Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Nasikia kampeni kwa upande wa CCM waziri mkuu mstaafu Lowasa atasimamia kama ilivyo kuwa Igunga alikuwa Rostam
 
Mwakyembe aliomba ulinzi wao miezi Tisa kabla hajawekewa Polonium 210 na matokeo yake umeyaona. Kumbe wao ndo wanaoshirikiana nao.

yule mtoto wa Mengi jee ni polisi hao hao,Kule Songea polisi waua kama al-shabaab, Arusha polisi waliua kama Boko haram...pia nimesikia kuna polisi katinga disco na silaha,cjui ni polisi yupi anayemaanisha
 
Watashindana nasi lakini hawatashinda- A. Lusekelo. Jeuri ya kobe ni majini na jeuri ya magamba ni penye misikiti mingi! sasa huku Arumeru wameshikwa pabaya sana.
 
Hii itakuwa fundisho kwa viongozi wa aina ya Tendwa ambao wanamawazo finyu na kufikiri bado tunaishi katika enzi za zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Wala hana aja ya kutaka ulinzi kama huo kwani najua yale ni maneno matupu ambayo hawawezi kuyatimiza bali walidhani Lema atatishika
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Kwani mwakyemebe hakuwa na ulizi wa polisi na kama hakuwa na ulinzi kwanini ili hali alisha toa taarifa ya kutaka kuumwa na Al shabab wa CCM.....leo unataka lema atumie njia alizotumia mwakyembe...
 
Watashindana nasi lakini hawatashinda- A. Lusekelo. Jeuri ya kobe ni majini na jeuri ya magamba ni penye misikiti mingi! sasa huku Arumeru wameshikwa pabaya sana.

mkuu wa Iramba Mashariki una logic sana, unaonaje hapo kwnye red ukaiwekea thread yake tukalijadili kwa mapana zaidi
 
Wala hana aja ya kutaka ulinzi kama huo kwani najua yale ni maneno matupu ambayo hawawezi kuyatimiza bali walidhani Lema atatishika
Lema anapaswa kuwa na ulinzi kwani Tenda na CCM wana wenza kukodisha watu wa kumzuru ili ionekane tendwa alichokiongea ni kweli.....
 
Nasikia kampeni kwa upande wa CCM waziri mkuu mstaafu Lowasa atasimamia kama ilivyo kuwa Igunga alikuwa Rostam
Kama ni Arusha mjini atapigwa mawe mbaya kabisa sina uhakika na Arumeru lakini kama ukisema Arumeru ( USA-river) pale hakuna tofauti ya Arusha mjini.....
 
sipati picha jeshi lote hili endapo kura zikichakachuliwa itakuaje.hii ni hatari sana mungu tuepushe na kikombe hiki.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Washili kwa nini na wao watoe kauli yao kwa Tendwa kwani yeye ni jeshi la polisi?
Kiraia zaidi
 
sa haya ya kulinda mtu ambaye hata si mgombea ndio siyaelewi kabisa!! why is this guy always surrounded with drama??
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

WEwe MAKENGEZA KABISA , UONI KUNDI KUBWA LA GREEN GUARDS WA CCM? NAO NI WANINI? WAACHENI WAFU WAWAZIKE WAFU WAO.
 
Sasa Lema peke yake kulindwa na Morani 363 je Mgombea ubunge mwenyewe Nassari atalindwa na Morani wangapi?
 
Mkuu mgombea ubunge hajatishiwa kuuawa.Vijana watamlinda Lema kwa sababu Tendwa alisema wazee wa kimila wanataka kumuua.
 
sa haya ya kulinda mtu ambaye hata si mgombea ndio siyaelewi kabisa!! why is this guy always surrounded with drama??

Mkuu kawaulize watu wa Arumeru kwanini wanataka kumlinda Lema
 
Back
Top Bottom