Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria
Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.
Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani kama ulivyopangwa kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, ACP Gallus ameonya kwa yeyote atakayefanya uhalifu au kutotii sheria...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase Septemba 11, 2025 katika kipindi cha Maskani ya Chalinze, Kupitia 97.5 Chalinze FM amewakumbusha wananchi wa Mkoa wa Pwani wajibu wao katika kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mheshimiwa Rais, Wabunge na Madiwani...
Wakuu,
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati kuepuka kushiriki katika vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu, ili kulinda amani na utulivu wa nchi.
"Sasa hivi ni kipindi kabla ya Uchaguzi, wakati ya Uchaguzi na baada...
Nimesikiliza kamanda wa polisi akijibu maswali ya muandishi Regina wa BBC jioni hii, majibu yake yamenisikitisha sana.
Hajui anaishi katika dunia ipi. Ana majibu ya kitoto sana na kama huyu ndiye mwenye nafuu kati ya mapolisi, basi kuna tatizo kwenye uteuzi na mafunzo ya askari wetu.
Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.
Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda...
Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro (RPC), SACP Absalom Mwakyoma, amefariki dunia leo Jumatatu, Aprili 7, 2025, baada ya kuugua ghafla.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa SACP Mwakyoma alifariki dunia saa mbili asubuhi...
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu.
Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia.
Kwa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Katika juhudi za kuimarisha usalama na kupambana na uhalifu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP) George Katabazi ameungana na wananchi wa Kata ya Ihumwa kwa kuchangia vifaa vya ujenzi wa kituo kipya cha polisi jijini Dodoma. Hatua hii imeungwa mkono pia na wadau mbalimbali, ambao wamejitolea...
John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi!
https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19
Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa...
Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine...
Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu
Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, ACP Amon Kakwale, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuimarisha mshikamano wa Watanzania badala ya kuleta mgawanyiko.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa waandishi wa habari mkoani Singida, Kamanda Kakwale alisisitiza...
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro, hivi karibuni akiwa anazungumza na Chief Odemba kwenye tukio maalum lililoandaliwa na TLS amezungumzia kwa uchache kuhusu sakata la kutekwa kwa Sativa.
Soma pia: Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata...
Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.