Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Sasa wewe kwa akili yako unadhani makosa ya Zitto yanaweza kuamsha nguvu ya umma? Watanzania sasa wamebadilika. Si wa kupelekwshwa na kutumiwa tu kama mipira ya kiume
Makosa ya Zitto ni yapi?
  1. Kusema Magufuli aache tabia za kukandamiza demokrasia?
  2. Kuwaambia CCM wasimuogope MAGUFULI?
  3. Kujadili bajeti ya 2016-2017?
  4. Au kufanya siasa?
Nyie na CCM wenzio endeleeni kudanganyana huko LUMUMBA ila wananchi huku mtaani hawasapoti huu ujinga wenu hata kidogo.
 
Sijui atapelekwa mahakama gani
............kama ni hapa Dar patakuwepo na watu wengi saana na wanaweza simamisha shughuli za siku.
 


Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwa sababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa


Kuna akili za wataalam wazuri zimeharibiwa sana na siasa za nchi hii.
 
I pitty you sirro kama hamjui mnampa nguvu tu zitto na wapinzani
 
Hahahahahaaaaa! Kwa hiyo siku hizi mmeungana na Zitto ama siyo?
Ndugu yangu siasa sio visasi bali ni hoja. Kuna hoja hamkubaliani na zingine mnakubaliana.
Visasi na uadui ni humo kwenu, ukimchukia mtu hata akisema ukweli utambishia tuu.
Hizo akili zenu za Mlinga ni shida sana
 
Nakumbuka miaka ilee wakati nikiwa mdogo, waliokuwa wamepata division zero (aka division 5) ndio walikuwa wanafight kuingia jeshi la Police. Sijui hali ipoje sasa hivi.

Sirro anaakisi watu wa namna ile - division 5. Mnafanya uchunguzi upi tena wakati clips za hotuba ya Zitto Mbagala zipo available huko YouTube? Hii mbinu ya kitoto ya kuwatisha watu haitawafikisha popote.
Du kweli
 
hahahahaha, bongo bana... sasa hii kutaja rwanda mara kibao hapa nia yako ni nini hasa??

Nia ya Zitto kutaja dikiteta ni nini hasa? kulikuwa na sababu ya kum drag in external player ktk politks za ndani?
 
Elimu mbovu ndio imetufikisha hapa.
Hata wakuu wa usalama inabidi wawe kama watumwa tu kwa mabosi wao maana hawana akili za kujiongeza.

Usijekuta hata rais hajasema chochote haya maamuzi yanachukuliwa na viongozi tu wa jeshi la polisi wakijaribu kujionyesha kua wanafanya kazi. Sishangai maana hata wakuu wa wilaya kila siku wanamwaga pumba kila kona kujaribu kutafuta kiki kama yule kilaz.a aliyesema ukiugua kipindupindu ufungwe. Tumejaza watu ovyo sana kwenye uongozi.
 
Miye kumsikia mtu mkuu kama Kamanda Sirro akisema kuwa anautafuta ushahidi nashindwa kabisa hata kumsikiliza. Anisamehe tu lakini nadiriki kusema; Unanichefua kabisaaaaa.
Ushahidi kuwa alihutubia mkutano au ni mwingine mnataka kuupika?? Video kibao zipo, hata mkutano wake na waandishi upo, Sirro, wataka ushahidi kutoka Macca au Vatican??
Acheni kutaapika maneno wakuu wetu. Maneno yenu ni afya au sumu kwa watu mnao waongoza jamani. Chaa, ote naiyooo.
 
Tunasubiria kwa hamu kujua suala la ligumi limeishia wapi
 
habari zilizoko mtaani kwamba polis wengi hasa viongozi wa polis ni makada watiifu wa ccm..
 
Back
Top Bottom