Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Mkuu Morani wa Kimeru usipime, 20 tu wanadhibiti FFU 400, sasa hawa 300 itakuwa balaa, huwezifananisha Morani wa Kimeru na wa KImasai, wameru ni Noma, muulize Lyatonga utapata habari kamili:welcome:

Nakuambia hapa Lema atalindwa ka Obama wa Marekani
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Hapo hapo!!! Uliza vizuri historia ya Mtu anayeitwa SIMBA KIMUTO! hutatamani kufika Meru ukimjua vizuri na hicho kikosi chake! mmechokoza na mtaona, bahati nzuri Wameru sisi kwenye suala la umoja tunasahau tofauti tunarudi kutetea ndg zetu, hata kama tuko Serikalini na vitengo nyeti, kwenye undugu tutakuwa kitu kimoja, ikiwa ni pamoja na majeshi yote, turudi kulinda heshima yetu :A S-fire1:
 
Mbona hawakumlinda Mwakyembe na ni wa kwao? unaona sasa yaliyomkuta pamoja na ushahidi wote alioutoa? Nyie hamjajua kitu ambacho serikali ya CCM imewafundisha watu! tutajilinda wenyewe sasa
 
Hapo hapo!!! Uliza vizuri historia ya Mtu anayeitwa SIMBA KIMUTO! hutatamani kufika Meru ukimjua vizuri na hicho kikosi chake! mmechokoza na mtaona, bahati nzuri Wameru sisi kwenye suala la umoja tunasahau tofauti tunarudi kutetea ndg zetu, hata kama tuko Serikalini na vitengo nyeti, kwenye undugu tutakuwa kitu kimoja, ikiwa ni pamoja na majeshi yote, turudi kulinda heshima yetu :A S-fire1:

Wameru ni moja ya makabila yasiyokubali ubabaishaji. Itakuwa ni hatari sana kwa mtu atayekuja na swagger za kuwasomba kwa kutumia ulaghai. Ni kweli kabisa kuwa Meru ni kati ya sehemu chache ambapo damu inaweza ikamwagika kama mtu akileta mambo yasiyoeleweka.

Safari hii uchakachuaji ujikite zaidi kwenye uhesabuji wa kura.
 
CDM mnaipeleka wapi Arumeru? Kila mtu akiwa warlord kama Somalia, akawa na wanamgambo wake, na silaha zake, si uchaguzi utageuka chanzo cha vita vya wanamgambo?

Msituletee mambo yenu ya shari, lazima usalama ulindwe na Polisi....full stop!

Tatizo jina lako la Ngoromiko na ushauri wako ni vitu viwili tofauti, sijawahiona Shetani akitoa ushauri wa kusitisha mapigano labda kama amezidiwa na ana maslahi fulani!!
Jamani Wana JF [Ngoromiko maana yake ni Shetani] kwa lugha ya huyu bwana aliyejiita Shetani:shetani: Ndiye huyo jamani!!!
 
Mkuu Morani wa Kimeru usipime, 20 tu wanadhibiti FFU 400, sasa hawa 300 itakuwa balaa, huwezifananisha Morani wa Kimeru na wa KImasai, wameru ni Noma, muulize Lyatonga utapata habari kamili:welcome:
hapo hata wakipeleka kamanda tosi atafurushwa tu...!
 
Sasa Lema peke yake kulindwa na Morani 363 je Mgombea ubunge mwenyewe Nassari atalindwa na Morani wangapi?

Tumemwaandalia Wameru wote wamlinde wakiongozwa na vijana machachari waliosomea mafunzo ya aina zote, hatutaji hiyo ni siri ya kikosi, pia kuna ulinzi wa hao 300 na ushee wanaongozwa na Mkuu Kamanda Simba Kimuto ambaye anajulikana mambo yake!! Waulizeni Polisi kuwa Who is Kamanda Simba Kimuto? kabla hawajajibu watakuwa wameshakuacha wakikimbia.
 
