KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

nimejaribu kusubiri kwa hamu kubwa tamko la cdm, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya cc ya ccm< kamati kuu au baraza kuu la cdm taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... Lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya nape kusema kilichoamualiwa na cc ya ccm cdm wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... Ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha cdm kusimama na kubaki kurudia kile walichosema ccm talalila ya mfumo ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa ccm bila kuwa na baraka za chama zitto akaibeba??!!!
tafakari

cdm wamepigwa na bumbuwazi hawakutegemea cc ya ccm itakuja na kubwa kuliko. Leo jk kawamaliza kawaambia yeye ni muasisi wa uwazi kuhusiana na matumizi ya raslimali za umma
 
Mi nadhani bado cdm nawapa big up, maana ndo walioshinikiza ku move motion ya kutokuwa na imani na waziri mku, kupitia tundu na zitto kabwe!
 
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI
Childish train of thought!
Ni fikira potofu kufikiri kuwa ni Zitto tu na CDM wanaoumizwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali, ufujaji na ufisadi.
 
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI
Jibu kwangu kwako ni BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI 2015
 
Tuntemeke baada kula ban umekuja kivingine.Utahangaika sana mwaka huu lakini unalolitka halitakuwa, kula hiyo hela ya Nape tu.
 
Back
Top Bottom