Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.

Huyu Sirro ametumwa mkuu, amepewa amri, hata ukiangalia body language yake anaoneka hakiamini anachokisemaHuyu kamanda Simon kila siku wakiwanyanyasa watu wanao andamana wanasema ni kulinda amani na hamna siasa bila amani. Lakini hii siyo siasa ni upinzani wa uongozi mbaya. Wewe unataka amani akati Raisi wako anaifilisi nchi na kuirudisha umaskinini. Utakuwa na amani akati kodi imepanda kwenye mishahara yako. Utakuwa na amani wakati thamani ya shilingi inashuka. Utakuwa na amani wakati biashara zinakufa kweli? Acha hizo stori ulizoambiwa utoe eti "kuchocheza". Basi kila anayepinga matumizi mabaya ya serikali anachoza na utufungulie kesi wote. Kila mtu mpizani ni mchochezi. Yanii kama vile katiba yetu imeandikwa kuwaweka CCM madarakani milele.
Achana nae lofa huyo! Yaani RAIA wa kawaida tena kapuku anaona sifa suala la Lugumi kutupwa kapuni?Mmemaliza kivipi?sema mmejimaliza kwa wananchi
Tatizo ni ukosefu wa ajira maana lumumba wanatumia udhaifu wa vijana kwa kuwapa posho kidogo na kuanza kutetea maovu mitandaoniAchana nae lofa huyo! Yaani RAIA wa kawaida tena kapuku anaona sifa suala la Lugumi kutupwa kapuni?
JF sasa inaanza kuwa na member wengi bogus sijui kwa nini. Natamani angekuwa jirani nami nimkate kelbu ya nguvu
Tatizo ni ukosefu wa ajira maana lumumba wanatumia udhaifu wa vijana kwa kuwapa posho kidogo na kuanza kutetea maovu mitandaoni
Wanaendelea kuipata na ndiyo watawacha uzuzu wao, si unaona lizaboni tayari kesha lala mitini kwani kifurushi kimekataHata wao Lumumba wameanza kuwachoka maana hawatumii akili kwa kazi waliyopewa. Sasa wameanza kuwatosa kiaina kwa kuwapa posho buku2 nauli ya mwendo kasi tuu. Retun ticket Kimara-Lumumba kwa mwendokasi.
Kabisa hapa ni pale mtu mzima unapojiumbua mbele za watuKamanda Siro Nini maana ya amani na utulivu? Udikteta unaleta amani na utulivu? Kamanda Siro ulitaka kuwa Kasisi please be fair acha wengine watumwe kama MAJINI but not YOU PLEASE!!
zitto ana haki zote kikatiba kutoa maoni yake kama ww ulivyo na haki ya kupinga mtazamo wake vilevile....
hakuna haja ya kuja kwenye vyombo vya habari na kutangaza kumfungulia mtu kesi, kama mtu ana kesi ya kujibu basi unafungua kesi tu hakuna haja ya kutangaza kwenye media.
Hajakatazwa kutoa maoni yake isipokuwa uchochezi na upotoshaji ndio havikubaliki
sirro naye anatafuta ukuu wa wilaya kama akina Lizaboni?
Mahakama itatafsiri uchochezi na upotoshaji.