Kamanda Sirro: Tutamfungulia Zitto kesi ya uchochezi

Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na upelezi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwa sababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa

Kamanda Siro Nini maana ya amani na utulivu? Udikteta unaleta amani na utulivu? Kamanda Siro ulitaka kuwa Kasisi please be fair acha wengine watumwe kama MAJINI but not YOU PLEASE!!
 
Nakumbuka miaka ilee wakati nikiwa mdogo, waliokuwa wamepata division zero (aka division 5) ndio walikuwa wanafight kuingia jeshi la Police. Sijui hali ipoje sasa hivi.

Sirro anaakisi watu wa namna ile - division 5. Mnafanya uchunguzi upi tena wakati clips za hotuba ya Zitto Mbagala zipo available huko YouTube? Hii mbinu ya kitoto ya kuwatisha watu haitawafikisha popote.
 
Zitto alifanya upotoshaji mkubwa kwenye swala la kodi za miamala ya pesa kwenye simu na ATM, anatakiwa ajifunze kucriticize bila kupotosha.
 
huwa najiuliza hivi tangu vyama vya upinzani waanze makongamano yao kuna wakati wowote iliwahi kutokea vurugu zilizosababishwa na yale yaliyoongelewa kwenye mikutano? kwanini polisi wanapenda sana kuwa vibaraka wa ccm? kwanini wanawaabudu sana ilhali wana maisha duni sana? hatma ya kuyafanya haya yote ni nini? yani siwaelewi kabisa wanaendesha mno na viongozi wa ccm hata katika mambo ambayo wao wenyewe wangeweza kujiongeza! hakika nawasikitikia
 
Back
Top Bottom