Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,801
- 12,248
Hata walioshiriki ku-compile hayo mavitabu wengine hawajasoma page zote!Ndo wameandika hayo mavitabu yote au wamekopi tu maandishi ya wengine na kuyakusanya na kuyaweka yaonekane kama mavitabu?
Halafu sidhani kama Samia atayasoma 🤣...