Kama wewe sio muoaji ni bora umwambie ukweli

Kama wewe sio muoaji ni bora umwambie ukweli

Natamani wanaume wote wangeuchukua huu ushauri.....jamani acheni kutupotezea muda,mnatuumiza sana!
lalamiko lako nini mama labda naweza lifikisha kunako husika.
 
Kwa msichana ukimwambia niko na wewe ila sitakuoa...ujue atakukimbia tu.
Sasa na kwa vile nyie kina Daby ili muwapate kina bbade hata kama hutakuja kunioa..ili nikukubalie lazima utanionyesha dalili za kuwa tuna future pamoja, kumbe hakuna kitu.

Labda tuweke sheria la sivyo....
 
aaah wapi kuna vichunaji vimezaliwa na roho za kuchuna...

nyie tuendeleeni hivi hivi... kuviziana hadi kieleweke.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ili mradi siku zinasonga mbele haaa haaa jamani
 
Kwa msichana ukimwambia niko na wewe ila sitakuoa...ujue atakukimbia tu.
Sasa na kwa vile nyie kina Daby ili muwapate kina bbade hata kama hutakuja kunioa..ili nikukubalie lazima utanionyesha dalili za kuwa tuna future pamoja, kumbe hakuna kitu.

Labda tuweke sheria la sivyo....
wanawake mnapenda maneno matamu.

sasa ni maneno machache ya kweli matamu. mengi matamu ya uongo...
 
Back
Top Bottom