notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 452
dreaming as usual..Aache ubabe kwa maslahi ya CCM na vibaraka wake?
jikite kwenye mada.
BTW:Hizi sheria za kikoloni wanazotaka kutunga zitakua kichocheo kikubwa cha mageuzi.Harakati za kuipinga sheria ya kidhalimu zitaleta impact ambayo hawakuitarajia
we are all out for you guys and no way back till you are decomposed to nothing.