Ha ha ! we jamaa wa zamani!! Cisco dah by 1995 was just 5 yrs old..Lakini ameula..balozi wa Tz nchini Malaysia..unacheza na jk nn

Mkuu/Dogo, ndiyo maana wengine tunayajua haya mambo ya siasa. Tumezaliwa kwenye mfumo wa chama kimoja tukasomeshwa siasa, tukajua nini maana ya Chama kushika utamu baadaye vikaja vyama vingi wengine tukajiunga huko kisha tukaona magumashi tukaamua kuwa wapiganaji wasioelemea upande wowote! Sasa ninyi wa dot com kaaazi kwelikweli.

Cisco amewahi kuwa CP hapo foreign mkuu!
 
Mkuu siongelei walinzi wa jadi wa Tarime, naongelea vitu vya makabila Sime na Marungu.

Ujue kuwa pia Polisi wakitumia za moto hata huko ziko za kumwaga! Nawashauri Ndg na Kaka zetu Polisi, kwa hili la Meru wasikubali kupeleka msiba makwao, wawe tu wapole watafikisha miaka mingi kidogo, ila wakijifanya akina Schwarzenegger watashangaa kitakachokuwa.
Hamkumbiki Bwana mmoja alienda kuomba uhuru wa Wameru? inaweza ikawa ndiyo sasa tunaupata:A S embarassed:
 
hapo hata wakipeleka kamanda tosi atafurushwa tu...!

Mkuu kwa hiyo unataka kusema Arumeru kutakuwa na kaserikali fulani hivi? Hivi hao mia tatu wote watakuwa wanamzunguka Lema au itakuwaje?
 
Tumemwaandalia Wameru wote wamlinde wakiongozwa na vijana machachari waliosomea mafunzo ya aina zote, hatutaji hiyo ni siri ya kikosi, pia kuna ulinzi wa hao 300 na ushee wanaongozwa na Mkuu Kamanda Simba Kimuto ambaye anajulikana mambo yake!! Waulizeni Polisi kuwa Who is Kamanda Simba Kimuto? kabla hawajajibu watakuwa wameshakuacha wakikimbia.

Mkuu angalia wasije wakaishia kumlinda Lema wakasahau kupiga na kulinda kura matokeo yake wakafarakana baada ya mtu wa upande mwingine kutangazwa mshindi!
 
Mkuu kura zinalindwa na Wameru wote, wameamua kuwa hii itakuwa siku ya ukombozi ambayo hakuna mtu aliyejiandikisha atakayeacha kupiga kura, pia kila mtu ni mlinzi wa mwenzake. Tumeweka maimformer kila mahali na kila kitengo muhimu.
 
Mnalinda hewa? CDM hawataambulia kitu, hivyo hakuna cha kulinda hapa. Msijifiche kwa aibu matokeo yatakapotangazwa. Itakuwa zaidi ya Igunga. Mnacheza na CCM???? SUBIRINI KILIO.
 
Tatizo jina lako la Ngoromiko na ushauri wako ni vitu viwili tofauti, sijawahiona Shetani akitoa ushauri wa kusitisha mapigano labda kama amezidiwa na ana maslahi fulani!!
Jamani Wana JF [Ngoromiko maana yake ni Shetani] kwa lugha ya huyu bwana aliyejiita Shetani:shetani: Ndiye huyo jamani!!!

Tusiitane shetani. Tanzania makabila ni mengi na majina au maneno yanaingiliana. Kikwetu NGOROMIKO maana yake ni KIONGOZI WA KIMILA.
 
Mkuu kura zinalindwa na Wameru wote, wameamua kuwa hii itakuwa siku ya ukombozi ambayo hakuna mtu aliyejiandikisha atakayeacha kupiga kura, pia kila mtu ni mlinzi wa mwenzake. Tumeweka maimformer kila mahali na kila kitengo muhimu.

Kwa hiyo unataka kutuambia Wameru wote ni Chadema?
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
...jeshi gani la polisi?...hili liloua raia Songea?...
 
Back
Top Bottom