Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Kimsingi kumwita rais Magufuli ni dictator ni mwelekeo wa uvunjifu wa amani. Ninyi watanzania wenzangu nyie,mnafahamu hasa rais ambaye ni dictator anakuwaje. Naomba kuwakumbusha kuwa dictator alikuwa ni IDD AMIN. Alinyonga watu kama kuku. U dictator wake uliposhamiri aliamua kuivamia nchi yetu kwa lengo la kuitawala. Huo ndio u dictator ndugu zanguni. Siyo unalala, unaamka unasema rais wetu ni dictator. Huo ni upotoshaji usioweza kuvumiliwa kwa namna yoyote ile. Kwa nini mtu asisimame jukwaani na kueleza mazuri yaliyofanywa na MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI kwa kipindi kifupi tangu alipoingia madarakani?
 
Hajakatazwa kutoa maoni yake isipokuwa uchochezi na upotoshaji ndio havikubaliki

Uchochezi wa upotoshaji maana yake unaweza kutupa. Na hata kama anapotosha watu, hao watu ambao ni wajinga kiasi cha kupotoshwa wanahitaji kujielimisha. Watu wangapi wanapotoshwa kila siku na bado hawapeleki watu mahakamani. Kama serikali imefanya kazi mbaya ya kuelimisha watu kiasi kwamba wanapotoshwa kiraisi ni kosa lao.
 
Kimsingi kumwita rais Magufuli ni dictator ni mwelekeo wa uvunjifu wa amani. Ninyi watanzania wenzangu nyie,mnafahamu hasa rais ambaye ni dictator anakuwaje. Naomba kuwakumbusha kuwa dictator alikuwa ni IDD AMIN. Alinyonga watu kama kuku. U dictator wake uliposhamiri aliamua kuivamia nchi yetu kwa lengo la kuitawala. Huo ndio u dictator ndugu zanguni. Siyo unalala, unaamka unasema rais wetu ni dictator. Huo ni upotoshaji usioweza kuvumiliwa kwa namna yoyote ile. Kwa nini mtu asisimame jukwaani na kueleza mazuri yaliyofanywa na MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI kwa kipindi kifupi tangu alipoingia madarakani?

Na pia tunafahamu dictator anaanzaje. Idi amin naye alianza kama mtumbaji majipu wa nchi yake na mbabe ya kutaifisha vitu na kuzuiya uhuru wa kusema. Kisa tu haujamuona magufuli zaidi ya miezi akiwa madarakani huwezi ukasema siyo dictator. Bado hajakaza moto. Ngoja uyaone mwenyewe.
Upotoshaji siyo kosa la kumfunga mtu bali ni kosa la kutowaelimisha watu wanao potoshwa. Na usitegemee kisa wewe unampenda mtu kila mtu atampenda.
 
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.

Kamanda Sirro seriously..??
 
Huyu Kamanda ni Buffoon wa ajabu, Kumkosoa rais Ni uchochezi? Kwa nini msitushitaki kwa Kukufuru maana sasa huyu Mh. Magufuli kwenu amekuwa kama mungu. Mnamtisha Nani mnaamsha tu hasira za Watanzania ambao wamekandamizwa miaka yote. Hivi mnakumbuka wakati wa kampeni gharika za Watu? Hivi serikali hii yenye vipolisi vichache hapa wanadhani wanaweza kufanikiwa kutumia nguvu miaka yote kukandamiza Mawazo ya Raia? Mh. Magufuli wewe pambana na Rushwa na Ufisadi, Vita vyako vya kupambana na uhuru wa Mawazo na Demokrasia Nakuhakikishia vitakufanya ushidwe katika kila kitu, hata hiyo vita juu ya rushwa. Time will tell. Inakuuma Nini watu wakiongea Siasa na Wewe Ukapiga Kazi? Kiongozi wa Nchi anatakiwa awe na Ngozi ya Mamba, Kama Una ngozi ya Konokono au Earthworm utafail vibaya sana.
 
Hizi mada naogopa kuchangia kwa hasira..
Jamaa wamapenda sana sifa sahvi kuhusu hizi comments za kwenye mitandao..
Ohoo October 2015..Tutakukumbuka sana..
 
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.

