Kamati ya Bunge yathibitisha ukweli wa Mtonyaji (alioutoa 2012) wa mikakati ya kuihujumu Chadema

Mkuu, hivi Ikulu mtaingia tu kwa kuendelea kufukuzana namkushinda humu JF? Hakika CHADEMA msahau kabisa suala la kwenda Ikulu labda mpaka mwaka 2080

Endelea kuota ndoto za mchana,naona ndoto zenu za cdm kufa zimeyeyuka kama barafu baada ya wasaliti kutoswa! cdm inapiga kazi daily huku vijijini wakati nyie mnahangaika hapo lumumba fc kupiga umbea jf.Wakati ccm haina ubavu wa kuitisha mkutano CDM wao wanapiga kazi na mikutano kibao ya kumwaga elimu ya uraia.
 
mabina kadundwa, kibri yote mfukoni pamoja na kabastola kake,
waache wajifurahishe kwa kujitungia visheria vya ajabu ajabu wakifikiri ndivyo vinarudisha mvuto.
 
Endelea kuota ndoto za mchana,naona ndoto zenu za cdm kufa zimeyeyuka kama barafu baada ya wasaliti kutoswa! cdm inapiga kazi daily huku vijijini wakati nyie mnahangaika hapo lumumba fc kupiga umbea jf.Wakati ccm haina ubavu wa kuitisha mkutano CDM wao wanapiga kazi na mikutano kibao ya kumwaga elimu ya uraia.
CCM inafanya kazi kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini kwa vile kina man power ua kutosha. Nyie ambao ni chama cha ukabila na ukanda, ndo maana mnahangaika mara mwanza, mara kigoma huku mkipopolewa na mawe. Hivi unakumbuka ziara ya Kinana huko Mbeya?
 
yaani tittle na contents tofauti kabisa

unachangia changia tu kama kichaa kashika kalamu?tulia mbona una mhemko sana?si ukae ukusanye mawazo yako ndo uandike apa, sasa kisa cha kuruka ruka kama umekalia screw ni nini?angalia great thinkers wanavochangia vizuri, wewe ni kuruka ruka tu....mnapenda siasa sana vijana n
mpaka mnajisahau
 
Aweda; usiwe na wasiwasi hawa Magamba wanajitungia sheria ya kuwabana wao wala sio CHADEMA,mwaka 2015 kwa vyovyote CHADEMA itaingia madarakana na hizi sheria za kipuuzi na kikandamizi wanazopitisha kwa sababu ya wingi wao zitawaumiza wao maana piga ua 2015 CCM will be oposition,waache watunge as many as they wish maana hali ilivyo kwa sasa CHADEMA ndio inayoongoza nchi 2015 tutakabidhiwa madaraka tuu na sisi ndio tutakao zisimamia hizi sheria na nijuavyo ustaarabu na utu wetu tutazibadilisha na kuwapa wapinzani wetu the then equal and fair political ground

kwanza jengeni ofisi zenu za chama ndio baadae kuingia ikulu jipe tamaa CHADEMA kuingia ikulu ni kitu kisichowezakana
 
Hivi katika ma great thinkers na wewe umo? Great thinker gani anaacha kujadili issues anajadili watu
 
kwanza jengeni ofisi zenu za chama ndio baadae kuingia ikulu jipe tamaa CHADEMA kuingia ikulu ni kitu kisichowezakana
Mkuu, waambie hawa. Maana wanatamani wawe kama CCM wakati chama tawala kina ofisi mpaka kwenye vitongoji. Wao hata makao makuu hawana
 
Mkuu, waambie hawa. Maana wanatamani wawe kama CCM wakati chama tawala kina ofisi mpaka kwenye vitongoji. Wao hata makao makuu hawana
Nawewe unamiliki nini?
Hahahahaaa huna hata aibu aisee
Unamiliki ujinga na ubongo mchafu kichwani mwako.
We ni km uko utumwani na hujajijua....njaa zako zitakuua jaribu kuwa makini
 
Aweda, wakati mwingine sikuelewi unachokiandika kwa nini usichukuwe muda wako akamshauri Dr.Slaa aache ubabe.

Aache ubabe kwa maslahi ya CCM na vibaraka wake?

jikite kwenye mada.

