Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

Kamata kamata ya TANROADS, tuoneeni huruma

U
U-much know sometime sio mzuri..hujanisaidia kulipa so don't be a fucking wise ass..kuna sehem nmesema nilipaki mandera road au ndo walewale wafanyakazi wa serikali mnaotaka Linda vibarua vyenu..nmepaki kwe eneo la starehe ambalo wanakibali cha manispaa wamelipia...si nilivyoingia ukumbini ulitaka niliweke gari mfukoni...sasa we next time ukikutana nao wakazie af ujue sheria bila shuruti inafanyaje kazi na kwanini wale jamaa walimkimbia traffic wakaja tunguliwa shaba kwa kupewa kesi za ujambazi...pathetic
Usifikiri kila mtu atajibu unachopenda kusikia. Kama hukuwa na kosa na umelipa 200k wewe ni boya. Sijakusaidia kulipa kwani ulilazimishwa ulete stori yako humu? Ukileta humu kila member ana uhuru wa kuchangia na tegemea mawazo tofauti ukitegemea kila mtu aseme unachopenda kusikia ndio unafuka namna hii.
 
ipo siku upanga utawageukia ndo wataelewa kua hii dunia haina mwenyewe
 
U

Usifikiri kila mtu atajibu unachopenda kusikia. Kama hukuwa na kosa na umelipa 200k wewe ni boya. Sijakusaidia kulipa kwani ulilazimishwa ulete stori yako humu? Ukileta humu kila member ana uhuru wa kuchangia na tegemea mawazo tofauti ukitegemea kila mtu aseme unachopenda kusikia ndio unafuka namna hii.
Hebu we mjuaji nielekeze sehem husika ya parking na isiyoparking na uniambie hizi mita 60 kila upande zinaanzia wapi na mara ngapi umewakazia matrafiki walivyokuandikia let alone hawa madalali wa TANROAD enlighten us basi tujifunze
 
Unajua

Unajua kitu ambacho watu wanashindwa elewa ni kua ukiongea kero yoyote unaokena unapinga ufalme uliopo...hv ni kwa sheria gani umepaki nje ya barabara hata pavement zake hujazigusa faini laki2 sasa ukigonga yale mawe so ndo watataifisha gari kabisa...hii sheria haipo wazi na ya kionevu
Tatizo hatutaki kufuata sheria let us change our mind
Tubadilike katika fikra zetu
 
Ungesema baiskeli ungehurumiwa, ukitamka una gari, nyumba na fedha UNACHUKIWA BALAA..ONLY IN TZ

Ili ni kweli kabisaa.... Kuna rafik yangu alipanga Nyumba ya muarabu pale kigogo round about kituo kinaitwa kituo kipya... Miaka yote uwa namshawishi awe na usafiri aachane na adha za usafiri wa umma maana ana Nyumba nzima na parking ya magari kama 4 ivi.
January akafanyia kazi ushauri wangu akanunua gari. Kichekesho ni kuwa majirani wakongwe wasio na maendeleo hawajapenda. Majirani zake watatu wakafanya kikao wakamkopesha mmoja wao Ili anunue tofali aongeze ukuta. Ninapoandika apa mafundi wamevuta msingi Ili gari isiweze kuingia kwenye geti Lake. Jamaa sasa ivi anapaki ccm. Pia hawamtaki muarabu kwa kuwa wakati ananunua ile Nyumba walimuomba anunue na za kwao, akakubali, badae wakaingiwa na tamaa bei wakampa karibia mara mbili ya bei ya maeneo Yale. Alivishtuka akawapiga chini, tangu apo wamegeuka majirani wabaya. Kiukweli mchawi wa maendeleo ni yule yule maskini na wale wenye motivation ya kubaki maskini!!
 
Ili ni kweli kabisaa.... Kuna rafik yangu alipanga Nyumba ya muarabu pale kigogo round about kituo kinaitwa kituo kipya... Miaka yote uwa namshawishi awe na usafiri aachane na adha za usafiri wa umma maana ana Nyumba nzima na parking ya magari kama 4 ivi.
January akafanyia kazi ushauri wangu akanunua gari. Kichekesho ni kuwa majirani wakongwe wasio na maendeleo hawajapenda. Majirani zake watatu wakafanya kikao wakamkopesha mmoja wao Ili anunue tofali aongeze ukuta. Ninapoandika apa mafundi wamevuta msingi Ili gari isiweze kuingia kwenye geti Lake. Kiukweli mchawi wa maendeleo ni yule yule maskini na wale wenye motivation ya kubaki maskini!!
Ukinunua gari tayari wale rafiki zako wanakuona unaringa
 
Ukinunua gari tayari wale rafiki zako wanakuona unaringa

Ilo ni tatizo, mwenzio akikuzidi mwendee akupe mbinu, kumfanyia visa hakukujengi ww maskini Bali kunamwongezea nguvu za kupambana.
 
Tatizo hatutaki kufuata sheria let us change our mind
Tubadilike katika fikra zetu
Nikujibu nn kiongozi wakati thread zake zote zinaonesha no wale wasiojua mtaani hamna mkate kwakua wanakula keki......we endeleza linda kibarua chako kaka
 
Nmeingia kwe kasherehe ka ndugu yangu nikaacha kamkweche kangu nje parking ya ukumbi mbali na Barabara.

Wamekuja vijana wa TANROAD hawasikii la muadhini wala nini, wanasema nimepaki kwenye hifadhi ya barabara faini laki 200, jamani tuoneane huruma, kweli kwa uchumi huu hii fedha ni ya kutafuta mwezi nzima.

Sheria zipi? Sikatai ila zisiwe sheria za kuumizana maana badala ya kufundisha zinaleta chuki tu kati ya wananchi na haya mashirika.

Naomba waliangalie hili na kutupa mwelekezo badala ya kutengenezeana mazingira ya kuumizana.
Hio Pesa uliwalipa wao au ulipia bank,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom