Kamati ya Bunge yathibitisha ukweli wa Mtonyaji (alioutoa 2012) wa mikakati ya kuihujumu Chadema

Aache ubabe kwa maslahi ya CCM na vibaraka wake?

jikite kwenye mada.

BTW:Hizi sheria za kikoloni wanazotaka kutunga zitakua kichocheo kikubwa cha mageuzi.Harakati za kuipinga sheria ya kidhalimu zitaleta impact ambayo hawakuitarajia
dreaming as usual..
we are all out for you guys and no way back till you are decomposed to nothing.
 
Kuihujumu chadema? kwa nini isiwe kuhujumu vyama vya siasa kikiwemo CCM chenyewe?

Uko sahihi mkuu. Lengo hili litahujumu vyama vyote pamoja na CCM. CCM irtakapojipendelea kupitia makada wake MADC/MARC mimi binafsi nitaenda mahamani.
 
Hivi Aweda uwezo wako wa kufikiri upoje? Yaani huwa napata sana shida kuelewa kile unachokiandika. Hakika wewe ni janga la CHADEMA
Elimu yako ya shule za kata haiwezi kukuruhusu kuelewa mambo makubwa ndio maana unalalama hapa. Uwezo wako ni kuimba kama kasuku kuisifia CCM!
 
Ni vyepesi sana viongozi wa Serikali ya CCM kuendelea kuuawa kwa mawe na wananchi wenye Hasira kali maana kupotosha na kupindisha na kuwanyima Raia Haki yao huko ni kuulazimisha kughadhibika na kujichukulia sheria mikononi mwao.
 
Tatizo la Tanzania ni zaidi ya Rais. Wapambe wa Rais ndo matatizo zaidi ya Rais mwenyewe na Rais ameshindwa kuwathibiti. Kuwatimua mizigo tu mpaka aombe sapoti ya Kamati kuu? Why kama siyo kuwashindwa???
kama lilivyo tatizo la mwenyekiti wa chama chenu ambaye anategemea ushauri wa wapambe wake wavuta bangi na elimu zao za MAGUMASHI akina SUGU,LEMA,MSIGWA and the like.
you guys are very far from knowing politics and leadership. ila hiyo inatupa fursa ya kujua madhaifu yenu
 
Attachments

  • 1387354319987.jpg
    1387354319987.jpg
    38.7 KB · Views: 74
Mkuu Aweda, hili neon 'kutonywa' lilikuwa ni moja kati ya sababu zilizotajwa na uongozi wa juu wa chadema kwamba ''Zitto hakuutonya uongozi ili waandae hesabu ili chama kisiaibike''kuna ukweli nimeupata hapa kwamba mnapenda kufanya kazi kwa ''kutonywa''na watu msiopenda kuwaanika...kasha mnaamini JK akisema ''akili za kuambiwa changanya na za kwako'' mnatoka povu. Nakuja kwenye mada ya kwanza ''sharia ya kuongoza maandamano'' mwanzo unasema kwamba sharia itaonekana nzuri.....ila baadaye itakuwa ngumu kutekelezwa mimi nafikiri unajichanganya sababu sharia mbaya au nzuri huonekana hata kwenye maandishi kabla ya utekelezaji na ni vema 'ukawatonya' viongozi wa CDM la sivyo hii sio issue, Hoja'' yakudhibiti fujo bungeni'' hivi Aweda unakubaliana na mambo yaliyofanywa na akina Nkamia,Sugu,Mbowe,Lema,Lusinde nk....lazima kuwe na sharia kali waliyoyafanya ni aibu kwa taifa na hasa majimbo wanayotoka tunapoelekea bila udhibiti watu watakojoa na kunya bungeni kisa wana kinga. Kuhusu suala la mauaji Arusha siwezi kuzungumzia sababu sina ushahidi ila sababu Lema na CDM wana ushahidi wato kopi wakabidhi police hata mbele ya waandishi wa habari....kwa sababu nakuhakikishia kama ambavyo Chadema walivyopinga uteuzi wa tume ya katiba na tume mbalimbali ni ngumu pia sababu hata tume hii atakayeunda Jaji Mkuu ni mteule wa raisi ni ngumu kuonekana kwa CDM kwamba ni ''Independent Commission'' sababu mara nyingi mnashinikiza kuunda tume huku mkiwa na majibu/matokeo mnayoyataka(matarajio yenu). Mfano mzuri ni kwamba sasa inaonekana CDM wameridhika sana na rasimu ya katiba na kutowa sifa lukuki wakati mwanzoni mlikuwa wapinzania wa uteuzi na hata mara kwa mara Slaa alitoa mwito Baregu ajiengue kutoka kwenye tume.
 
