Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Leo mida ya mchana mgombea wa UKAWA Lowasa amejikongoja kuhutubia kwa Dakika 11 ila alianza kutetemeka hadi akaangusha Mic alijifanya mjanja kushika mwenyewe
Hii Topic ulitakiwa ukaiandike kwenye jukwaa la mapenzi kwani naona Mahaba kwa Lowassa inakuua ukijua tayari keshaoa na ana mke mzuri tu
 
Parkinson's na dementia vinavuruga ubongo mkuu. Hii kutetemeka ni symptoms tu kazi hasa ni huko kichwani. Ugonjwa ukikolea huwa hawakumbuki cho chote na kujinyea ni jambo la kawaida na wala hawajui kuwa wamejinyea. Sasa ata-delegate nini wakati wala atakuwa hajui kinachoendelea? Na ugonjwa huu hauna tiba. Go figure!
Umeua kiongozi ,hawa mburula hawawi objective, ukiwabana sana hapo watasema hata ukiweka.jiwe watachagu tu ,wakifikia hatua hiyo haina namna ya kuwasaidia.
Mbowe anajua wazi hali ya Lowasa ,na anafurahia coz anajua yeye ,DJ,na Mkwewe Mtei ndo wataongoza by proxy.Wamtumia babu mamvi kama mtaji wa kuongeza pesa za ruzuku kwa kupata majimbo mengi ,
 
Ccm mwaka huu mmealibikiwa vibaya sana hata siku ya kufa ikifika hata uwe na pesa vipi haziwezi kukusaidia.
 
JK kamanda wa kweli JWTZ achana na huyu graduate wa sanaa za maonyesho. Mara zote mbili Kikwete alikuwa kwenye swaumu na ilikuwa dehydration tu. Kwa sisi tunaofunga tunaelewa what goes on hasa ukijitumikisha sana wakati mwili hauwi replenished accordingly.

Juzi juzi hapa Mbowe kapoteza netiweki wakati wa kuzindua kampeni za UKIWA mpaka kakimbizwa na kulazwa Muhimbili. Unajua tatizo lilikuwa nini? Uchovu na dehydration which is normal. Sasa huyu mtaalam wa sanaa za maonyesho anatetemeka kabisa permanently tunaona hivi halafu unaleta argument ya Kikwete kuanguka? Tuombe tu kuwa his mental faculties are still intact otherwise kuna hatari ya kuongozwa na zombie/msukule japo naamini hatashinda kwani Watanzania siyo wapumbavu wala malofa!

Vijana wameshikiwa akili zao kwa muda waturudishiwa baada ya uchaguzi wakati huo Magufuli ameshaapishwa. Nguvu za nigeria haziwezi kushinda mbele ya nguvu za nuru
 
Haya mafuriko ya Lowassa/Ukawa leo Singida tunaweza kuyalinganisha na Raila akiwa katika uwanja wa Tononoka au Uhuru Kenyata akiwa katika viwanja vya Uhuru Park...

Haijawahi kutokea!.....

Shikamoo Singida...
 

Attachments

  • 1442076387952.jpg
    1442076387952.jpg
    85.5 KB · Views: 2,583
  • 1442076402920.jpg
    1442076402920.jpg
    49.4 KB · Views: 2,256
  • 1442076414820.jpg
    1442076414820.jpg
    33.2 KB · Views: 1,661
  • 1442076425830.jpg
    1442076425830.jpg
    50.9 KB · Views: 1,554
  • 1442076453052.jpg
    1442076453052.jpg
    65.7 KB · Views: 2,195
  • 1442076469000.jpg
    1442076469000.jpg
    37.4 KB · Views: 2,065
  • 1442076480520.jpg
    1442076480520.jpg
    55 KB · Views: 1,490
  • 1442076495920.jpg
    1442076495920.jpg
    44 KB · Views: 1,519
  • 1442076521319.jpg
    1442076521319.jpg
    50.9 KB · Views: 2,937
Leo mida ya mchana mgombea wa UKAWA Lowasa amejikongoja kuhutubia kwa Dakika 11 ila alianza kutetemeka hadi akaangusha Mic alijifanya mjanja kushika mwenyewe

Hata aanguke tuko naye, Viva Lowasa umewafanya Mafisadi CCM wasilale mpaka 2025
 
Alete katiba ya wananchi na awasomeshe watoto wetu na huduma za afya azirudishe kwenye hazi.hongera sana.kama nyerere vile mwaka 1980 alipo kuja songea wakati wa sherehe za sabasaba nakusema kuwasaidieni ni kuwasomesha watoto wenu.
 
Kumbe Moo Dewji aliona mbali???maisha yana badilika Sana bunge la kumi Kanda yote ya Kati kuanzia morogoro,Dodoma hadi Singida kulikuwa na mbunge Mmoja tu wa kuchagulia tundu antipass Lissu laki Hali ilivyo sasa Ukawa watapata wabunge wengi Sana
 
Jamani anae weza kunijuza.... mwenye uhakika kura za uraisi zinahesabiwa vipi plz.... maana hapa tiyari Raisi tunae je hawatachakachua hawa jamaa zetu??
 
Back
Top Bottom