BTW:Hizi sheria za kikoloni wanazotaka kutunga zitakua kichocheo kikubwa cha mageuzi.Harakati za kuipinga sheria ya kidhalimu zitaleta impact ambayo hawakuitarajia
 
Nawewe unamiliki nini?
Hahahahaaa huna hata aibu aisee
Unamiliki ujinga na ubongo mchafu kichwani mwako.
We ni km uko utumwani na hujajijua....njaa zako zitakuua jaribu kuwa makini
Endelea tu kiwa msukule wa akina Mbowe hapo Kinondoni. Huna lolote zaidi ya ktumwatumwa tu kuwaandalia malazi wabunge wa viti maalum
 
Aache ubabe kwa maslahi ya CCM na vibaraka wake?

jikite kwenye mada.

BTW:Hizi sheria za kikoloni wanazotaka kutunga zitakua kichocheo kikubwa cha mageuzi.Harakati za kuipinga sheria ya kidhalimu zitaleta impact ambayo hawakuitarajia
Mkuu, hivi hapo kuna ubabe gani?
 
Aweda; usiwe na wasiwasi hawa Magamba wanajitungia sheria ya kuwabana wao wala sio CHADEMA,mwaka 2015 kwa vyovyote CHADEMA itaingia madarakana na hizi sheria za kipuuzi na kikandamizi wanazopitisha kwa sababu ya wingi wao zitawaumiza wao maana piga ua 2015 CCM will be oposition,waache watunge as many as they wish maana hali ilivyo kwa sasa CHADEMA ndio inayoongoza nchi 2015 tutakabidhiwa madaraka tuu na sisi ndio tutakao zisimamia hizi sheria na nijuavyo ustaarabu na utu wetu tutazibadilisha na kuwapa wapinzani wetu the then equal and fair political ground
DUH!!! hii nchi kweli ina watu HAMNAZO....
hivi hayo madaraka unayoongelea ambayo chadema watayachukua ni madaraka gani?????
hivi kweli hii SACCOS imefikia hatua ya kujiaminisha kuwa inaweza kuchukua nchi??? labda uchagani.
nina hakika wewe ndio wale wale akina MEKUU
 
AWEDA KAKA, hebu acha mbwembwe na ndoto zisizo na mashiko. we have got a fair and democratic president and
 
Masahihisho: Amshauri Dr, amshauri Jose kuacha ubabe. Primary character ya DR. sio mbabe, hiyo ni secondary character baada ya kumchanganya na Jo wa Ukwee

Aweda, wakati mwingine sikuelewi unachokiandika kwa nini usichukuwe muda wako akamshauri Dr.Slaa aache ubabe.
 
Aweda unaweza kuwa part of the plot kutokana na kiwango cha information ulichonacho!

Isije ikawa nawewe ni pandikizi ndani ya CDM!
 
Chadema ikulu? Ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano mm ni mwanachama mwaminifu wa chadema kwa hali ii ninayoiona tusahau
 
aweda.... usilete hekaya na ndoto zisizokuwa na tija kwa taifa. we have got a fair and democratic president but chadema is misusing him and ABUSING HIM.
naunga mkono mkakati wowote wa mabadiliko ya sheria/kanuni/taratibu kama mabadiliko hayo yatalenga kuidhibiti chadema na siasa zenu za kishetani.
mbona katika hao wote uliowataja kuwa wameuwawa hakuna mchaga wa moshi?? kwa nini hakuna aliye kiongozi mwandamizi wal yeyote kati yenu mnaotafuna ruzuku za chama??? iwaje wanokufa ni wengine tuu wanaotumika kama kondoo wa kafara???
tumewachoka.. na wengine tunatamani muende kuzimu na siasa zenu zisizo za ushindani bali za kishetani
 
AWEDA KAKA, hebu acha mbwembwe na ndoto zisizo na mashiko. we have got a fair and democratic president and

Tatizo la Tanzania ni zaidi ya Rais. Wapambe wa Rais ndo matatizo zaidi ya Rais mwenyewe na Rais ameshindwa kuwathibiti. Kuwatimua mizigo tu mpaka aombe sapoti ya Kamati kuu? Why kama siyo kuwashindwa???
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom