Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 2 Jiji la Mwanza

Inauma sana kwa tunaomfahamu Chagulani Adams pamoja na kuwa tunatofautiana kiitikadi alikuwa na amekuwa ndugu na rafiki yetu ambaye siku zote tunaheshimiana na kushauriana kwenye masuala ya kisiasa na maendeleo ya taifa letu la...Tanzania...... Amekuwa ni moja ya vijana waliojitoa muhanga kuipigania CDM kwa hali na mali tangu tulipokuwa mlimani, na hata wakati anakwenda kugombea udiwani kata ya Igoma hakusita kutafuta ushauri kutoka kwa watu mbalimbali aliokuwa akiwaamini. Its pirty kuona leo CDM wanamuondoa kijana ambaye ni resource kubwa sana ndani ya chama..... Naamini busara hekima vitatumika kuhakikisha haki inatendeka...............

Siasa ni pana sana kama anaona CDM wameshindwa kufahamu maono aliyonayo ni bora akabadili upepo,yeye hatakuwa wa kwanza kuna akina Kafulila,Mkosamali,Milya,Wasira na wengine wengi.Ruhusu ukubali kwa kutofautiana lakini sio kulazimisha hoja yako iwe msingi wa usaliti dhidi ya wale mliotofautiana.
 
Matata ni diwani wa kitangiri ni Muislam, kwa kukusaidia ni kaka yake na Farida Matata.
Ritz kaka yangu mambo ya Dini usipende kuyachomekea kwenye kila thread ni propaganda za kitoto ambayo nia yake kubwa ni kutuchonganisha. sasa ndio maana mnalumbana muda wote na yule mdini mwingine precise Pangolin
 
CDM komaeni na wajinga wote msisikilize wanaolalamika.Good governance must prevail within your party.CCM type of leadership must be avoided at any cost, gharama ya kupoteza member mmoja ni ndogo sana ukilinganisha na madhara ya kuendela kuwakumbatia, leo ccm hawawezi hata kumnyoshea kidole mwanachama fisadi simply cause of failure to act vigilantly.
 
Chadema hawana subira hata kidogo pia wanalea UFISADI kwa maslahi yao, Meya fisadi kwa vile alikuwa anafadhili chama walitaka aachwe!!!!
 
Chadema hawana subira hata kidogo pia wanalea UFISADI kwa maslahi yao, Meya fisadi kwa vile alikuwa anafadhili chama walitaka aachwe!!!!

nikutolee mfano hai wa uvumilivu wa chadema ni kwa shibuda, ni kutolee mfano hai wa kutokurupuka kutoa maamzi ni madiwani wa arusha chadema ilitumianjia zote kuwarudisha kwenye msitari tuki amini waliteleza matokeo yake wakaonyesha kiburi cha hari ya juu wakawa wanawalipa waandishi ili waandike habari wazitakazo ili kukichafua chama..
 
Owawa Stephen J
CHADEMA yawavua uanachama madiwani wawili wa mkoa wa Mwanza na kuvunja Uongozi wa Chama Mkoa uku madawani wote wakipewa onyo kali,Maamuzi haya yameniumiza sana kwani moja wa aliyevuliwa uanachama ni Adam Ibrahim Chagulani diwani wa Igoma, Mwanaharakati mahiri tangu tukiwa UDSM.

Nini mustakabali wa Vijana ndani ya Vyama vya Siasa?
vijana tunapaswa kufuata katiba ya chama, kanuni, itifaki ya chama.
 
Chadema hawana subira hata kidogo pia wanalea UFISADI kwa maslahi yao, Meya fisadi kwa vile alikuwa anafadhili chama walitaka aachwe!!!!

MAFILILI,poteza muda hata kuwa unasikiliza au kufatilia taarifa mbali mbali,hata CHAGULANI mwenyewe aliulizwa Star TV kuhusu kumtoa meya akasema watu wamepotosha kuhusu ufisadi hakuwa kutuhumiwa kwa hilo bali amekuwa na kasi ndo ya kutekeleza malengo waliyojiwekea kwa kuwa mzito wa kufanya maamuzi.Tusiwe tunajenga hoja kwa upotoshaji kwani hata madhumuni ya jukwaa lenyewe tutayakiuka.
 
...ngoja nisubiri kwanza taarifa kamali ya chama ili nijue ukweli wa hili jambo,baada ya kutafakari kwa kina nipata cha kuchangia...
 
Ritz kaka yangu mambo ya Dini usipende kuyachomekea kwenye kila thread ni propaganda za kitoto ambayo nia yake kubwa ni kutuchonganisha. sasa ndio maana mnalumbana muda wote na yule mdini mwingine precise Pangolin

Mkuu mie nilichofanya nimemjibu Dudus yeye ndio kaleta hoja za Matata, halafu mie kujibu hoja za udini ndio nafanya makosa? Acha unafiki mkuu.
 
Mh!
CHADEMA kuvumiliana hakupo,tukiwapa dola si mtaishia kufukuzana?

kani kufukuzana ni vibaya? kuna sheria imevunjwa? je na mahakama nazo zianze tabia ya kuvumiliana mtu akiua anavumiliwa anaachiwa huru..lazima utakuwa na mtindio wa ubongo siyo bure..
 
Mh!
CHADEMA kuvumiliana hakupo,tukiwapa dola si mtaishia kufukuzana?
"Mwisho wa ubaya ni Aibu"
Binafsi naipongeza sana CDM kwa kuwavua hawa vijana uongozi.Kuna siku niliwahi kupost humu ndani kuhusiana na huyu diwani pamoja na mwenzie ambaye anajitambulisha kuwa katibu wa marehemu Chacha wangwe.Niliwahi kukutana nao kunako hotel moja hapa mwanza tukiwa na wenyeji wangu,nilikua sifahamiani nao ,ilikua ni kama mara ya pili kuwaona katika hoteli hiyo iliyopo Ghana.waliongea mambo mengi sana ikiwemo kuuponda uongozi wa cdm ,pamoja na kumuhusisha Mbowe na kifo cha Chacha Wangwe,huku wakisema Ogopa Mtu aliyewahi kuwa padri,huyo ni Mbaya sana.Niliwasoma sana huku nikipata picha ya wanakoelekea, mwisho wa siku waliishia kumsifia Zitto, na huku hawakujua namfahamu Zitto kiasi gani,Sichelei kusema hawa ni wanamtandao wa Zitto.Niliwauliza maswali kama, vile,leo ni siku ya kwanza,kukutana nami,na mie ni mgeni kwenu,mnawezaje kuyazungumzia mapungufu ya chama,mengine serious zaidi kwa mtu ambaye hamumfahamu?ni nani anawatuma kufanya hivi?Niliwauliza pia kama hawaoni wamefika hapa walipo kwa nguvu ya CDM?Pia niliwauliza inakuaje kama siri za vikao mnazitoa hadharani kiasi hiki?nini mnatafuta.Mwisho niliwashauri baadhi ya mabo ikiwemo,kuweka tofauti zao pembeni ,na kuimarisha nguvu ya chama kwani CDM kwa sasa ndio tegemeo kwa ukombombozi wa tz.Wakiisambaratisha ni nini mstakabali wa upinzani wa TZ?Niliwashauri mambo mengi na mmoja wao akiishia kuniomba namba ya simu ,kwamba tutafute muda zaidi wa kuwasilia.Toka siku hiyo hawakurudi tena hotel hiyo, ambayo nimekua nikienda mara kwa mara.Pia waliishia kunipa taarifa kuwa kuna kitabu kitatoka ambacho kitaingamiza Cdm,Hicho kitabu kiliisha toka Mwana JF mmoja aliwahi kukizungumzia,hao vijana walikua wakikijua kabla hata hakijatoka,ilikuaje wakakijua mapema hivyo?
Kwa upande wangu toka siku hiyoniliwaweka kando nikijua hawa sio wapiganaji,walikua na maslahi binafsi.Kwa upande wangunawapongeza CDM kuwaondoa,waache wakaunganishe nguvu kuipinga CDM tuone mwisho wao.Haiwezekani watu wanaunganisha nguvu wengine wanavuta kwa nyuma.
Huwa siendekezi upuuzi,na ndio maana nimefurahishwa sana hawa wapuuzi kuondolewa.wamuulize shitambala na Vipande vya fedha thelathini leo hii yuko wapi?
 
Ritz kaka yangu mambo ya Dini usipende kuyachomekea kwenye kila thread ni propaganda za kitoto ambayo nia yake kubwa ni kutuchonganisha. sasa ndio maana mnalumbana muda wote na yule mdini mwingine precise Pangolin

Ritz masaa 24 anawaza dini tu na malo.. yake. This is a problem.
 
Mkuu mie nilichofanya nimemjibu Dudus yeye ndio kaleta hoja za Matata, halafu mie kujibu hoja za udini ndio nafanya makosa? Acha unafiki mkuu.

Ritz, Nadhani ulisoma sana madrasa. Ingekuwa bora zaidi ukafunguka akili kubaki duduwasha tu. Mimi ni CCM lakini imefika muda naiona CCM mzigo kwa sababu ya watu kama wewe wenye akili mgando. humu udini unaingiaje mkuu? Samahani lakini nachelea kusema kwamba una ugonjwa fulani mbaya
 
Mkuu mie nilichofanya nimemjibu Dudus yeye ndio kaleta hoja za Matata, halafu mie kujibu hoja za udini ndio nafanya makosa? Acha unafiki mkuu.

unge jua madhala ya udini wako ungejiogopa kama ukoma mjinga wewe..
 
Wananchi wa Mwanza maeneo ya Kitangiri Kirumba na maeneo ya Igoma mmeporwa haki yenu ya kikatiba Madiwani wenu mliowachaguwa wenyewe leo hii sio Madiwani tena wamefukuzwa na Dr Slaa na Mbowe...kazi kwenu sasa wananchi wa Mwanza hiyo ndio Chadema chama cha demokarasia.
 
Ritz, Nadhani ulisoma sana madrasa. Ingekuwa bora zaidi ukafunguka akili kubaki duduwasha tu. Mimi ni CCM lakini imefika muda naiona CCM mzigo kwa sababu ya watu kama wewe wenye akili mgando. humu udini unaingiaje mkuu? Samahani lakini nachelea kusema kwamba una ugonjwa fulani mbaya

Kama wewe ni CCM ndio nini mie sio mtumwa wa vyama vya siasa hata bosi wako Nape nachana akileta hoja za kipuuzi.
 
Sauti ya wakala wa UFISADI, UKATILI NA MAUAJI KWA RAIA, inapozungumza kamwe mtu haitokuchukua zaidi ya dakika 5 kuigundua sauti husika na ghiliba zake.

Back
Top Bottom