Kama wewe sio muoaji ni bora umwambie ukweli

Kama wewe sio muoaji ni bora umwambie ukweli

Haaaa haaaa unachuna mpaka damu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
na wanawake wa siku hizi mnajua kutingisha kiberiti kweli.

unachukua mawasiliano ukifika nyumbani ukisema usalimie meseji ya kwanza ushaitwa baby. ya nne Baby mwenye nyumba wangu anasumbua.
 
Kuna jamaa yangu mmoja muharibifu sana.
Alianza kudate na huyu mdada akiwa ndo anaota chuchu!
Kamchakaza karibu miaka 8 na mtoto juu akampatia!mwisho wa siku jamaa anapata mchumba mwingine huku anamwambia yule alietoka nae mbali"MI SASA HIVI NATAKA KUOA BIKRA NA NDOA MWEZI UJAO"
kiukweli yule mshkaji wangu nilimchukia sana kuanzia hapo.amempotezea muda mdada wa watu kazi ikawa kwangu kila siku nambeleleza huyu dada asijiue atulie tuu amwachie mungu.
Rafiki yako fala sana
 

Kama una date binti wa umri wa kuanzia miaka 23 huna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwana na kumuambia ukweli.



Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji na unaona kua utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.


Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano.


Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. Kwa Mwanamke
, ```"Age is not just a Number, Age is Everything".```


Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia Umri katika Mahusiano.


Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single.


Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kua hawezi kupata, hapana.. Nasema utampa Wakati Mgumu na Uhuru wa Kuchagua.


Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwakua hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na Kalenda.


*Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia* ```"Wewe si Type yangu"*``` Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema.


Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwakua anakupenda.
Bora umewaambia
 
na wanawake wa siku hizi mnajua kutingisha kiberiti kweli.

unachukua mawasiliano ukifika nyumbani ukisema usalimie meseji ya kwanza ushaitwa baby. ya nne Baby mwenye nyumba wangu anasumbua.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] tayari ushakua mzazi, kuna mkaka alikuwa analalamika jamani
mdada kwenda naye tu kula lunch nilishapewa matatizo yake hanioni tena [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] tayari ushakua mzazi, kuna mkaka alikuwa analalamika jamani
mdada kwenda naye tu kula lunch nilishapewa matatizo yake hanioni tena [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ndiyo maana nasema tuendelee kuviziana.

Ni sawa na mwanaume ukutane naye leo kesho akuombe sex.
 
ndiyo maana nasema tuendelee kuviziana.

Ni sawa na mwanaume ukutane naye leo kesho akuombe sex.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] kazi kweli kama vita vya msituni
 
Kinaeleweka hicho...ila mnakuja na gia tofauti...mpaka nakuja kujielewa najikuta nishanunua kiwanja nachimba msingi.
Semeni mapema hapa ni Jigi Jigi tu....mengine katafute pengine...
[emoji23] [emoji23] kumwambia mwanamke naomba mchezo tu sikuoi labda wale wengine wa sokoni ila sio nyie. utaanzia wapi.
 
Siku hizi ukijifanya msema kweli. Utaishia kupiga nyeto tu.. Viumbe wale wanapenda uongo sana kuliko ukweli
 
Back
Top Bottom