Baba Lugano
New Member
- Aug 10, 2011
- 3
- 0
<br /> <br / NANI ATACHAGUA CCM?Hahahahahah Jipe Moyo
Bollo Yang!<br /> <br / NANI ATACHAGUA CCM?
Mkuu, Arusha hapendwi mtu kina pendwa chama, ilikuwa issue ya dakika chachetu lakini watu sijui wametokea wapi....thanx!
Ubarikiwe.
Ngongo atatuletea habari zaidi...lol..
Acha unafikitusubiri.tuone.Idumu CCM yangu.
SL hebu nipigie au pokea simu yangu......thanx!
Ubarikiwe.
Ngongo atatuletea habari zaidi...lol..
Huku Arusha hali siyo mbaya sana hasa kwa magari yanayotumia petrolNimekusoma mkuu tuko pamoja ila niko njiani naelekea Dar kuanzia moshi mail sita hadi hapa maeneo ya korogwe nashuudia foleni kubwa kwenye vituo vya mafuta sijui huko mbele itakuwaje