Aache ubabe kwa maslahi ya CCM na vibaraka wake?

jikite kwenye mada.

BTW:Hizi sheria za kikoloni wanazotaka kutunga zitakua kichocheo kikubwa cha mageuzi.Harakati za kuipinga sheria ya kidhalimu zitaleta impact ambayo hawakuitarajia

Hivi juzi alivyouwawa mwenyekiti wa CCM huko mwanza hawaoni kuwa hizo tayari ni dalili kuwa watanzania wameshabadilika na hawavumilii wanapoona haki zao hazipatikani. Kama kweli sheria inamlinda mbona aliuwawa? si wangeogopa sheria wakamwacha. CCM someni alama za nyakati acheni kugandamiza watu
 
Wakuu,
Takribani mwaka moja umepita tangu nilipowatonya kupitia uzi niliyounukuu hapa chini, kuwa kuna mtu serikalini amenitonya kuwa kuna mikakati mizito ya kuihujumu Chadema kabla ya 2015 ambayo pia imetengewa mafungu ya kutosha. Mmoja ya mikakati niliyoitaja wakati huo ni kuangalia uwezekano wa kutungwa kwa sheria inayoitwa 'Sheria ya kuonngoza Maandamano' au jina lingine lolote wakayoiita. Kwa mujibu wa mtonyaji wangu, ndani ya sheria hiyo kutawekwa mambo yatakayoonekana ni mazuri kwa nje lakini ikishaanza kutekelezwa ndo utaona ugumu wake.

Mfano michache ya vipengele vinavyotaka kuingizwa ni haya.

Mosi, Kiongozi wa Chadema wa eneo X (eg Ruvuma) atatakiwa apate kibali cha viongozi wa mkoa wa Y (Manyara) kama RC/DC au ye yote ili apate kibali cha kuhutubia mkutano au kushiriki operesheni ya ujenzi wa chama. Lengo hapa ni kuwathibiti wale viongozi maarufu wa Chadema hasa wabunge wasipeleke ushawishi wao nje ya maeneo yao waliyochaguliwa kwa kuwa vibali hivyo vitapatikana kwa tabu sana.

Pili, Mchakato au utaratibu wa kupata kibali cha mkutano utawekewa mlolongo na masharti au urasimu marefu na hivyo kupunguza kabisa mikutano ya Chadema kila kona ya nchi hii.

Tatu, kutakuwa na masharti mengi pia yatakayohusu nyakati za Chaguzi mbali mbali.

Baadhi ya magazeti jana yamenukuu kauli ya kamati mojawapo ya Bunge ( Ni Ulinzi na usalama kama sijasahau) ikipendekeza kutungwa kwa kanuni ya Bunge ya kuthibiti fujo Bungeni na wakati huo huo wakiitaka serikai pia ije na sheria ya kuthibiti maandamano sawa sawa na nukuu ya Mtonyaji wangu hapa chini. Msingi wa hoja yao ni fujo za Bungeni huku wakikwepa hoja ya vifo ktk maandamano ya Chadema maana hoja ya Chadema ya kudai kuundwa kwa tume ya kimahakama ya kuchunguza vifo (+ bomu la Arusha) ni mwiba mkubwa sana kwao.

Soma sehemu ya nukuu ya nilichokiandika hapa chini ili ujue kuwa huwa hatubatishi tunapofunua wazi hujuma zao.

