Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Baada ya kuwapiga 4 - 0 na kufatiwa na mikutano zaidi ya 40 na ya siku 3 iliyofanyika wilayani Hai chini ya kamanda wa Anga Mhe. Freema Mbowe, Mbunge wa Arusha mjini na tishio kwa CCM Jumamosi atatua Bukoba na kufanya mikutano ya kuimarisha chama na kuanza kujiweka sawa kwa ushindi wa 8 - 0 unaobisha hodi.
Wana-Kagera mpokeeni kamanda.
Wana-Kagera mpokeeni kamanda.