TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,047
Mkuu Crashwise tunatarajia ushindi wa 7-0,kwa sababu kati ya madiwa wanane waliofukuzwa mmoja ni diwani wa kuteuliwa!Baada ya kuwapiga 4 - 0 na kufatiwa na mikutano zaidi ya 40 na ya siku 3 iliyofanyika wilayani Hai chini ya kamanda wa Anga Mhe. Freema Mbowe, Mbunge wa Arusha mjini na tishio kwa CCM Jumamosi atatua Bukoba na kufanya mikutano ya kuimarisha chama na kuanza kujiweka sawa kwa ushindi wa 8 - 0 unaobisha hodi.
Wana-Kagera mpokeeni kamanda.
MACCM yatake yasitake yasubiri kipigo cha mbwa mwizi!
Last edited by a moderator: