zaweza uzwa kwa mtu binafsi na ushangae yeye akazindesha vizuri tu ama wazigeuze ziwe za kutembelea viongozi tuWafanye kazi kwa weledi,waache uzembe na kuleta lawama.
zaweza uzwa kwa mtu binafsi na ushangae yeye akazindesha vizuri tu ama wazigeuze ziwe za kutembelea viongozi tuWafanye kazi kwa weledi,waache uzembe na kuleta lawama.
Ok, Samia anaweza akakwepa hili, CCM je!? Inakwepaje!?Rais Samia usikubali ATCL ikufe mikononi mwako, itatupa kazi ngumu kuwashawishi wananchi for relection 2025.
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko mahututi na litakufa hivi karibuni.
Itakumbukwa kwamba suala la mkurupuko katika kulifufua shirika la ndege la Tanzania, ATCL, ni jambo lililosemwa sana na watu wa upinzani na Watanzania kwa ujumla, lakini CCM na serikali iliyopo madarakani siku zote hawakutaka kusikiliza na kukebehi ushauri na mapungufu yaliyokuwa yakitolewa na wadau hao.
Kwa kauli hii ya kamati ye fedha, inadhihirisha mtazamo kwamba sio kila ushauri unaotolewa na upande wa upinzani ni mbaya na unapaswa kubezwa kwamba ni harakati za upinzani kupinga kila kitu.
Nukuu ya maneno ya Makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha PAC juu ya kuwa mahututi na kifo cha ATCL hivi karibuni iko hapa chini.
View attachment 1916189
Tafsiri; "ukichukua madeni yote ya ATCL, yanayofikia 472.8bln/-, na mtaji wa mali za shirika ambazo ni 256.2bln, na ukatoa thamani ya madeni toka madeni toka mtaji, wanabaki na mtaji ambao ni deni wa 216.6bln, alifafanua (Hasunga), akisisitiza kwamba hii ni dalili kwamba ATCL iko mahututi na itakufa hivi karibuni"
Jambo moja ambalo kamati ya fedha imeliongelea kwa namna ya kukosoa sana na kuonyesha kuwa ni mojawapo ya chanzo cha matatizo ya ATCL ni suala la kwamba ndege za ATCL sio zao ni za serikali kwa hiyo kwa namna fulani ATCL wanakuwa hawana mamlaka kamili kusimamia ATCL, bali mamlaka hayo yako Wizara ya Usafirishaji. Hii ni pamoja na matengenezo na matumizi ya ndege za ATCL. PAC imeeleza kuwa hawawezi kutoa maagizo moja kwa moja bali lazima wapitie kwa Katibu Mkuu Wizara ya Usafirishaji.
Angalia:
Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?
Kwa habari kamili fuatilia
PAC queries ATCL, TGFA planes’ lease
THE Public Accounts Committee (PAC) of the National Assembly has raised contentious issues in the contract between Air Tanzania Co. Ltd (ATCL) and the Tanzania Government Flight Agency (TGFA).www.ippmedia.com
zaweza uzwa kwa mtu binafsi na ushangae yeye akazindesha vizuri tu ama wazigeuze ziwe za kutembelea viongozi tu
Umeongea kisomi sana!!!Hii ni dalili” ajabu sana, kwa hizo figures Ina maana ATCL doesn’t exist, sasa itakufaje?
Kuna jibu gani hapa? Kweli hizi porojo ndizo unaona ni majibu. Be seriousUmeshajibiwa hapa chini
Na kumbuka kwamba hasara wanazopata mashirika mengine ndio ilikuwa sababu kubwa ya kupinga uendawazimu wa kununua ndege kwa kukurupuka.
Sasa leo mnatumia sababu zilezile mlizokataa kuzisikiliza wakati huo, ikimaanisha bado mna opofu usiotibika.
Suala la kusingizia wahujumu waliopandikizwa ni utopolo mtupu
Hivi wewe hao jamaa wanakulipa ngapi kwa kampeni hii? Tunajua wazi unafanyakazi hii kwa malipo. Tujulishane mwenzetu umeahidiwa kupewa kiasi gani?Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko mahututi na litakufa hivi karibuni.