Wakuu,

Jumatatu niliweka uzi hapa kuhusu nini hasa kinachoweza kuwa nyuma ya pazia la vifo vyenye utata ktk mikutano ya Chadema. Mtumishi wa idara muhimu ya serikali alniambia kuwa kuna mkakati wa kujaribu kudhoofisha chama chenu serikalini.
Kwamba mkakati wa serikali ni kutunga sheria ya kuthibiti vyama vya upinzani hususani Chadema mbele ya safari.
Kwamba hofu yao ni kama sheria hiyo itakukubalika kwa wananchi na wahisani. Na kwamba kuna maofisa wanaodhani kuwa sheria hiyo italeta vurugu.
Na hoja yake ni kwamba inawezekana vifo hivyo vimepangwa ili kuwalainisha wahisani, na kuwaandaa wananchi kuikubali sheria husika pamoja na kuwapa hoja wakubwa serikalini wanaoipigia chapuo sheria hiyo. Pili, sheria ikikwama basi mbinu za kuwachafua zinaweza kutumika. Utunzi wa sheria hii ulishadokezwa hadharani Bungeni na Mwanasheria mkuu.
mwisho wa kunukuu.

NB. Kuna tetesi nimepata ya kutaka viongozi wawili wa juu wa Chadema wasifike 2015 iwe kwa ajali, sumu kwenye chakula au njia yo yote itakayoepusha malalamiko kutoka kwa wananchi. Time will tell.

Nawasilisha.
Aweda, Mikael
.

Tatizo ni hiki CHAMA CHA 'MIZIGO' kilivyojaa woga na HIVYO kutumia NJIA zozote za kifiddhuli ili kulinda uhai wake pamoja na kuwa KIPO dhaifu kuanzia Yule aliyepo pale juu 'mteua mizigo' hadi yule wa chini ngazi ya kitongoji yaani 'vimizigo'
CDM ni chama chenye Mungu! Mizigo kitahangaika sana pamoja na serikali yake kukihujumu lakini 'malaika wa ukombozi' atapenya kati yao na kutangaza ushindi wa demokrasia.
 
Mkuu, hivi Ikulu mtaingia tu kwa kuendelea kufukuzana namkushinda humu JF? Hakika CHADEMA msahau kabisa suala la kwenda Ikulu labda mpaka mwaka 2080

Subiri, makaburu wa Africa Kusini hawakutarajia siku moja wataongozwa na mwafrika. CCM mnaakili sawa na makaburu.
 
Vipi hili la Mwenyekiti kuruka na kimada wake New York na Dubai kwa pesa za walipa kodi, halikuuma hili kamanda?
 
Wakuu,
Takribani mwaka moja umepita tangu nilipowatonya kupitia uzi niliyounukuu hapa chini, kuwa kuna mtu serikalini amenitonya kuwa kuna mikakati mizito ya kuihujumu Chadema kabla ya 2015 ambayo pia imetengewa mafungu ya kutosha. Mmoja ya mikakati niliyoitaja wakati huo ni kuangalia uwezekano wa kutungwa kwa sheria inayoitwa 'Sheria ya kuonngoza Maandamano' au jina lingine lolote wakayoiita. Kwa mujibu wa mtonyaji wangu, ndani ya sheria hiyo kutawekwa mambo yatakayoonekana ni mazuri kwa nje lakini ikishaanza kutekelezwa ndo utaona ugumu wake.

Mfano michache ya vipengele vinavyotaka kuingizwa ni haya.

Mosi, Kiongozi wa Chadema wa eneo X (eg Ruvuma) atatakiwa apate kibali cha viongozi wa mkoa wa Y (Manyara) kama RC/DC au ye yote ili apate kibali cha kuhutubia mkutano au kushiriki operesheni ya ujenzi wa chama. Lengo hapa ni kuwathibiti wale viongozi maarufu wa Chadema hasa wabunge wasipeleke ushawishi wao nje ya maeneo yao waliyochaguliwa kwa kuwa vibali hivyo vitapatikana kwa tabu sana.

