Kamalizwa na nduguye

Kachezewa shere! Aliwahi kutamka kwamba yeye ndio waziri wa fedha mpaka 2030 na baada ya hapo atagombea urais
 
Chukueni hatua yeye mmoja tu mwenye itikadi mbovu ashindane na kanisa lenye mamilion ya waumini never
 
Kaamua kujisafisha na kumwachia msala ndugu yake kwa boss wake
 
Kaamua kujisafisha na kumwachia msala ndugu yake kwa boss wake
Kwa hotuba ya jana ya Samuya, amewaweka kwenye wakati mgumu sana wasaidizi wake (mawaziri, wakuu wa mikoa n.k), maana walikuwa washaanza kucheza na saikolojia za watu na kumtenganisha mkuu wao na yale mauaji na kuhalalisha haramu, ila amekuja mwenyewe kavuruga vuruga, sijui watamlinda kwa maneno gani…ndo maana wakati anaropoka pale mbele Nchimbi na Mwigulu waliinamisha vichwa..ni aibu tupu
 
Acha kutumia makamasi kufikiri. Wapi hapo kuna itikadi za kisiasa. Kusema ukweli watu wameuwawa. Ufisadi wa bandari kupitia Dp world. Kuteka watu kama kuku?
Ufisadi wa DP World ni upi?
 
Kwa hiyo mnashindana kuua raia wa kila pande? Maana mwaka 2000 kuna wananchi wa Pemba waliuliwa utawala wa Mkapa!!
 
MAUAJI na WIZI siyo SIASA
Unakabiliana vipi na wale mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya Polisi, Ofisi za Mahakama, TRA?? Unafanyaje na magenge ya wachoma moto mabasi na vituo vya Mwendokasi?

Una bunduki halafu unataka kubembeleza watu wanachoma vituo vya mafuta, wanaiba mali za watu kwenye maduka?

Je unajuwa kuwa walijaribu kutaka kuchoma kituo cha kupozea umeme cha TANESCO Ubungo??

Acheni akili za kindezi, risasi za moto ndiyo zimeokoa nchi isiteketee
 
Unaandika kama nguruwe tu anayejuwa kusubiri makombo ya mfugaji wake.!
Hizo siasa za kupambana ziko wapi chini ya shetani Samia?
Jana unaweza kusoma alichoandika nguruwe na wewe ni nguruwe pia. Au wewe ni ngiri?
 
mzee wa daslam unabananga padri, tulia sheikh
 
Wewe hujawahi toa sadaka bwana!
Hata sadaka ya luku na maji hujawahi zidisha buku!
Wewe si mkatoliki!
Mkatoliki halalamiki kutoa sadaka!
Kwake sadaka ni ya kuteketezwa!
Vyovyote utakavyoita huwezi kubadili ukweli. Ninatoa fedha kwenye ibada za misa takatifu na michango maalumu inayoitishwa
 
Kiongozi wa kiroho anapojitokeza hadharani kukushauri uache matendo yako maovu, anakuwa amekusaidia. Sasa inakuwaje mnamchukia?

Kwani dhuluma, utekaji na mauaji ya raia havijashamiri kwenye jamii yetu? Ni nani wa kuwasemea wananchi wanao onewa na dola ovu kama siyo viongozi wa dini? Au mnafikiri kila kiongozi wa dini ananunulika na hivyo kumuweka mifukoni mwenu?
 
Kwa ufupi huna akili na TEC haiyumbi yani kama unaamini ni mwaminifu ndivyo TEC hata msemaje na huyo gaidi wenu. Kitu asichojua ni kwamba wakatoliki ni kama maji hakuna mahali utawakosa hivyo mwende nao kwa tahadhari
 

Zamani mambo ya utekaji yalikuwa machache mno sasa hivi yamekuwa mengi kupitiliza, ndiyo maana Father Kitima ni maarufu kwa kuyapinga kwa nguvu zote.
 
huo ni mwanzo tu ogopa sana damu zisizo na hatia hasa watoto kuzaliwa ni mpango wa Mungu hakuna anayeweza kupambana na Mungu
 
Mie huwa najiuliza kuwa hotuba si anaandikiwa? Vipi huwa hazichujwi kabla ya kufika sehemu ya kutamkwa? Je yeye binafsi hawezi chuja ni atamke na nn aache??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…