Kama wewe tangu january mpaka sasa...........

Kama wewe tangu january mpaka sasa...........

Yeah! Thanks God...I can't complain at all...Life is good....Very good post.





√ Una ona
√ Una sikia
√ Una ongea
√ Una Tembea
√ Una shika vitu
√ Una kula
√ Una sehemu ya kulala
√ Una kipato chako hata kama cha wastani
√ Umepona katika majanga tofauti
√ Na mwili wako uko salama

Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment....

Kwa Hisani Ya watu wa #Facebook
 
Last edited by a moderator:
Asante Mungu,ila si kwa hisani ya watu wa fesibuku,samahani kwa hili
 
asante mungu..hata kwawale waliopata ajali wakawa vipofu..wakawa vilema....wakawa na upungufu wowote katika miili yao lakini bado umewapa uzima .heli wao kuliko waliokufa.asante mungu kwa wale waliofukuzwa kazi na bado umewapa moyo na ujasil wakupambana na maisha kwani wengine wamejinyonga na wengine kuchanganyikiwa.asante mungu kwa yote unayotutendea..
 
Asante mungu kwa baraka zako na neema zako....
ni kwa neema tuu.........na reheema
 
Kwani hili ndilo jibu la swali langu?

Halafu kwani mtoa mada amesema tuweke maneno yanayokufurahisha wewe?

Swali lako linasemaje vile?
mtoa mada kasema "Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment...."
 
Swali lako linasemaje vile?
mtoa mada kasema "Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment...."

Mini nimefanya hivyo na wewe unaniambia nimekosea
Hujui kuwa ni jukumu lako kueleza makosa yangu yalipo?
 
√ Una ona
√ Una sikia
√ Una ongea
√ Una Tembea
√ Una shika vitu
√ Una kula
√ Una sehemu ya kulala
√ Una kipato chako hata kama cha wastani
√ Umepona katika majanga tofauti
√ Na mwili wako uko salama

Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment....

Kwa Hisani Ya watu wa #Facebook

Asante Mungu.
 
hivi kuna binadamu aliye perfect kiasi hiki?

btw, THANK YOU JESUS CHRIST!!
 
Back
Top Bottom