Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kama siku urafiki wa EL na JK umeharibika kabisa basi ni leo. Kikao hichi huwezi kukiita ni cha chama tawala, nikama vile vikao vya wamama vya kusutana, na mwishowe hakuna maridhiano. Kambi ya jk kwisha kabisa. Watu wote kwenye system jk si watu wake 100%. Walio wake basi hawana nguvu za hoja kama vile pinda. Jamaa hajui la kusaidia.

Anataka maridhiano wakati EL anataka jambo lifike mwisho. Chenge amesusa na mtasikia atachokiamua lakini sio kesho, lazima atie kiburi kidogo.
Nape mtamsikia atavyojikanyaga kesho.

Hatotoa taarifa kamili, kwani maamuzi ya kikao itategemea kila mmoja ataamua nini baada ya leo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kama siku urafiki wa EL na JK umeharibika kabisa basi ni leo. Kikao hichi huwezi kukiita ni cha chama tawala, nikama vile vikao vya wamama vya kusutana, na mwishowe hakuna maridhiano. Kambi ya jk kwisha kabisa. Watu wote kwenye system jk si watu wake 100%. Walio wake basi hawana nguvu za hoja kama vile pinda. Jamaa hajui la kusaidia. Anataka maridhiano wakati EL anataka jambo lifike mwisho. Chenge amesusa na mtasikia atachokiamua lakini sio kesho, lazima atie kiburi kidogo.
Nape mtamsikia atavyojikanyaga kesho. Hatotoa taarifa kamili, kwani maamuzi ya kikao itategemea kila mmoja ataamua nini baada ya leo.

Asante sana Mkuu kwa updates hizi
 
Nina mashaka na source yako juzi ulituambia umeongea na Lema kwenye simu kuwa anamkutano Arusha J3 leo unasema umemsikia Lowassa akiongea kwenye simu wakati wengine wanasema yuko kimya si ujanja kudanganya watu kama huna source unasoma za wengine.

Haingii akilini mtu apige simu na aweke loud speaker kwenye kikao nyeti kama hicho! Au kikao kinafanyika gizani? Huyo aliepiga simu yuko mbali kiasi gani na jirani zake hata wasimuone anachofanya? Kama wao wanaamini kikao chao si cha siri si wangewaita waandishi wa habari? Let us be serious guys!
 
Mkuu humo wamo wengine wababaishaji. Tukiwagundua kama hivi ni vema kuwapuuza tu.
 
Nina mashaka na source yako juzi ulituambia umeongea na Lema kwenye simu kuwa anamkutano Arusha J3 leo unasema umemsikia Lowassa akiongea kwenye simu wakati wengine wanasema yuko kimya si ujanja kudanganya watu kama huna source unasoma za wengine.
<br />
<br />
Kama unaona nizauongo acha usisome! Kuhusu juzi uliona maandamano?
 
Nimegundua kwenye system tuliyonayo chama kina nguvu sana pengine kuliko serikali.Duh!
 
Mpaka nijue mwisho wake kupitia kwa wadau kama Mizizi,sasa ni saa sita na dk 26
 
basi kuanzia leo nishajua kuwa fisadi Lowasa ana nguvu sana hapa nchini... wakishinda kumtoa basi na chama chote kitapotea
 
Nimegundua kwenye system tuliyonayo chama kina nguvu sana pengine kuliko serikali.Duh!

Wewe ndiyo umegundua leo. Nchi hii inaongozwa na chama si serikali. Ndiyo maana kiongozi wa chama anaweza kumfokea kiongozi wa serikali.

Tena, hao viongozi wa serikali wanapeleka taarifa zao kwenye chama. Si huwa unaona hata waziri mkuu na waziri kiongozi huwa wanapeleka riport za utekelezaji wa ilani kwenye vikao vya chama. Tena, tukumbuke pia kuwa, maamuzi yote magumu kwa serikali ni zao la chama. Labda hili la katiba mpya tu ndio JK anasemekana kukizunguka chama.
 
Haingii akilini mtu apige simu na aweke loud speaker kwenye kikao nyeti kama hicho! Au kikao kinafanyika gizani? Huyo aliepiga simu yuko mbali kiasi gani na jirani zake hata wasimuone anachofanya? Kama wao wanaamini kikao chao si cha siri si wangewaita waandishi wa habari? Let us be serious guys!

Kuhusu kurekodi inawezekana kabisa ukafanya, ina depend na aina ya simu uliyonayo. Ila I doubt kama katika kikao nyeti kama hicho wajumbe wanaruhusiwa kuingia nma cellphone zao?

Inawezekana si unaona hapa watu wazima wanawatumia watoto wao mambo yanayoendelea ndani, na huyo mtu alitaka offisi kubwa si ingekuwa balaaa.
 
Haingii akilini mtu apige simu na aweke loud speaker kwenye kikao nyeti kama hicho! Au kikao kinafanyika gizani? Huyo aliepiga simu yuko mbali kiasi gani na jirani zake hata wasimuone anachofanya? Kama wao wanaamini kikao chao si cha siri si wangewaita waandishi wa habari? Let us be serious guys!
<br />
<br />

Wewe tia akili, kwani loudspeaker anaweka alieko kwenye tukio ama anaepokea simu? Alieko ukumbini yeye anakupigia wewe ukiisha unganisha unasikia kinachoongelewa ndani ya eneo husika bila ya yeye kuongea chochote
.

.
 
Mzizi tupe updates hapo. Ama ndiyo unahangaika kuwakimbiza hao jamaa waliotokea mlango wa nyuma?
 
Kuna mwingine amepost kuwa kikao kimeisha. Sasa tupate briefing hitimisho imekuwaje?
 
Mzizi tupe updates hapo. Ama ndiyo unahangaika kuwakimbiza hao jamaa waliotokea mlango wa nyuma?

Kikao kimemalizika, kama tulivyojulishwa kwamba, mzee chenge amesusa, atatoa maamuzi within this week. EL yeye amekuwa mpole sana, ila kambi yake inaonekana kushinda hoja, na hakuna dalili la kuachia nafasi yoyote.

Nape hatokuwa na la kuongea kwani hakuna maamuzi ya pamoja yaliyofikiwa. Kwahiyo watasubiri kila mtuhumiw ataamua nini.
Kikao kilikuwa kigumu sana.
 
Kikao kimemalizika, kama tulivyojulishwa kwamba, mzee chenge amesusa, atatoa maamuzi within this week. EL yeye amekuwa mpole sana, ila kambi yake inaonekana kushinda hoja, na hakuna dalili la kuachia nafasi yoyote. Nape hatokuwa na la kuongea kwani hakuna maamuzi ya pamoja yaliyofikiwa. Kwahiyo watasubiri kila mtuhumiw ataamua nini.

Kikao kilikuwa kigumu sana.

Naona sasa tutalala vizuri . asante mkuu kwa updates
 
Kikao kimemalizika, kama tulivyojulishwa kwamba, mzee chenge amesusa, atatoa maamuzi within this week. EL yeye amekuwa mpole sana, ila kambi yake inaonekana kushinda hoja, na hakuna dalili la kuachia nafasi yoyote. Nape hatokuwa na la kuongea kwani hakuna maamuzi ya pamoja yaliyofikiwa. Kwahiyo watasubiri kila mtuhumiw ataamua nini.
Kikao kilikuwa kigumu sana.
hivi kwa nini tuliwapa hawa watu nchi?
 
Back
Top Bottom