Kama wewe sio muoaji ni bora umwambie ukweli

Kama wewe sio muoaji ni bora umwambie ukweli

Hahaha yalinikuta hayo. Niliitwa mume siku ya kwanza, ya pili nikapigwa bomu la nuclear Ukimuangalia ni mdada mzuri na anamchumba wake. Sa sijajua ni dhiki au yunaoimana iman
Ndiyo fashion...

wanaita kutingisha kiberiti ili kama unaweza kuhudumia ijulikane mapema kabla hamjaanza kupotezeana muda.
 
Kuna mzee namjua ana miaka almost 60 now huwa hafichi anasimuliaga historia yake.
Alikuja mjini miaka ya 70 enzi za ujana wake aliwachezea sana wasichana kumbe hakua na malengo nao.
Alipoamua kuoa akamuacha yule alomtumia kwa muda mrefu na kumzalisha japo mtoto wao hakuishi ila akaenda kutafuta kabinti bikra kijijini na kujinadi kwamba hawezi kuoa mwanamke aliyetumika tayari.
Amejaliwa watoto wa kike watupu na mpaka sasa hivi wote hawajaolewa na umri umeenda anafanya kuletewa wajukuu tu nyumbani.
Anakwambia nashindwa hata kulaumu japo moyo unaniuma ila maybe ni malipo ya makosa yangu ya ujanani
Asante na atakufa atawaacha hapo hapo na mama yao, kwani Mungu anakuwaga mbali yupo karibu hapo mpaka kizazi cha nne anaenda nacho [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ndiyo fashion...

wanaita kutingisha kiberiti ili kama unaweza kuhudumia ijulikane mapema kabla hamjaanza kupotezeana muda.
Basi ametingisha mtu mwingine. Pesa nilikuwa nayo ila kwa style ile siwez kwakweli
 
Back
Top Bottom