Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Wadau Kikao kimecotton fire Chenge amemuingiza mjini Mwenyekiti kumbe ilitakiwa kabla hatujaanza kikao hiki ilitakiwa awe amejiuzulu na alikubali hivyo mbele ya Kikao cha maadili Lowassa ndo alikacha kabisa,Mwenyekiti kaumbuka ndani ya Kikao Wajumbe wamechachamaa Mkama toka alipoenda uani saa mbili hajarudi tena sijui leo kutakuchaje wanajf tusubiri tutaendelea kujuzana.

Mkuu Dawa ya Malaria tuko pamoja we endelea kutujuza yanayojiri

inamaana leo ccm wamejipanga kiasi cha kutoata dondoo za mkutano toka uanze asubuhi? hebu wana jf achen utani tupen info angalau kidogo ili tulale!

I cant wait kuona Magamba leo tunawazika na sumu yao na kujenga Tanzania mpya yenye maadili na heshima.

CCM kwishenei itabakia Historia tutawakumbuka kwa kutuingiza kwenye Mikataba mibovu, Maisha Bora kwa Mafisadi na Ujinga wao mwingi. Asante CCM kwaheri by by

Nape na sita sio CCM wale ni Upinzani =CCJ,chukulia mfano wa Shibuda huwa akiongea kinyume na viongozi wenzake wa CHADEMA wanamjia juu,sitta tangu ahamie CCJ yuko CCM kupata benefits tu za viongozi wa kitaifa mf,kukaa nyumba ya serekali(SPIKA),magari,etc lakini haisaidii serekali kutatua kero yeye yuko busy kubomoa na kudhalilisha CCM mbele ya public as if he is not the part of the government which is true huyu ni CCJ -Upinzani.

ILa unafisi ndio tatizo kubwa kwa sitta maana angesimamia matamshi yake angejiuzulu uwaziri

taarifa kutoka ndani ya chama cha mapinduzi (ccm) zinasema tayari chama hicho kimepanga kumuita rostam katika mkutano wa kamati kuu (cc) uliopangwa kufanyika 30 julai 2011 kwa lengo la kumwangukia. Mwanahalisi.

Nini kimejiri, amekubali kuhudhuria au kagoma tutaarifiane hapa jamvini.

ndani ya nyumba rostam bila kukosa magamba yashakuwa laini shaka ondoeni na kesi sahaauni.tujenge nchi kwa kusahau yaliyopita jamani

I cant wait kuona Magamba leo tunawazika na sumu yao na kujenga Tanzania mpya yenye maadili na heshima. CCM kwishenei itabakia Historia tutawakumbuka kwa kutuingiza kwenye Mikataba mibovu, Maisha Bora kwa Mafisadi na Ujinga wao mwingi. Asante CCM kwaheri by by

mmmmmmmmmmmmmmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

January Makamba has recently updated his twitter account

Makamba kasemaje leta habari hapa acha longo longo!

7. Marekebisho ya sheria ya maandamano, yafutwe kabisa bse ndio yaliyokifikisha chama hapa.
8. Mtu atakayereplace RA kupiga deal kwa ajili ya kupata mkwanja wa 2015
9. kwa kuwa tathamini inaonesha njia ya kura halali haitaturejeshea jimbo la igunga, njia gani mbadala za kutumia ili kulipata lile jimb
10. sababu tunazowapa TZ kuwa ndio chanzo cha tatizo la umeme, wameanza kuzishtukia kuwa ni feki, tu brain storm kupata visingizio vipya (hapa mwenyekiti atasisitiza, LAZIMA TUWE CREATIVE 🙂 )

Mkuu hiyo no.9 haina ubishi kabisaa...lol magamba mmeishiwa kiasi hicho?

Gamba la kwanza ni Jk mwenyewe tena sio kwa CCM tu ni kwa nchi nzima

- According to the dataz, Chenge amejivua gamba leo rasmi huko CC, kikao kinaendelea mpaka sasa!

Willie @ NYC, USA.

Fafanua mkuu amejivua cc jee? Ubunge Gamba limegoma kutoka

wakuu hicho kikao hakina hata half time tupate japo tathimini ya ngwe ya kwanza yaliyojiri?

Kikao kinaendelea, JK hataki kumaliza kikao kwa kuwa hakuna muafaka mpaka sasa. Wajumbe wakali sana, nape kama hakujiuzulu baada ya kikao cha leo mtaniambia.

Jk kweli ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Chenge ni Jeuri kweli, haonyeshi kabisa heshima hata kidogo kwa mwenyekiti wake, kifupi anamdharau sana. Nape kaongea mara moja tu, juu ya kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini.

Ila amepata upinzani mkubwa kutoka kwa wajumbe mbali mbali, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam ameonyesha dhahiri kwamba haungi mkono harakati zote za nape,
Kazi kweli kweli

Kikao kinaendelea, JK hataki kumaliza kikao kwa kuwa hakuna muafaka mpaka sasa. Wajumbe wakali sana, nape kama hakujiuzulu baada ya kikao cha leo mtaniambia.
Jk kweli ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Chenge ni Jeuri kweli, haonyeshi kabisa heshima hata kidogo kwa mwenyekiti wake, kifupi anamdharau sana. Nape kaongea mara moja tu, juu ya kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini. Ila amepata upinzani mkubwa kutoka kwa wajumbe mbali mbali, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam ameonyesha dhahiri kwamba haungi mkono harakati zote za nape,
Kazi kweli kweli[/QUOTE

MAGAMBA KWISHA KAZI

Chenge kumdharau Jk ni sawa kwani c ndio wao wamekula nae madili kibao tuu? Mzizi endelea kuthabarisha sie na silali mpaka nijue mwisho wa magamba leo

Kikao kinaendelea, JK hataki kumaliza kikao kwa kuwa hakuna muafaka mpaka sasa. Wajumbe wakali sana, nape kama hakujiuzulu baada ya kikao cha leo mtaniambia.
Jk kweli ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Chenge ni Jeuri kweli, haonyeshi kabisa heshima hata kidogo kwa mwenyekiti wake, kifupi anamdharau sana. Nape kaongea mara moja tu, juu ya kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini. Ila amepata upinzani mkubwa kutoka kwa wajumbe mbali mbali, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam ameonyesha dhahiri kwamba haungi mkono harakati zote za nape,
Kazi kweli kweli

na hapa kama Nape akijiuzulu Lowasa atakuja kuchukua nchi na Nape hatakuwa na Nguvu yoyote tena ndani ya ccm.. kuhusu JK kuwa legelege hilo kila mtu analijua ..JK hana ubavu wa kumwambia Lowasa aondoke ...

Saint Ivuga naheshimu sana michango yako lakn kwa hili la Lowassa kua raisi ckusupport

Back
Top Bottom