mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,841
- 106,043
Hawajipendi......Mbona kamati haijatangaza maamuzi ya Bashite, Pascal Mayalla na Zitto?
Ndivyo ilivyo, inasemekana wakati mwenyekiti anasma mapendekezo jamaa alipokea simu, baada ya kuongea na simu kabla hata mapendekezo hayajaisha akasimama na kutangaza kuwa wabunge waachane na masele kwani kamsamehelabda Dingi kaingilia kati.
Inaelekea hata pm aliona ni wastage of timeNatural justice should be exercised!
Ukituhumiwa,lazima upewe nafasi ya kujitetea
Jiulize mbona alipopelekewa wito aligoma kwa madai ameshaongea na Pm kana kwamba Pm ndio bosi wake
Home boy forever.....Mzee 'Kipaza sauti' chalii.Ndivyo ilivyo, inasemekana wakati mwenyekiti anasma mapendekezo jamaa alipokea simu, baada ya kuongea na simu kabla hata mapendekezo hayajaisha akasimama na kutangaza kuwa wabunge waachane na masele kwani kamsamehe
Magufuli bwana anaibuka dakika za mwisho na kujizolea point zote tatu kiulaini....
Pole Ndugai kwa hii aibu.
Mi nafikiri mkuu hapo juu alichouliza ni kuwa kosa hilo amelitenda kwenye bunge gani.Sijui kama unafahamu kwamba maselle ni mbunge wa shinyanga mjini?
Hiyo tiketi ya PAP kaipata kupitia bunge la JMT,kama kuna tuhuma za utovu wa nidhamu ni lazima waliomtuma wamuhoji.
Kwa Bhanji watu waliongea na viongozi wa chama chake,wakamfyekelea mbali
Hivi kosa la Maselle ni lipi mbona halisemwi?Mwenendo wa bunge la ndugai unazidi kudhihirisha udhaifu wa chombo hili kutokana na maamuzi ya kiongozi wa bunge. Ndugai amekuwa akiitumia kamati ya maadili kama mhuri wake wa kufanya visasi na kuwakomoa asiowapenda, suala lisilo na tija kwa taifa. Kwanini anashindwa kulielekeza bunge ktk kuisimamia serikali dhidi ya matumizi mabaya ya fedha na madaraka, na badalayake analitumia bunge kama mahakama ya kuwakomoa asiowapenda na kujigeuza nyumba ndogo ya watawala?
Hahahha.... Aisee Chadema mmejikatia tamaa kabisa ya kushinda?vyovyote vile 2020 Masele ndiyo anatakiwa kuwa spika wa bunge hili dhaifu.
hayo ndio makosa yake au una mhemuko tu kama ndio je AU bunge hawana kamati ya maadili y wasimhoji, leteni madudu yake haya hayana mashiko kwetuMasele hakutumwa kupeleka vurugu kwenye bunge la AU.
Masele anatamani kiti cha bosi wake tu
Huyu ni kumsimamusha mwaka mzima mpa bunge liishe atafutwe muwakilishi mwingine
Hana tofauti na na Bhanji aliekua analeta vurugu EALA,Bhanji kang'olewa EALA sasa kumetulia
anatuhumiwa kwa lipi weka waziNatural justice should be exercised!
Ukituhumiwa,lazima upewe nafasi ya kujitetea
Jiulize mbona alipopelekewa wito aligoma kwa madai ameshaongea na Pm kana kwamba Pm ndio bosi wake
Aiseee,sasa kulikuwa na sababu gani ya kulifanya hili suala kuwa wazi kwa umma?Yeye ndie anajua na bunge si Kila kosa huanikwa hadharani ndio maana kuomba msamaha
wewe unahitaji PHD kujua idadi ya wabunge wa CCM watakaokuwa bungeni???Hahahha.... Aisee Chadema mmejikatia tamaa kabisa ya kushinda?
Dah sambi nyee