Pili, Mchakato au utaratibu wa kupata kibali cha mkutano utawekewa mlolongo na masharti au urasimu marefu na hivyo kupunguza kabisa mikutano ya Chadema kila kona ya nchi hii.

Tatu, kutakuwa na masharti mengi pia yatakayohusu nyakati za Chaguzi mbali mbali.

Baadhi ya magazeti jana yamenukuu kauli ya kamati mojawapo ya Bunge ( Ni Ulinzi na usalama kama sijasahau) ikipendekeza kutungwa kwa kanuni ya Bunge ya kuthibiti fujo Bungeni na wakati huo huo wakiitaka serikai pia ije na sheria ya kuthibiti maandamano sawa sawa na nukuu ya Mtonyaji wangu hapa chini. Msingi wa hoja yao ni fujo za Bungeni huku wakikwepa hoja ya vifo ktk maandamano ya Chadema maana hoja ya Chadema ya kudai kuundwa kwa tume ya kimahakama ya kuchunguza vifo (+ bomu la Arusha) ni mwiba mkubwa sana kwao.

Soma sehemu ya nukuu ya nilichokiandika hapa chini ili ujue kuwa huwa hatubatishi tunapofunua wazi hujuma zao.

Wakuu,

Jumatatu niliweka uzi hapa kuhusu nini hasa kinachoweza kuwa nyuma ya pazia la vifo vyenye utata ktk mikutano ya Chadema. Mtumishi wa idara muhimu ya serikali alniambia kuwa kuna mkakati wa kujaribu kudhoofisha chama chenu serikalini.
Kwamba mkakati wa serikali ni kutunga sheria ya kuthibiti vyama vya upinzani hususani Chadema mbele ya safari.
Kwamba hofu yao ni kama sheria hiyo itakukubalika kwa wananchi na wahisani. Na kwamba kuna maofisa wanaodhani kuwa sheria hiyo italeta vurugu.
Na hoja yake ni kwamba inawezekana vifo hivyo vimepangwa ili kuwalainisha wahisani, na kuwaandaa wananchi kuikubali sheria husika pamoja na kuwapa hoja wakubwa serikalini wanaoipigia chapuo sheria hiyo. Pili, sheria ikikwama basi mbinu za kuwachafua zinaweza kutumika. Utunzi wa sheria hii ulishadokezwa hadharani Bungeni na Mwanasheria mkuu.
mwisho wa kunukuu.

NB. Kuna tetesi nimepata ya kutaka viongozi wawili wa juu wa Chadema wasifike 2015 iwe kwa ajali, sumu kwenye chakula au njia yo yote itakayoepusha malalamiko kutoka kwa wananchi. Time will tell.

Nawasilisha.
Aweda, Mikael
.

Washapitisha cku mingi
 
Hivi Aweda uwezo wako wa kufikiri upoje? Yaani huwa napata sana shida kuelewa kile unachokiandika. Hakika wewe ni janga la CHADEMA

Yaani ww kwa akili yako ya kigamba unaweza kutilia shaka fikira za kamanda aweda ama kweli misukule ya ccm inaweweseka!
 
jitu zima linaamka limebugia viroba linakuja kuleta hadithi hapa JF zisizokuwa na ushahidi ila uongo uongo, kauli ya JK kuwa TANZANIA kuna vijanani VIWANDA vya uongo naikubali kabisa

kweli kabisa yaani jitu linaamka linasema ngoja nitunge uongo. haya mseme huyu mtu aliekutonya
 
Aweda hii mada yako peleka kesho malumbano ya hoja watakupa ushauri. au vizia Kongamano ukaseme huu ujinga wako
 
CCM wanafikiri wanatunga sheria kwa ajili ya watu wengine .Wananchi wamechoka sana,watazeme mfano wa mwenyekiti wao aliyeuawa na wananchi wenye hasira huko Mwanza.Wasipotaka kubadilika,watabadolishwa.
 
Back
Top Bottom