Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......
 
Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......
Kamati ya nini??
 
Mizizi still silali mpaka nijue hatima ya hilo eneo ulipo
 
Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......
<br />
<br />
BWM hakuhudhuria?
 
Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......

Chenge atang'oka, ila kwa masharti, ataachia nafasi zote ila si Ubunge, nape hatoendelea na moto wake ila kizungumkuti ni kwa EL kwani jamaa haongei bali anaongelewa na watu, ni wengi na wanaonyesha kutaka kufa nae, mwenyekiti imemtisha sana hiyo.

Membe kimya sana, hajaongea hata kauli moja. Humu ndani ni kama mechi ya fainali kombe la dunia
 
Chenge atang'oka, ila kwa masharti, ataachia nafasi zote ila si Ubunge, nape hatoendelea na moto wake ila kizungumkuti ni kwa EL kwani jamaa haongei bali anaongelewa na watu, ni wengi na wanaonyesha kutaka kufa nae, mwenyekiti imemtisha sana hiyo. Membe kimya sana, hajaongea hata kauli moja. Humu ndani ni kama mechi ya fainali kombe la dunia
Asante kwa kutujuza mkuuu, bado hatujalala mpaka tujue wamemalizaje!!
 
Chenge atang'oka, ila kwa masharti, ataachia nafasi zote ila si Ubunge, nape hatoendelea na moto wake ila kizungumkuti ni kwa EL kwani jamaa haongei bali anaongelewa na watu, ni wengi na wanaonyesha kutaka kufa nae, mwenyekiti imemtisha sana hiyo. Membe kimya sana, hajaongea hata kauli moja. Humu ndani ni kama mechi ya fainali kombe la dunia

tupe mkuu, hapa macho nimeyatoa pima, natamani JF ingekuwa inaji-reload yenyewe
 
Japokuwa hatumpendi ila huyu jamaa EL amejipanga sana kisiasa, huwezi amini watu wanayomtetea utadhani malaika. Mukama kwa kweli amekubali nafasi hii wakati mgumu sana, kila kinachoelezwa hapa leo anajiweka pembeni kwamba hana background nacho.

Anaonekana yupo kote kote. Jk ni mwenye mashaka makuu leo. Ila kikao hakijaisha.
 
Chenge atang'oka, ila kwa masharti, ataachia nafasi zote ila si Ubunge, nape hatoendelea na moto wake ila kizungumkuti ni kwa EL kwani jamaa haongei bali anaongelewa na watu, ni wengi na wanaonyesha kutaka kufa nae, mwenyekiti imemtisha sana hiyo. Membe kimya sana, hajaongea hata kauli moja. Humu ndani ni kama mechi ya fainali kombe la dunia

Membe ataongea vipi na yeye si mjumbe CC? wewe una uhakika kweli na chanzo chako????????
 
BMW hayupo

Naona BMW amechoshwa na taarabu anahitaji matendo. Ameona asipoteze muda (hamna maamuzi magumu). By the way, Chenge akiachia ngazi sote lakini sio ubunge inamaanisha nini?

Does it mean ubunge hauhitaji mtu safi; au wenye chama wata-spin waseme alichaguliwa na wananchi hivyo ni wananchi wenyewe wanatakiwa wamkatae. Mmh!! Hii dhana ya gamba sijaielewa sawa sawa.
 
By PIUS RUGONZIBWA, 17th July 2010 @ 12:22, Total Comments: 0, Hits: 1195

FORMER Prime Minister, Mr Edward Lowassa, has defended his move to award Richmond Company the tender to supply power during the electricity blues in 2007, maintaining that he was wrongly implicated in the scam.

"I can assure you I took a right decision and I could as well take similar decision today if such situation happened," he said in an interview with Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) in Dodoma.-Daily News 17 Oct 2010.

Na hapa chini ni kabla ya kukubali,

[TABLE="width: 80%"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 80%"]
[TR]
[TD]February 8, 2008
Prime Minister Lowassa to resign over graft
Tanzania's Prime Minister Edward Lowassa has resigned after being implicated in an energy deal corruption scandal. He has denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006. The firm failed to provide emergency power during a power crisis in 2006. Following Lowassa's announcement to parliament, Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi and Ibrahim Msabaha - a former energy minister and now in the East African Community ministry - resigned as well.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]Seitenanfang
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinasema tayari chama hicho kimepanga kumuita Rostam katika mkutano wa Kamati Kuu (CC) uliopangwa kufanyika 30 Julai 2011 kwa lengo la kumwangukia. MwanaHalisi.

Nini kimejiri, amekubali kuhudhuria au kagoma tutaarifiane hapa jamvini.

habari za hivi punde kutoka kwa mzee wa vijisenti ni kwamba, ameshinikizwa sana kujiuzulu. Ila ametamka wazi kwa watu wake wa karibu mm nikiwa mmoja wao, kwamba, akiondoka, anaondoka moja kwa moja hadi ubunge.

Mzee anaogopa JK akammaliza kwa maana anafahamu madhambi mengi sana ya JK ambayo anaweza kulazimika kuyamwaga hadharani. Tulipoongea mwisho, kama kawaida alikuwa na dharau sana na hasira kwa mwenyekiti. Ameapa, mwendo ni ule ule wa RA.

Akilazimishwa kung'oka ni mpaka ubunge. habari ndo hiyo. LA haguswi kariba robo tatu ya wana CC ni washirika wake. Akitoka naye JK anaondoka
 
Habari kamili watu wameandaliwa kujiuzulu kesho kama jk atatumia nafasi yake kulazimisha waondoke mapacha waliyosalia
 
Back
Top Bottom