Itakumbukwa kwamba suala la mkurupuko katika kulifufua shirika la ndege la Tanzania, ATCL, ni jambo lililosemwa sana na watu wa upinzani na Watanzania kwa ujumla, lakini CCM na serikali iliyopo madarakani siku zote hawakutaka kusikiliza na kukebehi ushauri na mapungufu yaliyokuwa yakitolewa na wadau hao.
Kwa kauli hii ya kamati ye fedha, inadhihirisha mtazamo kwamba sio kila ushauri unaotolewa na upande wa upinzani ni mbaya na unapaswa kubezwa kwamba ni harakati za upinzani kupinga kila kitu.
Nukuu ya maneno ya Makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha PAC juu ya kuwa mahututi na kifo cha ATCL hivi karibuni iko hapa chini.
View attachment 1916189
Tafsiri; "ukichukua madeni yote ya ATCL, yanayofikia 472.8bln/-, na mtaji wa mali za shirika ambazo ni 256.2bln, na ukatoa thamani ya madeni toka madeni toka mtaji, wanabaki na mtaji ambao ni deni wa 216.6bln, alifafanua (Hasunga), akisisitiza kwamba hii ni dalili kwamba ATCL iko mahututi na itakufa hivi karibuni"
Jambo moja ambalo kamati ya fedha imeliongelea kwa namna ya kukosoa sana na kuonyesha kuwa ni mojawapo ya chanzo cha matatizo ya ATCL ni suala la kwamba ndege za ATCL sio zao ni za serikali kwa hiyo kwa namna fulani ATCL wanakuwa hawana mamlaka kamili kusimamia ATCL, bali mamlaka hayo yako Wizara ya Usafirishaji. Hii ni pamoja na matengenezo na matumizi ya ndege za ATCL. PAC imeeleza kuwa hawawezi kutoa maagizo moja kwa moja bali lazima wapitie kwa Katibu Mkuu Wizara ya Usafirishaji.
Angalia:
Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?
Kwa habari kamili fuatilia
PAC queries ATCL, TGFA planes’ lease
THE Public Accounts Committee (PAC) of the National Assembly has raised contentious issues in the contract between Air Tanzania Co. Ltd (ATCL) and the Tanzania Government Flight Agency (TGFA).www.ippmedia.com
Tunanunua ndege kwa cash. tozo ziendeleee.Kwahio na zile ndege tulizoongezea nabado tunaongezea tunazidi kuchoma tu pesa ?
Ni roho mbaya tu, watu tulikuwa tunapanda fastjet kwa bei cheee...chaap chaap.Walipobaki wenyewe baada ya Fastjet kufukuzwa nchini walifikiri kuwa wameula kumbe wameula wa chui!
View attachment 1916474
Sio mbili mkuu nasikia ni 3 tena moja lile likubwa la dreamliner na 2 airbus. Lakini mimi najiuliza, nini kifanyike ili hilishirika lisife? Tunakwama wapi?Kesho utasikia Rais anapokea ndege mpya 2 tena
Sio mbili mkuu nasikia ni 3 tena moja lile likubwa la dreamliner na 2 airbus. Lakini mimi najiuliza, nini kifanyike ili hilishirika lisife? Tunakwama wapi?
Hahahaha akili zako wewe unazijuwa mwenyeweWalipoenda sokoni na cash money zao walisema wanataka ndege, wakauziwa bata mizinga wakati wenzao wananunua njiwa.
CCM akili wanazo kwaniHawa walijinasibu kuwa shirika linajiendesha kwa faida sasa likoje mahututi tena?
Tuna madeni mengi na ndege haziko huru kuruka sehemu nyingi ambazo zingeleta tija.Sio mbili mkuu nasikia ni 3 tena moja lile likubwa la dreamliner na 2 airbus. Lakini mimi najiuliza, nini kifanyike ili hilishirika lisife? Tunakwama wapi?
Tuna madeni mengi na ndege haziko huru kuruka sehemu nyingi ambazo zingeleta tija.