Mkuu siongelei walinzi wa jadi wa Tarime, naongelea vitu vya makabila Sime na Marungu.
Mkuu wangu kabla ya Tendwa kuongea yale maneno angepaswa kufikiri kama ulivyosema
Mkuu siongelei walinzi wa jadi wa Tarime, naongelea vitu vya makabila Sime na Marungu.
sipati picha jeshi lote hili endapo kura zikichakachuliwa itakuaje.hii ni hatari sana mungu tuepushe na kikombe hiki.
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Si mlisema wazee wa Arumeru wamsuta Tendwa na thread ilianzishwa JF hawajasema hayo maneno?
Wasiwasi wangu wataambiwa wanaandamana hivyo kutoruhusiwa kumlinda kwa wingi wao huo.
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Umenikumbusha Abdul Cisco Mtiro!
Polisi wote waende likizo tujilinde wenyewe baada ya hapo tufanye tathimini kama waendelee kuwepo au la!!Jeshi la Polisi ambalo hata mawaziri(Mwakyembe na Sitta) wanasema hawaliamini nani anataka ulinzi wake?
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Ewe mola tuepushe na hili balaaaa! Morani zaidi ya 300 si ni zaidi ya platoon 5! Hivi Moran wa Kimeru wana tofauti na wale wa Kimasai kwa maana ya ubebaji wa silaha kama sime na marungu?