking news!!!!!
Bunge limemsamehe massele
Source: Gazeti Mwananchi
Hata mimi nimejiuliza hili swali, bunge la bajeti inaendelea yeye yuko PAP. Waliamua kumsumbua tu.Kwani ameshaudhuria vingapi mpka sasa?
Habari za uhakika, Mamlaka za juu zimemuelekeza SPIKA kuondoa hoja ya Kamati ya maadili haraka iwezekanavyo. Kumejitokeza sintofahamu Bungeni baada ya SPIKA kusema Bunge limsamehe Masele kinyume na mapendekezo ya Kamati. La kuchekesha zaidi Bunge limefikia uamuzi bila kuondoa hoja ya awali ya Kamati.
Spika kala za uso jamani, Pole sana Ndugai. Ndo umjue Magufuli.
Hiyo ndio maana ya amri toka juu...huyo Ndio Magufuli hakuna cha mhimili wala bunge huru wote wanaburizwa tu.Taarifa ya Kamati iliyosomwa ilipendekeza afungiwe mikutano 3. Wakati Mwenyekiti anamaliza kusoma, SPIKA akapata ujumbe wa SIMU toka kwa Mwenye Mamlaka ya juu, basi ikabidi awaambie Wabunge eti wampuuze na kumsamehe Masele. Hivyo Taarifa haikujadiliwa tena na wala utaratibu wa kuondoa hoja haukufanyika. SPIKA ametishwa Ndugu, kajichanganya.
vyovyote vile 2020 Masele ndiyo anatakiwa kuwa spika wa bunge hili dhaifu.Breaking news!!!!!
Bunge limemsamehe massele
Source: Gazeti Mwananchi