Mimi Nawashauri Wanasiasa Wasikubali Kuhojiwa Upuuzi na Polisi. Wamevunja amani Kivipi Stooge wewe? Wamemshawishi nani Kufanya Matendo maovu? Nawashauri Wanasiasa wanapoitwa Polisi Kuhojiwa wawaambie Kama wana Mashitaka wapeleke Mahakamani. Hii Kuitwa Kuhojiwa na Polisi sio Jambo La lazima, In short Unaweza Kuwajibu Polisi Mstari Mmoja, "Sina la Kusema nanyi, Kama Mna mashitaka juu yangu Nendeni Mahakamani" You do not have to say anything to these pupets of oppression! They have the Burden to prove their accusations against you! They need to prove that you are guilty. I hope that is the Law system in Tanzania as well if our System is, "When Accused you are guilty until proven innocent" we need to change the System ASAP The just System is, "Your Innocent until proven guilty" and the burden of proving you guilty rests on the accuser for the procecutor and not you the accused therefore you do not have obligation under the law to answer any question from the Police.
 
Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na kukusanya ushahidi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwasababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa.

Kwahiyo sasa mtu kuongea kitu kinyume na serikali ni uchochezi! Wonder if the case will stand in a court of law!
 
Kwahiyo sasa mtu kuongea kitu kinyume na serikali ni uchochezi! Wonder if the case will stand in a court of law!
wanapewa maagizo kutoka kwa mtu ambaye hapendi kukosolewa, sasa alikubali vip kuongoza wakakati akikosolewa anavimba
 
Hivi huyu anaeitwa msajili wa vyama vya siasa yuko wapi ?na anamaoni gani kuhusu demokrasia ya vyama vya siasa na kwa nini anaitwa msajili wa vyama vya siasa? Vilisajiliwa ili vifanye nini ? Tumegeuzwa taifa la watu woga .kila mtu amejuwa muoga kwa nafasi yake ili asitumbuliwe .tumekwisha
Unadhani Msajili anaweza KWENDA kinyume na maagizo ya wakubwa?!
 
Kimsingi kumwita rais Magufuli ni dictator ni mwelekeo wa uvunjifu wa amani. Ninyi watanzania wenzangu nyie,mnafahamu hasa rais ambaye ni dictator anakuwaje. Naomba kuwakumbusha kuwa dictator alikuwa ni IDD AMIN. Alinyonga watu kama kuku. U dictator wake uliposhamiri aliamua kuivamia nchi yetu kwa lengo la kuitawala. Huo ndio u dictator ndugu zanguni. Siyo unalala, unaamka unasema rais wetu ni dictator. Huo ni upotoshaji usioweza kuvumiliwa kwa namna yoyote ile. Kwa nini mtu asisimame jukwaani na kueleza mazuri yaliyofanywa na MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI kwa kipindi kifupi tangu alipoingia madarakani?
mimi ni mdau wa Uganda, alipoingia Amini watu walishangilia. Nilikuwa huko I saw all what was happening. Then akaanza taratibu, tena taratibu sana kuwazima wapinzani wake kisiasa! And this culminated to what you have narrated above! Dictatorship is a progressive (a process) move!
 
Nadhani ni mbinu za jeshi la polisi kuwatisha wanasiasa na wanachama waoga. Kama sivyo kwanini wasishughulike naye kimya kimya? Kwani lazima wautangazie umma hatua watakazochukua dhidi ya "wahalifu" kama hawa?
 
Uchochezi wa upotoshaji maana yake unaweza kutupa. Na hata kama anapotosha watu, hao watu ambao ni wajinga kiasi cha kupotoshwa wanahitaji kujielimisha. Watu wangapi wanapotoshwa kila siku na bado hawapeleki watu mahakamani. Kama serikali imefanya kazi mbaya ya kuelimisha watu kiasi kwamba wanapotoshwa kiraisi ni kosa lao.

Soma tena ulichoandika kama kinaleta maana yoyote hata kwako tu.
 
Kamanda ziro you are seriously a handicap na aliekutuma is retarded unaongelea katiba mara amani mara uchochezi are blind kazi ya polisi ni moja tu!! TO SERVE AND PROTECT sasa wewe una serve ikulu na unaprotect tumbo lako get ur head out of your a** open ur eyes polisi haina chama hairuhusiwi kuwa na chama au tuwaite jeshi la polisi la ccm sio jeshi la polisi la tanzania skizeni we r not stupid like miaka 50 ilopita we wasted our votes bado linatutesa moyoni msitupime imani we r getting tired of the way serikali inavotunyima haki za ukweli zakikatiba tunatafuta njia mbadala zakujikwamua msituone malofa tunaioenda tanzania sana msiweke tamaa zenu mbele do ur jobs or we all shall suffer ur stupidity
 
Zotto ana parliamentary immunity. Uchochezi gani?
 
Back
Top Bottom