Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

habari za hivi punde kutoka kwa mzee wa vijisenti ni kwamba, ameshinikizwa sana kujiuzulu. Ila ametamka wazi kwa watu wake wa karibu mm nikiwa mmoja wao, kwamba, akiondoka, anaondoka moja kwa moja hadi ubunge. Mzee anaogopa JK akammaliza kwa maana anafahamu madhambi mengi sana ya JK ambayo anaweza kulazimika kuyamwaga hadharani. Tulipoongea mwisho, kama kawaida alikuwa na dharau sana na hasira kwa mwenyekiti. Ameapa, mwendo ni ule ule wa RA. Akilazimishwa kung'oka ni mpaka ubunge... habari ndo hiyo. LA haguswi kariba robo tatu ya wana CC ni washirika wake. Akitoka naye JK anaondoka

Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho kaka! Hata EL utafika mwisho wake tu.
 
Kikwete awatimue wote then CCM wajipange upya...(ikiwezekana lkn)
 
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika
 
habari za hivi punde kutoka kwa mzee wa vijisenti ni kwamba, ameshinikizwa sana kujiuzulu. Ila ametamka wazi kwa watu wake wa karibu mm nikiwa mmoja wao, kwamba, akiondoka, anaondoka moja kwa moja hadi ubunge. Mzee anaogopa JK akammaliza kwa maana anafahamu madhambi mengi sana ya JK ambayo anaweza kulazimika kuyamwaga hadharani. Tulipoongea mwisho, kama kawaida alikuwa na dharau sana na hasira kwa mwenyekiti. Ameapa, mwendo ni ule ule wa RA. Akilazimishwa kung'oka ni mpaka ubunge... habari ndo hiyo. LA haguswi kariba robo tatu ya wana CC ni washirika wake. Akitoka naye JK anaondoka
Una maana AC hatakubali kubakiwa na ubunge kwa kuwa anaogopa kumalizwa kwa maana anafahamu madhambi mengi ya JK?Kumalizwa huko ni kwa namna gani?Kuuwawa bungeni ama kumalizwa kisiasa?

Na hapo pa EL una maana akitoka wana cc watamfukuza M/Kiti?Taratibu zenu za chama zina ruhusu?
Shukran kwa taarifa hizi.
 
Kikao kinaendelea, JK hataki kumaliza kikao kwa kuwa hakuna muafaka mpaka sasa. Wajumbe wakali sana, nape kama hakujiuzulu baada ya kikao cha leo mtaniambia.
Jk kweli ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Chenge ni Jeuri kweli, haonyeshi kabisa heshima hata kidogo kwa mwenyekiti wake, kifupi anamdharau sana. Nape kaongea mara moja tu, juu ya kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini. Ila amepata upinzani mkubwa kutoka kwa wajumbe mbali mbali, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam ameonyesha dhahiri kwamba haungi mkono harakati zote za nape,
Kazi kweli kweli[/QUOTE

hivi guninita naye ni mjumbe wa cc?simuoni kwenye listi ameingiaje?
 
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika

Umeona sasa. Hiyo ndiyo janja ya EL. Anajivunia kujua madhambi ya rafiki yake Mkulu wa Nchi. Ndiyo maana ameamua kuanza kumtisha. Mi naona sasa siasa zimekuwa tamu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika

mkuu EL haongei sasa
 
Kikao kinaendelea, JK hataki kumaliza kikao kwa kuwa hakuna muafaka mpaka sasa. Wajumbe wakali sana, nape kama hakujiuzulu baada ya kikao cha leo mtaniambia.
Jk kweli ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Chenge ni Jeuri kweli, haonyeshi kabisa heshima hata kidogo kwa mwenyekiti wake, kifupi anamdharau sana. Nape kaongea mara moja tu, juu ya kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini. Ila amepata upinzani mkubwa kutoka kwa wajumbe mbali mbali, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam ameonyesha dhahiri kwamba haungi mkono harakati zote za nape,
Kazi kweli kweli[/QUOTE

hivi guninita naye ni mjumbe wa cc?simuoni kwenye listi ameingiaje?

Mkuu hata mimi sio mjumbe wa cc, ila nipo dodoma, hao niliowataja si wote wamo kikaoni, hao ndio wanao tu up date, nimewataja wengi hapa, Membe yupo, guninita, makalla, Masha, na hawajalala bado
 
mkuu EL haongei sasa

Mkuu Kilewo,

Una maana AC na EL wameitwa kujieleza kwenye CC? sasa wewe kwa nini huku irekodi na kutuwekea hapa. Hizi source zimezuka mmmmm
 
Tupo pamoja mkuu na zaidi pole aisee na aminia kwa mihabari na sasa ni saa sita na dk nane ya tar 1
 
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika
Nina mashaka na source yako juzi ulituambia umeongea na Lema kwenye simu kuwa anamkutano Arusha J3 leo unasema umemsikia Lowassa akiongea kwenye simu wakati wengine wanasema yuko kimya si ujanja kudanganya watu kama huna source unasoma za wengine.
 
Back
Top Bottom