Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,145
- 26,140
Nimeona watu wakilalamika kuwa kwann ripoti imetoka wakati haina upande wa pili ambao ni Makonda!Hapa Makonda amekwepa mwenyewe kutoa ushirikiano kwa kamati kufikia hadi kuwatoroka ofisini kwake!
Lakini pia tujikumbushe kamati ya Mwakyembe juu ya Richmond,hawa walisafiri mpaka marekani lakini hawakumuhoji lowassa ambaye alikuwa tayari kutoa ushirikiano!Kamati iliwasilisha ripoti bungeni bila maelezo ya lowassa!Mwenyewe alilalamika kwa kutohojiwa na kamati!
Tuache double standard!