Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Saint Ivuga naheshimu sana michango yako lakn kwa hili la Lowassa kua raisi ckusupport

LAURENCE SUBIRI 2015 OCTOBER 30 AMA 31 PALE UWANJA MPYA WA TAIFA NDIO UTAJUA SAINT ANAMAANISHA NINI??
HUYU NDIE RAIS WA KWANZA KUAPISHWA KWENYE UWANJA WENYE HESHIMA NA NDIE RAISI ATAKAE TUONGOZA MIAKA 15 KWA MARA YA KWANZA TANZANIA SUBIRI
UONE AKIBAKIZA MIWILI KAMA ATUJAOMBA KUBADIILI KATIBA

msiichezee CCM, Chenge anang'oka leo rasmi na mkuu ELN hilo la M/kiti ila asipoangalia ndio mpasuko wa CCM

offcourse hata mimi simkubali Lowasa na Kikwete wake .. lakini JK mwenye mamlaka anashindwa nini kutoa sauti moja ili jamaa waondoke? Lowasa ana nguvu sana pale .. but let see the end of this.

angekuwa wa kungoka alitakiwa awe amefanya hivyo kabla ya kikao. huyu anajua madili yote ya mwenyekiti hivyo anataka na mwenyekiti naye ajivue gamba otherwise watamuleta Balali akiwa hai.

LAURENCE SUBIRI 2015 OCTOBER 30 AMA 31 PALE UWANJA MPYA WA TAIFA NDIO UTAJUA SAINT ANAMAANISHA NINI??
HUYU NDIE RAIS WA KWANZA KUAPISHWA KWENYE UWANJA WENYE HESHIMA NA NDIE RAISI ATAKAE TUONGOZA MIAKA 15 KWA MARA YA KWANZA TANZANIA SUBIRI
UONE AKIBAKIZA MIWILI KAMA ATUJAOMBA KUBADIILI KATIBA

Mkuu unaonekana unajiamini sana eeh? Utajisikiaje siku hiyo akitangazwa dokta wa ukweli? Naamini ataanza kuwashtaki kina El kwani tayari wapo kwenye list ya mwembe yanga

LAURENCE SUBIRI 2015 OCTOBER 30 AMA 31 PALE UWANJA MPYA WA TAIFA NDIO UTAJUA SAINT ANAMAANISHA NINI??

HUYU NDIE RAIS WA KWANZA KUAPISHWA KWENYE UWANJA WENYE HESHIMA NA NDIE RAISI ATAKAE TUONGOZA MIAKA 15 KWA MARA YA KWANZA TANZANIA SUBIRI

UONE AKIBAKIZA MIWILI KAMA ATUJAOMBA KUBADIILI KATIBA

Pdidy tumuombe Mungu uhai tuendelee kua humu humu ili maneno haya tuje ku proove binafsi cfikirii hivyo daima

jana kuna babu 1 katuchekesha anataka akate rufaa aurudie ujana kazi yake kuu nimwizi tapeli kabura hajazeeka alikuwa na mbinu 120 zakutapeli sasa zimebaki 15 kubwa ni kuuza dhahabu feki

nikiikumbuka ccm polopaganda zake na ilipo fikia kweli imezeeka kama huyu babu buliani ccm

offcourse hata mimi simkubali Lowasa na Kikwete wake .. lakini JK mwenye mamlaka anashindwa nini kutoa sauti moja ili jamaa waondoke? Lowasa ana nguvu sana pale .. but let see the end of this.

Poa mkuu ngoja tuone hii move

jakaya ana vyombo vya dola ambavyo chenge hana ila Lowassa ana wafuasi wa kutosha ktk watendaji wa CCM na pia any attempt ya kum assinate ni kashfa ambayo JAKAYA AHATAKAA SALAMA NAFSINI NA ROHONI, akilazimishwa kumtoa mbio CCM itachanika na si kwa style ya Mrema but for real na hata huo Muungano utakuwa shakani kwa wana CCM wenyewe, the otherside todate hawaeleweki ktk hili janga la kujivua magamba

Hatutaki wafanyabiashara waongoze CCM,na wewe kama unawatetea TOKA!!

kweli leo panachimbika hadi waliopo ndani wanakosa muda wakutu update, please wenye update waziweka hapa.

hatutaki wafanyabiashara waongoze ccm,na wewe kama unawatetea toka!!
kama unadhani ni wafanyabiashara ndio tatizo la ccm basi kweli wewe kobe--low, tafakari ukimya wa wazanzibar ktk kujivua gamba!!!! Mbona wao wana wana ccm tele wenye biashara bara na visiwani~~~!!!!!!

Lowassa anao wengi ndani ya ccm ila hana dola... Je jk yuko tayari kumtosa kwa tuhuma tu ????

Chenge ushahidi upo, rostam upo lakini lowassa ni upi???? Gire huyo yuko kitaaa hujiulizi tu......

Acha jazba tafakari kwa kina usilipuke mluguru

Back
Top Bottom