Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Naona leo umewapumzikia chadema

ha haaaa huuuuu hiiiiiii wacha nicheke miye. mods wamenitishia ban kama dada faiza. kuna tetesi za mods mmoja kuhongwa na chadema. ni yule aliyehama ccj. wakinifungia nitakuja na id nyingine. chadema hao walie tuuuuuu
 
_0866.jpg

HALI NI TETE WAKUU.

Wana CCM wengi wakiona watu hawa wakongwe katika siasa ya nchi yetu basi wanakuwa na imani kwamba CCM katu haiwezi kufa piga uwa Garagaza. Mimi naona hawa wakongwe tayari wameanza kuwa na wasiwasi kwamba CHAMA kimepoteza dira na mwelekeo na kipo chini ya uangalizi mkubwa kwa kifupi kipo under - Intensive Care Unit.

Bungeni Moto, Sisi kwa sisi ndani ya chama ni moto, kwa wananchi nako moto, Kwa wapinzani hasa CHADEMA ndiyo moto balaa - Hali yetu ni tete wana CCM wenzangu.
 
six alikuwa anatoa siri za vikao. kaachwa nje ya cc huko sasa hata fmes hawezi kupata habri.

sosi ya habari za fmes sio mzee malecela. mama kilango alikuwa sosi baada ya kuambiwa na sita.

malecela noma anamficha hata mkewe.

milango yote imefungwa hiyo jf mlie tu. subirini nec sita na wenzake watatoa siri

Umeichora picha mpaka inaonekana kama ya ukweli vile!!
 
ha haaaa huuuuu hiiiiiii wacha nicheke miye. mods wamenitishia ban kama dada faiza. kuna tetesi za mods mmoja kuhongwa na chadema. ni yule aliyehama ccj. wakinifungia nitakuja na id nyingine. chadema hao walie tuuuuuu
hiyo id nyingine wala haitanoga...! niulize mimi niliye kwenye ban....hii id ya pili ni kama vile nimepoteza identity!
 
six alikuwa anatoa siri za vikao. kaachwa nje ya cc huko sasa hata fmes hawezi kupata habri.

sosi ya habari za fmes sio mzee malecela. mama kilango alikuwa sosi baada ya kuambiwa na sita.

malecela noma anamficha hata mkewe.

milango yote imefungwa hiyo jf mlie tu. subirini nec sita na wenzake watatoa siri
Hivi wewe neno HABARI unalichukuliaje hata ile kujua hakuna aliyejivua gamba wakati kikao bado kinaendelea ni habari tosha iliyovuja wewe unataka kusikia Chenge amejivua ndiyo uite habari imevuja wewe vipi hata Membe kukaa kimya ni habari kuvuja vilevile tungejuaje alikaa kimya.
 
six alikuwa anatoa siri za vikao. kaachwa nje ya cc huko sasa hata fmes hawezi kupata habri.

sosi ya habari za fmes sio mzee malecela. mama kilango alikuwa sosi baada ya kuambiwa na sita.

malecela noma anamficha hata mkewe.

milango yote imefungwa hiyo jf mlie tu. subirini nec sita na wenzake watatoa siri

Mods mbona huyu FF anakuja na hii ID yake mnamwacha Mfungwa ni mfungwa tu, atakama anabadili vazi au jina mtu ni yuleyule arudishwe kifungoni tafadhali sana, mtendeeni haki yake.
 
Mods mbona huyu FF anakuja na hii ID yake mnamwacha Mfungwa ni mfungwa tu, atakama anabadili vazi au jina mtu ni yuleyule arudishwe kifungoni tafadhali sana, mtendeeni haki yake.

I think mod wamekusikia watamsadia kumbe huyu ndo FF basi muda wake hapa JF sio mrefu
 
mizizi wewe soma tu huo ujumbe mwingine. membe alikaa kimya hakusema kitu. membe sio mjumbe. je aliitwa halafu akawa hawezi kusema kitu. lowasa haongei bali anaongelewa na watu. ameitwa na mwenyekiti kujitetea akawa haongei na anaongelewa na watu. lowasa angekuwa mjumbe ningeelewa lakini si mjumbe. hiyo taarifa imepikwa kwa mabua ya mahindi. haijaiva kabisa.

Duh..., mtu mzima ukivuliwa nguo chuchumaa,... sasa jamaa kaendelea kusimamia alichoandika matokeo yake umempa za uso!
 
wewe mpalestina arafat kumbe choo hivyo tena cha kike.

mimi ningelikuwa na akili kama ya faiza ningefurahi sana. yule mdada akili inafanya kazi. ndio maana wanaume hapa wanamwogopa.

kunifungia mimi ni kunionea. nacheza rafu zile nyepesi nyepesi ambazo refa hawezi kuamua labda awe amehongwa na chadema kama yule ccj.

nyie mnataka ukumbi ibaki mibaba tu.
TAARIFA...!
yule dada au darasa zima la madrassa? Faizafoxy ni ID ya genge fulani...ndiyo maana kama ukichunguza utaona hakuna consistency katika utoaji hoja wake...! kuna siku unaona kama akili yake imepata akili kidogo..akajenga hoja zenye urojo mzito kidogo... mara kuna siku kimombo kinapanda ..mara kuna siku upupu tu kwa kwenda mbele! tafakari!
 
wewe mpalestina arafat kumbe choo hivyo tena cha kike.

mimi ningelikuwa na akili kama ya faiza ningefurahi sana. yule mdada akili inafanya kazi. ndio maana wanaume hapa wanamwogopa.

kunifungia mimi ni kunionea. nacheza rafu zile nyepesi nyepesi ambazo refa hawezi kuamua labda awe amehongwa na chadema kama yule ccj.

nyie mnataka ukumbi ibaki mibaba tu.

