KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

namwonea huruma sana gizakuu kama ni kijana...
kwani akili yake imeshazeeka kabla hata maisha hajaanza
 
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI
Kwani Mkuu Gizakuu hao CCM na kamati kuu (CC) wana hoja gani ya kutisha na kufunga CDM mdomo tofauti na kuzoa uozo wa mawaziri wao????? Ndugu yangu wananchi huwezi kuwadanganya na propoganda nyepesi kipindi hiki chi mabadiliko, hata wakikwepa kutimiza matakwa ya wananchi CDM itachukua hatua ya kuwajulisha mbinu za kijinga za CCM na kamati zake kuendelea kuweka wezi wanaofilisi nchi maofisini!!!! Inabidi mjue kabisa kwamba moto uliowashwa bungeni na CDM hauzimiki hadi mafisadi wawajibishwe na wananchi wataelezwa ukweli wote!!!!!

hivi huwa unafatilia bunge kwa makini au unasubiri magazeti yenu yale??
iweje wenye hoja wasaini watano (5) tu???
Laiti mngejua wananchi walivyolipokea hili jambo msingeendelea kujidanganya na hizi hadithi za kusadikika.
Ndugu yangu Daudi hawa watu wanajidai ni hodari wa siasa za propoganda, lakini safari hii wajue kuwa hizo haziwasaidii huu sasa ni mwisho wao, wameisha vaa kamba ya shingo si rahisi kujitoa!!!!!

NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI

jina pamoja na siku za kuwemo katika jukwaa hili linaakisi kabisa hayo uliyoyasema,,,,inawezekana hulijui vema ulilolijadili
 
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI

Siamini kwamba kwa kizazi hiki kuna mtu anayeweza kutoa kauli kama yako.
Wewe unategemea kila litu kifanywe na CDM? Ufinyu wa mawazo ni tatizo sana. Je maovu yote yanatendeka Serikalini bado tu wewe huyaoni? Jitihada zilizo fanyika mpaka umefika wakati Mkuu anatarajia kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri, wewe bado huoni kuwa CDM wamefanya kitu?
Watu kama wewe sijui niseme>>>...:rip: au?
 
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI

Wananchi wanahitaji uwajibikaji na utawala bora bila kujali hoja ya kufikia malengo inaibuliwa na chama cha upinzani au chama tawala.Ndugu yangu kama tunajenga nyumba moja kwanini kunyang'ana fito au tofali?Hoja yako imekaa kishabiki na kishalishali, tafadhali uwe mkomavu wa mawazo.
 
zitto ajitafutie umaarufu mara ngapi,ww mchumia tumbo anayehongwa kanga na fulana na ubwabwa ndie unatafuta umaarufu
 
Pepooooooooooooooooooooooooooooooooozzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... magamba mtahaha sana lkn maneno itabaki vilevile, CDM wanapeleka puta!!!! na bado mtajuta kwa nini mlichakachua kura 2010!!!
 
Hivi huko CCM kuna nini kinaendelea? Maana yule aliyeleta mada ya kutenguliwa kwa ubunge wa Mnyika amejiita Kungurumweusi na wewe tena unajiita Gizakuu. Mko gizani nini?
 
Last edited by a moderator:
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI

Jamani huyu katokea wapi tena, NYUMBA NDOGO YA LUSINDE HUYU, ama kweli GIZAKUU,,,, U NEED :help: GAMBA.
 
Ukweli ni kwamba Hoja ya kuiwajibisha serikali iliibuliwawaa na wabunge wa CCM . Zitto kama kawaida yake akadandia Hoja ya wana CCM ili kujitafutia umaarufu. Timing ya Kamati kuu ya CCM imewaacha Chadema midomo wazi. Gharma ya kudandia Hoja za Watu bila utafiti.

****!!!
 
Nyie waheshimiwa wa ccm naomba kutajiwa hao waheshimiwa wenu wabadhirifu waliowajibishwa.... mbona hatufikiri kama great thinkers?
Kila mara ni utetezi tu kwamba hoja imeibuliwa na ccm. Sawa hamna shida sasa ni nani ambaye amewajibishwa mbali na kuwasikia wakitamba mitaani kwa kujitetea?
Shida ni kwamba panya kakamatwa na paka, suala la paka yupi au wa rangi gani laja vipi hapa??
Ok, Zitto sio hello kwa kuwa hakuibua hoja sasa ni nani hello wa ccm katika sakata hili kama huo ndio ubishi?
Mie nataka watumishi wetu hao wawajibishwe na wafikishwe mahakamani,, hizi hadithi zenu hazitusaidii kitu
 
Back
Top Bottom