Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda Baada ya kuua raia waliokuwa katika maandamano ya amani huko songea - Ruvuma hivi karibuni, amehamishiwa Iringa ambako ameua Mwenyekiti wa mwandishi wa habari akiwa kazini na vifaa vyake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda akizungumza na wanahabari leo
kuhusu sababu za kuzuia mkutano wa Chadema leo Mufindi
Tumejipanga kwa lolote asema kamanda wa polisi kuwa si Chadema pekee hata CCM na vyama vyote marufuku mikutano wanaruhusiwa kufanya vikao vya ndani ili kupisha zoezi la sensa hadi jumamosi litakapomalizika
Haya matatizo si ya kamanda mmoja mmoja.Huyu awajibishwe,lakini haina maana eti hao wengine ndo better,no way MKJJ,inaelekea hujawahi kutana na kashkash za hawa watu,ni wanyama balaa!Halafu hata kama hakupandishwa cheo,kuna namna amekuwa rewarded baada ya hayo mauwaji ya Ruvuma.Ndo utaratibu wao.We unaona huu ni unyama,ndani ya jeshi la polisi,huo ndo uchapaji kazi unaotakiwa.Respect and more status inatokana na mauwaji etc,na kufanya matakwa ya wanasiasa.Isipokuwa wanasiasa,wanafanya matakwa ya majambazi wakubwa.
MKJJ,HAO WATU NI WABAYA NDUGU YANGU.Hili jeshi ni la kuvunjilia mbali ati.
Kweli mkuu hata mimi nikichangia sredi ya awali jioni,nimekumbuka kwamba huyu Kamanda aliongoza mauaji mengine Songea. Kwasababu hakuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu,matokeo yake tumeyaona tena leo. Ni jukumu la Waziri na IGP kujiuzulu angalau kuonyesha huzuni yao kwa kitendo hiki cha aibu kwa Taifa letu.
Poles kwa kuwa mtumwa wa fikra ooooh no Upo USA ya wapi? Maana ulivyoropoka kama huna kichwa vilePoleni watanzania wenzangu. Huku USA hali ya Democrasia imekuwa kwa kiasi kikubwa na hivi hayo ni yakawaida pindi yanapotokea. Lakini huko nyumbani ni matatizo matupu. Ila ndio tupo katika kipindi cha mpito. Yote hayo yatapita na tutakomaaa tu. Ila kwa hili Kamhanga yupo sahihi katika kutekeleza majukumu yao. Kumbuka Dola wana kwenda kwa amri tena amri ya mwisho ndio mara zote hufuatwa. Tatizo la baadhi ya Watanzania hawataki kukubali ukweli kwamba kuna wakati ukifika yapasa kutii dola. Mimi sijaona sana sababu ya M4C KUSHINDANA NA DOLA. Serikali ikisema yatupasa kusikiliza. Tukileta ubishi madhara yake ndo kama haya. Wenyewe wanasema "UTII WA SHERIA BILA KUSHURUTISHWA" Kwa kuwa hatutii sheria na sasa tunashurutishwa na kwenye kusurutishwa kunakuwa na matokeo mabaya ndo hayo sasa. Tujifunze kutii dola na si kulazimisha mambo. Poleni!
Poleni watanzania wenzangu. Huku USA hali ya Democrasia imekuwa kwa kiasi kikubwa na hivi hayo ni yakawaida pindi yanapotokea. Lakini huko nyumbani ni matatizo matupu. Ila ndio tupo katika kipindi cha mpito. Yote hayo yatapita na tutakomaaa tu. Ila kwa hili Kamhanga yupo sahihi katika kutekeleza majukumu yao. Kumbuka Dola wana kwenda kwa amri tena amri ya mwisho ndio mara zote hufuatwa. Tatizo la baadhi ya Watanzania hawataki kukubali ukweli kwamba kuna wakati ukifika yapasa kutii dola. Mimi sijaona sana sababu ya M4C KUSHINDANA NA DOLA. Serikali ikisema yatupasa kusikiliza. Tukileta ubishi madhara yake ndo kama haya. Wenyewe wanasema "UTII WA SHERIA BILA KUSHURUTISHWA" Kwa kuwa hatutii sheria na sasa tunashurutishwa na kwenye kusurutishwa kunakuwa na matokeo mabaya ndo hayo sasa. Tujifunze kutii dola na si kulazimisha mambo. Poleni!
He is probably hunting the top post (IGP) Nilimskiliza alipokuwa anahojiwa na waandishi wa Ch. 10, hata kuongea kwake ni mtu mmoja bure buresh kbs..
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda Baada ya kuua raia waliokuwa katika maandamano ya amani huko songea - Ruvuma hivi karibuni, amehamishiwa Iringa ambako ameua Mwenyekiti wa mwandishi wa habari akiwa kazini na vifaa vyake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda akizungumza na wanahabari leo
kuhusu sababu za kuzuia mkutano wa Chadema leo Mufindi
Tumejipanga kwa lolote asema kamanda wa polisi kuwa si Chadema pekee hata CCM na vyama vyote marufuku mikutano wanaruhusiwa kufanya vikao vya ndani ili kupisha zoezi la sensa hadi jumamosi litakapomalizika
ila fiesta ruksa mkuu si ndio maake na ulinzi unakuwepo ati ahahaha...au??