vengu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 740
- 535
Wahalifu huwa wanashughulikiwa kws mbinu zoteKawaulize waliowahi kukutana nae kwenye anga zake
Wahalifu huwa wanashughulikiwa kws mbinu zoteKawaulize waliowahi kukutana nae kwenye anga zake
Mangu anapelekwa kuwa RC Kilimanjaro
Bonyeza reliTatizo nyota
Tatizo la msangi anaweza kukupa kesi mbaya kisa tu mwanamke mmeingilianaHabari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
Mpare
Msangi hana utu hata kidogo sio mtuUpo sahihi kabisa.Msangi ni moja wa makamanda katili kabisa kuwahi kutokea katika jeshi la polisi
N Ahmed Msangi huwa hatumi askari wa chini anamalizana nao mwenyeweWahalifu huwa wanashughulikiwa kws mbinu zote
ushaharibu....Mkuu hapangiwiKuna nafikiri huyu ndiye ambaye anaweza kumrithi IGP SIRO kwa Dar. Mkumbo wa Arusha kurudi Mwanzaaa?Wasalimie Dar kamanda Msangi, Kachero mbobezi.
Hiyo ndiyo warrantmapolisi utawajua tu humu...huyu msangi ana ukatili flani hivi nishamkumbuka
Ina maana watu wa Mwanza hawahitaji huo utendaji uliotukuka??????!!!!!Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
Huyu Msangi pia inasemekana ni Kijana wa System! Kuna watu waliwahi kuhisi angeteuliwa kua DG wa TISS.Baba Yake RPC Mwanza aliwahi kuwa RPC Ruvuma na Baba yake Msangi aliwahi kuwa Rafiki wa Baba yake Anna, Mzee Makinda akiwa RC Tabora
Wakati anasoma Tambaza sikutegemea kuwa atakuwa na ukatili huo.Upo sahihi kabisa.Msangi ni moja wa makamanda katili kabisa kuwahi kutokea katika jeshi la polisi
Huyu Msangi pia inasemekana ni Kijana wa System! Kuna watu waliwahi kuhisi angeteuliwa kua DG wa TISS.
Wataletewa jembe mwingineIna maana watu wa Mwanza hawahitaji huo utendaji uliotukuka??????!!!!!
Hivi si alikuaga Mkuu wa Upelelezi Dar kabla ya kupelekwa Mbeya kua RPC then Mwanza?Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
Sio wa kaskazini, bali nazungumzia sie ambao kuanzia jana tumeanza kubadili ratiba za kula hatuli day time mpaka siku 29 au 30 zipiteMbowe