Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Zotto ana parliamentary immunity. Uchochezi gani?
Ana immunity kwa yale atakayoyaongea akiwa ndani ya bunge.
Lskini hata ndani ya bunge wa vikosi vya upelelezi na mahakama zao. Hivyo huko nako wanahukumiana.
 
Hapana. Parliamentary immunity inahusiana na mambo ya siasa ambazo zimo katika kazi za kibunge.

Haihusiani na sehemu.

Kama una kipengele kinachotaja ndani ya bunge kiweke hapa.

Kwa nini immunity iwepo ndani ya bunge isiwepo nje? Akitoka nje anaacha kuwa mbunge?
 
Mbona ilipotolewa list of shame pale mwembe yanga haikuwa uchochezi? Tena na baadhi ya watu waliotajwa walienda jela,hivi mnategemea nchi yenye mfumo wa demokrasia ya vyama vingi watu watakaa kimya tu bila kuhoji?! Kama CCM na serikali yake hawataki mfumo huu si watunge sheria ya kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi,si wako wengi bungeni,sheria itapita tu kuliko kuendelea na gereshageresha hii ya demokrasia feki kama simu feki,WHY?
Mna wabunge wengi bungeni,serikali yenu,jeshi lenu,polisi wenu,tungeni hiyo sheria na muhipitishe chapuchapu maana msije kutung'oa meno bure maana sisi wengine we believe democracy is people power.
 
Hapana. Parliamentary immunity inahusiana na mambo ya siasa ambazo zimo katika kazi za kibunge.

Haihusiani na sehemu.

Kama una kipengele kinachotaja ndani ya bunge kiweke hapa.

Kwa nini immunity iwepo ndani ya bunge isiwepo nje? Akitoka nje anaacha kuwa mbunge?

Bonyeza hapa Mkuu.

Angalia Ukurasa wa 71
 
Tunoe ujuzi.

Tuangalie na sheria yenyewe inasemaje maana katiba inatoa muongozo mkuu na sharia inanyambulisha Zaidi.

http://www.policyforum-tz.org/sites...ntaryPowerPrivilegesandImmunitiesAct31988.pdf

Nimeona kuna hii unayoiongelea

3. There shall be freedom of speach and debate in the Assembly and such freedom of speech and debate shall not be liable to be questioned in any court or place outside the Assembly.

Lakini pia kuna hii ninayoiongelea mimi

Immunity from legal proceedings

5. No civil or criminal proceedings may be instituted against any member for words spoken before, or written in a report to the Assembly or a committee, or by reason of any matter or thing brought bv him therein by petition, bill, or motion or otherwise or for words spoken or act done in bona fide pursuance of a decision or proceeding of the Assembly or a committee.

Hii iko so wide open almost chochote atakachosema mbunge kisiasa kinaweza kuwekwa hapa, kwa sababu kitakuwa kimejadiliwa bungeni. Hiyo "bona fide" ni ngumu sana ku disprove.Hapa ndipo wanasheria wanapotakiwa ku split hairs sasa.neno gani limemkamatisha? Neno hilo linaweza kuwa applied hapa successfully?

Pia kuna hii, ingawa nafikiri imewalenga zaidi staff wa bunge(Clerks etc) ba si wabunge.Depending on how you interpret "Officer of the Assembly". Mbunge ni "Officer of the Assembly" ? I doubt that. On the other hand yuko chini ya ofisi ya Spika.

35. Neither the Speaker, nor any officer of the Assembly, shall subject to the jurisdiction of any court in respect of the exercise of any power conferred on or vested in the speaker or such officers by this Act.
 
I see. Nikiisoma hii link uliyoileta imemuongelea mbunge na uhuru wake (kinga) ila sheria hiyo haijataja sehemu ambayo mbunge huyo akiongea atakua na jinga na kwakuwa haijataja sehemu, hauoni kuwa sheria hii ilikwepa kysigana na katiba? Na hivyo ifikaoo hapo reference itafanyika kwa kutumia katiba?
Kuhusu mbunge kuwa officer wa bunge hilo hata mimi suna hakika sana ila nadhani kuna utofauti kati ya officer of parliament na member of parliament.
 
Kama nilivyosema hapo juu hata mimi nafikiri hiyo officer of parliame t ni wale ma clerks na askari wa bunge etc. Hap MPs ni members.

Ila naona kama hiyo 5 inampa wigo mkubwa sana mbunge kutoshtakiwa.

Kwa kutotaja sehemu, tafsiri ninkwamba sehemu zote zinahusika. Pale ambapo wigo uliishia bungeni pametaja wazi hilo.

Zitto akiweza kuonyesha tu kwamba jambo wanalotaka kumshtaki nalo limejadikiwa bungeni tayari hii 5 inaweza kuwa invoked.
 
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.

KUFUNGUA KESI NA KUSHINDA VITU VIWILI TOFAUTI NANI ANAFWATILIA KESI ZA TAKUKURU
 
Wafwate sheria sinashida ilamaombiyangu wayamalize kwa amani
 
wanapewa maagizo kutoka kwa mtu ambaye hapendi kukosolewa, sasa alikubali vip kuongoza wakakati akikosolewa anavimba
NI ngumu sana karne hii na katika mazingira ya sasa ya kidunia kufikiria unaweza kuwa na mtizamo mmoja tu wa mawazo. ukiwa kiongozi jiandae kusikia hata husiyoyataka na hasa ukiwa mwanasiasa jiandae kusikia hata ya uongo juu yako. Jana nilikuwa nasiiliza siasa za Marekani, nikamsikiliza mmoja wa wanasiasa akimwambia Obama ndiyo kasababisha/kahusika na mauaji ya Orlando yaliyofanya na mtu ambaye kwangu nafikiri alikuwa 'mgonjwa wa akili'! Ninashangazwa na kauli hii ya Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar!
 
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Fungueni lakini mkae mkijua kuwa mwisho wa siku atashinda kesi!
 
Hata kama hana hiyo immunity ni haki ya watu kusema maoni yao bila bughudha. Kutoa maoni si kuvunja sheria bali ni haki ya Kikatiba
Huu utawala wa Magufuli ni wa kidikteta.

Kimsingi rais kawaruhusu polisi hata wavunje sheria katika kuendesha nchi kibabe pale aliposema pokisi waibe matairi ya magari na kudanganya.
 
Back
Top Bottom