Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Ni wasii madereva, ongezeni umakini barabarani serikali imelemazwa na makusanyo ya makosa barabarani na kuifanya chanzo tegemezi cha mapato,wasimamia hiyo sheria wanatumia nguvu kubwa na uonevu nao ukiwepo kuwapa watu faini. Wakati mwingine wanatia sana hasira!