Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

"Rogie, post: 26481147, member: 32190"]Aise pole sana brother.[/QUOTE]
Nshapoa kaka...imebidi niende toa kale kasaving kangu kalikobaki
 
Karibu kwy ulimwengu wa magari. Uku kwy magari ukinunua Gari unatakiwa, uache kama million 2 kwa ajili ya kuzoe majanga yatakayotokea kwa iyo Gari. Izo ndio principal za kumiliki Gari au chombo cha motto. Ukiziweza izo principles uwezi kuja kulia lia apa kwa Jamii Forum.
QUOTE=

Unakuta sometime unapocomment ndo watu wanapojua uwezo wako wa kufikiri sasa kunapoint gani ya kua na bima kama utakua unatoa tu hela hata kwa maswalaya kipumbavu.....hii gari mwaka wa 2 naimiliki halafu naishi kutokana na uwezo wangu badala ya kuangalia mwanaume mwengine anakiasi gan cha kuchezea...pathetic
Inapendeza ukawa na asilimia 10 ya pesa uliyonunulia Gari iyo. Ndio maana unakuta MTU ana pesa nyingi unakuta ananunua Gari ya million 16. Unakuta pembeni kaweka kama million zake za kubadilisha vitu, kama matairi na vinginevyo
 
Ungesema baiskeli ungehurumiwa, ukitamka una gari, nyumba na fedha UNACHUKIWA BALAA..ONLY IN TZ
Watanzania tuna element ya U-KAA hamna mtu anayetaka on a maendeleo ya mwengine
 
tii sheria bila shurti! nachukiaga napoonaga watu wanafanya makosa alafu wanabaki kulialia waonewe huruma
Mkuu mbona hupokei dua hiyo? Umetisha mkuu naona team DAB Pamoja sana ila angalia kuropoka ropoka SAA nyingine ni element ya ukahaba c unawajua wale hawanaga formality.
 
Wamekuja vijana wa TANROAD hawasikii la muadhini wala nini, wanasema nimepaki kwenye hifadhi ya barabara faini laki 200, jamani tuoneane huruma, kweli kwa uchumi huu hii fedha ni ya kutafuta mwezi nzima.
Inategemea ulikua sehemu gani
Kuna barabara za Tanroads na za manispaa
Itakua umetapeliwa tu
 
tii sheria bila shurti! nachukiaga napoonaga watu wanafanya makosa alafu wanabaki kulialia waonewe huruma
Sio wote wanaokamatwa wamekosea ukumbuke Na pia ukikutwa Na jambo LA uonevu ndipo utaelewa kuwa mleta mada anataka kuonewa Huruma au la
 
Inategemea ulikua sehemu gani
Kuna barabara za Tanroads na za manispaa
Itakua umetapeliwa tu
Boss wanatembea na traffic na askari Wendy silaha usiku wa manane
 
hawa jamaa wanazunguka mji mzima..angalizo ni kua makini unapopaki gari yako
Tuambie wewe ulikamatwa barabara gani? Inawezekana kweli ulipaki kwenye hifadhi ya barabara ila unalalamika tu. Barabara za Tanroads zina mabango makubwa ysmeandikwa 'HAIRUHUSIWI KUEGESHA GARI KATIKA HIFADHI YA BARABARA'
 
Siku hizi tunaishi kwa kukomeshana hasa hawa wenye mamlaka wanatukomesha tusio na mamlaka
 
Tuambie wewe ulikamatwa barabara gani? Inawezekana kweli ulipaki kwenye hifadhi ya barabara ila unalalamika tu. Barabara za Tanroads zina mabango makubwa ysmeandikwa 'HAIRUHUSIWI KUEGESHA GARI KATIKA HIFADHI YA BARABARA'
Boss siwezi kua specific wapi unataka watrace kagari kangu kesho nipewe kesi ya uchochezi...ila wanapendelea maeneo ya mandela road,ubungo kuelekea kimara mwenge tarakea....ideally sio kupaki pembeni ya barabara hata ukikaa hizi pub au maeneo ya starehe yaliyokaribu na road jua imekula kwako...siongelei wale madalali wanaowekwa na manispaa....halafu don't mock my intelligence kama we mwenyewe dereva kweli na akili yangu naweza jisaidia eneo limeandikwa "usikojoe hapa" ..ndo maana nikasema subiri yakutokee au nenda pale mandela ofisi zao uone magari walivyoyajaza
 
Mkuu binafs nimekuelewa tatizo hizo faini za kukomeshana sana bora hata ingekuwa elfu 20
 
Sasa hio Mandela Road ndio chanzo cha Tanroad kuweka mabango na faini. Umeegesha kwenye hifadhi ya barabara umepigwa faini unayostahili. Hata mimi nikipaki kwenye hifadhi ya barabara yatanikuta hayo ila trust me hawawezi kunitoza 200,000 bila kosa. Sitoi hela kama wewe.
 
Laki mbili....,? Kirahisi rahisi kama kwamba mfukoni kwa Muda huo una milioni tano. Zisizo na kazi. Duuuh....!!!!
 
Sasa hio Mandela Road ndio chanzo cha Tanroad kuweka mabango na faini. Umeegesha kwenye hifadhi ya barabara umepigwa faini unayostahili. Hata mimi nikipaki kwenye hifadhi ya barabara yatanikuta hayo ila trust me hawawezi kunitoza 200,000 bila kosa. Sitoi hela kama wewe.
U-much know sometime sio mzuri..hujanisaidia kulipa so don't be a fucking wise ass..kuna sehem nmesema nilipaki mandera road au ndo walewale wafanyakazi wa serikali mnaotaka Linda vibarua vyenu..nmepaki kwe eneo la starehe ambalo wanakibali cha manispaa wamelipia...si nilivyoingia ukumbini ulitaka niliweke gari mfukoni...sasa we next time ukikutana nao wakazie af ujue sheria bila shuruti inafanyaje kazi na kwanini wale jamaa walimkimbia traffic wakaja tunguliwa shaba kwa kupewa kesi za ujambazi...pathetic
 
Unajua kuna mijitu ikiwa kwe
Mkuu binafs nimekuelewa tatizo hizo faini za kukomeshana sana bora hata ingekuwa elfu 20
we ache tu kaka af kuna jitu linakwambia eti bora walivyokicharge utadhan niliamua park labda katikati ya barabara.....inaumiza sana hizi faini kaka
 
Unajua kuna mijitu ikiwa kwe
we ache tu kaka af kuna jitu linakwambia eti bora walivyokicharge utadhan niliamua park labda katikati ya barabara.....inaumiza sana hizi faini kaka
Mkuu humu tunatofautiana uwezo wa kuelewa mambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom