Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Kamanda Lema ndani ya Arumeru

NAOMBENI NITOE ANGALIZO,kama anaeratibu ulinzi huo ni mtu aitwae Yohana kimuto mstaafu wa polisi basi green guard ama serikali msipite anga izo,huyu bwana ana historia ya kuhamasisha demostration mbalimbali huko meru na ndo aliongoza uvamizi ktk mashamba ya SADC.kama ni kimuto Lema upo salama meru,huyu ni balaa

Dots connected!
 
Nadhani hapo Tendwa amesikia
 
Mwenye matizo ni Tendwa na hao Wazee wa Kishiri, but aliyelikuza zaidi ni Tendwa kwani alistahili kutoa taarifa hizi kwa jeshi la polisi (kwa uvunjaji wa sheria). Nchi hii kila mtu yuko huru kwenda popote ili mradi asivuje sheria (sasa lema alivunja sheria ipi?). Je ingekuwa ni mtu wa CCM ametishiwa namna hiyo angeyasema hayo?
To me it’s more like him taking advantage of the opposition (CDM) to make extra votes for CCM.

Mkuu wangu umemaliza kila kitu siongezi neno
 
hapana : nyie tumieni dola sisi tunatumia umma, bila kuwapigia hii staili mtatunyanyasa na mabomu yenu sasa twendeni kazi. Mnadola, usalama wa taifa, chadema tuna nguvu ya umma. Msitulaumu mlaumuni Tendwa mliyemtuma.

Jukumu la kwanza la ULINZI WA RAIA NA MALI ZAO upo mikononi mwa mwananchi wenyewe, na si POLISI. Kwa hiyo hao MORANI watakuwa wanatimiza wajibu wao wa kikatiba
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Polisi ipi sasa unayoizungumzia wewe?
 
kamanda lema analindwa na mungu,moran niwasaidizi2 police wa magamba niwauwaji hatutaki ulinzi wao,eti mpaka waombwe ulinzi kwani hawakumsikia tendwa akimtishia maisha lema?na lema akifa tendwa tendwa tendwa!!unajua nguvu yauma kweli?police mkamaten tendwa msione tuko kimya tunayajua yoote
 
Kwa hakika hapa Tendwa alipaswa kukatwa na polisi kama shahidi muhimu kwenye tuhuma za kutaka kumuua Lema.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Aise, we upo Tanzania ya wapi? Mwakyembe naye hivi si aliwahi kuomba ulinzi kwa mjomba wako na yaliyomkuta ndo hayo tunayo yaona; also kama polisi kweli wanafanya kazi ya upolisi walitakiwa haraka sana waende kwa bwana Tendwa na kumwomba hao wazee waliompa taarifa za kuua then wachukue hatua (Dogo kwani we si ni mwanasheria na hili unalijua)

Kwasababu polisi inafanya kazi za chama chenu wasiokua wana chama wenu inawabidi watafute namna ya kujilinda wenyewe au wazalendo wawalinde wazalendo wenzao.
 
Mkuu wangu Kimbunga
Tendwa ni msajili wa vyama vya siasa.Anakimbilia kwa waandishi na kusema wazee wa kishiri wamesema Lema akienda tu Arumeru anaweza kuuawa.Kwa hiyo Tendwa jaji aliyebobea anasema usalama wa Lema ni kutokukanyaga Arumeru mpaka kampeni ziishe.Kampeni zikiisha anaruhusiwa kwenda.Huo ndio ushauri wa kiongozi aliyebobea.Mkuu Kimbunga wewe unaona mwenye matatizo makubwa zaidi ni Tendwa au hao Washiri??

Mzee nimekubali. Unajua hii habari sikuifuatilia kumbe ina madhara makubwa sana. Sasa nani alimtuma Tendwa kuyasema yote hayo hata kama Washiri walisema haikuwa Busara yeye kuyasema.
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Polisi wepi, hawa walioua wananchi januari 5?
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Kama mnajua kuna ulinzi wa polisi, kile kikosi chenu cha Green Guard kazi yake nini?
 
Tendwa alijua MERU ni IGUNGA ngoja aonyeshwe nguvu ya umma wa kimeru ikoje.
 
Mzee nimekubali. Unajua hii habari sikuifuatilia kumbe ina madhara makubwa sana. Sasa nani alimtuma Tendwa kuyasema yote hayo hata kama Washiri walisema haikuwa Busara yeye kuyasema.

Mkuu wangu tupo pamoja sana!
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Polisi gani unaowasema? Hawahawa waliomwacha Tendwa anadunda badala ya kumkamata asaidie polisi kumpata huyo aliyetamka jinai?
 
ninachokumbuka mrema alifanya juhudi kubwa sana kumaliza ule mgogoro wa kidini hivyo ni rai yetu kwa polisi kutumia busara kumaliza hili
 
Kuna Kiongozi fulani wa siasa hakukosea na kusema huyu John Tendwa cheo alichopewa ni sawa na TARISHI/KARANI TU!
 
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Mwakyembe aliomba ulinzi wao miezi Tisa kabla hajawekewa Polonium 210 na matokeo yake umeyaona. Kumbe wao ndo wanaoshirikiana nao.
 
Back
Top Bottom