Ahaa haaa ndiye wewe bana huna ujanja tena hapa alafu unakiri kuwa unacheza rafu hapa.
 
_0866.jpg

HALI NI TETE WAKUU.

Wana CCM wengi wakiona watu hawa wakongwe katika siasa ya nchi yetu basi wanakuwa na imani kwamba CCM katu haiwezi kufa piga uwa Garagaza. Mimi naona hawa wakongwe tayari wameanza kuwa na wasiwasi kwamba CHAMA kimepoteza dira na mwelekeo na kipo chini ya uangalizi mkubwa kwa kifupi kipo under - Intensive Care Unit.

Bungeni Moto, Sisi kwa sisi ndani ya chama ni moto, kwa wananchi nako moto, Kwa wapinzani hasa CHADEMA ndiyo moto balaa - Hali yetu ni tete wana CCM wenzangu.

Nani anajuwa kwanini Abeid hajavaa haya magamba ya Kijani?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imemaliza kikao chake cha siku moja usiku wa tarehe 31/07/2011 mjini Dodoma chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imeamua yafuatayo; 1. Imefanya uteuzi wa makatibu ishirini na saba (27) kujaza nafasi zilizokuwa wazi katika wilaya hizo. (majina na wilaya zao yameambatanishwa). Pamoja na uteuzi huo, Kamati Kuu imetengua uteuzi wa Makatibu wa Wilaya watatu (3) katika kuboresha ufanisi wa kazi katika wilaya hizo.(majina na wilaya zao yameambatanishwa). 2. Kamati Kuu imepokea na kuridhia taarifa ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuwakilisha Mkoa wa Tabora, Ndugu Rostam Aziz. Aidha imempongeza kwa uamuzi huo uliozingatia maslahi mapana ya chama chake. 3. Kamati Kuu imepokea pia taarifa ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Ndugu Rostam Aziz na kuagiza chama kupanga ratiba ya mchakato wa kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Igunga itakayozingatia ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi juu ya uteuzi wa mgombea. Aidha Kamati Kuu imeagiza shughuli zote za kampeni kutafanywa na CCM Mkoa, Wilaya na ngazi zote za chama wilayani Igunga. CCM Taifa watashiriki kuongeza nguvu. Chama kinatoa wito kwa wana CCM, wapenzi na wakereketwa wa chama chetu kushiriki kwa pamoja kuhakikisha jimbo linabaki kwa CCM. 4. Kamati Kuu haijaridhishwa na kiwango cha bei ya mafuta ya taa nchini kwa kuwa ndio nishati inayotumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Aidha Kamati Kuu haikuridhishwa na maelezo ya kupandishwa kwa bei ya mafuta hayo kwa kisingizo cha kuzuia uchakachuaji wa mafuta mengine. Hivyo basi, Kamati Kuu imeiagiza Serikali kutafuta njia za kushusha bei ya mafuta ya taa na kuvitaka vyombo vya Serikali vinavyohusika na usimamiaji wa ubora wa mafuta, vihakikishe vinatimiza wajibu wake kuzuia kabisa mtindo wa uchakachuaji wa mafuta nchini na si kupandisha bei ya mafuta ya taa kama suluhisho. 5. Kamati Kuu inasikitishwa na tatizo la umeme nchini kwani athari zake kwa uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja ni kubwa. Hivyo basi imeitaka Serikali kutumia muda iliyopewa wa kurekebisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kuja na mpango wa dharura wa kunusuru hali hii na kisha kulimaliza kabisa tatizo la umeme nchini. 6. Aidha Kamati Kuu imejadili masuala mengine kama; migogoro ya ardhi, tatizo la bei ya pamba, tatizo la uuzaji wa mahindi, migogoro migodini, masuala yanayohusu kero za Muungano na kuagiza Serikali kuyashughulikia kwani yanatatulika. 7. Kamati Kuu imeipongeza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa kwa kazi nzuri ya kutekeleza maamuzi ya NEC na kuitaka iongeze kasi katika utekelezaji huo, ili kuhakikisha mageuzi yaliyokusudiwa yanatekelezwa kwa wakati. Aidha imejadili na kupitisha miundo mipya ya Idara ya Itikadi na Uenezi na Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa. 8. Kuhusu suala la maadili ndani ya Chama, Chama kinaendelea kusimamia maadili, na kuwataka wale waliotakiwa kujipima na kuwajibika watumie muda huo, kujipima na kuwajibika kwa masilahi mapana ya chama. Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inatarajiwa kukutana wakati wowote mwezi Septemba, ambapo pamoja na mambo mengine itatathimini utekelezaji wa maamuzi yake. Imetolewa na:-
Nape M. Nnauye (MNEC)
KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI
DODOMA
 
Back
Top Bottom