Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Commanda hapo umechemka. Sikuungi mkono. Ukweli mchungu,sasa mmeamua kuitumikia fisi em.
 
binafsi siridhishwi na utendaji huu wa jeshi la polis kamwe. kwa maoni yangu jeshi la polis linapaswa kufanyiwa marekebisho makubwa ya kimuundo. polis wanapaswa kutimiza majukumu yao ya kulinda usalama wa raia na mali zao na sio kuingilia uhuru wa watu kujadili watakayo.
Ni nani atalisimamia hilo?
 
Hivi huyu anaeitwa msajili wa vyama vya siasa yuko wapi ?na anamaoni gani kuhusu demokrasia ya vyama vya siasa na kwa nini anaitwa msajili wa vyama vya siasa? Vilisajiliwa ili vifanye nini ? Tumegeuzwa taifa la watu woga .kila mtu amejuwa muoga kwa nafasi yake ili asitumbuliwe .tumekwisha
 
Kwenye makosa ya jinai ukishitakiwa huwaga hakuna fidia , hii sio kesi ya madai pimbi wewe....... Kama hujui uliza kabla ya kutoa mchango wako
 
Hahahah na Zitto akiwashinda aombe fidia ya kupotezewa muda
Atashindaje kafanya mkutano bila kibali huku kafukuzwa bungeni huku siyo jimbo lake? Uamuzi wa Dr Tulia ni wa kimahakama, huwezi kuhukumiwa na mahakama uanze kuitisha vikao na maandamani eti umeonewa. Lakini nasikia kufungwa jela inakupa umaarufu basi aendelee.
 
Kamanda fanya kazi kama mtoka Mara, komaa kama Muhongo usitumike, simamia ukweli mogaka.
 
Sirro naye ameshaingia kwenye kundi la kujiharibia historia ya utendaji
As long as anatumikia serikali ya JPM huo mtego haukwepeki. Watu na weledi wao inawalazimu wajishushe na kuwa maboya alimradi mkate wa watoto upatikane! Ikija kufika mwisho wa mwaka huu wale ambao hakumwelewa Generali Ulimwengu, watamwelewa vizuri tu.
 
Kamanda Siro Nini maana ya amani na utulivu? Udikteta unaleta amani na utulivu? Kamanda Siro ulitaka kuwa Kasisi please be fair acha wengine watumwe kama MAJINI but not YOU PLEASE!!
Unajua hata maana ya udikteta?

Sasa hivi ungekuwa unatokwa povu hivi hapa?
 


Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.

Hiv upelelezi wa kupata ushahidi wa fisadi wa Richmond na issue ya lugumi umefikia wapi?
 
Back
Top Bottom