Kama wewe tangu january mpaka sasa...........

Kama wewe tangu january mpaka sasa...........

Da mawazo yalienda mbali mi nikajua umenyimwa papuchi bana
 
Kwani Mungu ni nini/nani?

hahaahahaa! hiyo lugha Thank You Jesus" imenichanganya kabisa mkuu.
weka maneno yoote, lkn roho yangu itafurahi ukieweka "Asante Mungu" kama TANMO alivyosema! kwikwikwi!
 
√ Una ona
√ Una sikia
√ Una ongea
√ Una Tembea
√ Una shika vitu
√ Una kula
√ Una sehemu ya kulala
√ Una kipato chako hata kama cha wastani
√ Umepona katika majanga tofauti
√ Na mwili wako uko salama

Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment....

Kwa Hisani Ya watu wa #Facebook

nyuzi nyingine bana
 
hahaahahaa! hiyo lugha Thank You Jesus" imenichanganya kabisa mkuu.
weka maneno yoote, lkn roho yangu itafurahi ukieweka "Asante Mungu" kama TANMO alivyosema! kwikwikwi!

Kwani hili ndilo jibu la swali langu?

Halafu kwani mtoa mada amesema tuweke maneno yanayokufurahisha wewe?
 
Ni wajinga pekee ndo watatespond +ve kwenye uzi huuu
 
TANMO, Nasema Asante Mungu kwa hisani ya watu wa marekani
 
Last edited by a moderator:
Alhamdulillah....

Namshukuru sana mungu kwa kila neema aliyonipa hakika kuna wengine wamezikosa...wala si kwasababu mungu ni mbaguzi

Mungu hakupi yote wala hakukoseshi yote...

Namshukuru kwa kunipa macho nkasoma post yako hakika wengine (vipofu) wanatamani kupata uwezo wa kuona walau sekunde 1 waone wawapendao...

Namshukuru kwa kunipa pumzi nkawa napumua ni dalili tosha kuwa ningali nipo hai hali ya kuwa kuwa wengine wapo kwenye sakratul mauti (wanakata roho) kuiga dunia.....

Mungu ni mwema...shukraan zoe anastahiki..
 
Back
Top Bottom